Search results

  1. WAFU FM

    blackberry for sale

    kula 250 ka uto tayari PM
  2. WAFU FM

    blackberry bold 9700 used kwa 300,000 tu

    check PM yako kuna mdau kaniagiza nikupe namba yake umchek kabla haghairi week end hii
  3. WAFU FM

    Kesi ya Vinega: Kusaga Asanda, Afuta Kesi Kinyemela

    Taarifa kwa umma: Leo majira ya saa 7 vinega wengi walikuwa pale mahakama ya kisutu ili kuweza kujua ni madai gani yaliyowafanya waitwe mahakamani......madai ambayo kwa mujibu wa karani wa mahakama ambaye kesi hiyo ilikuwa imefunguliwa jalada namba 294 kesi ya madai ya mwaka 2011...hakimu...
  4. WAFU FM

    Sugu aibuka upya, atangaza kuendelea bifu na Ruge, Clouds

    wewe unaelimu gani, msiwe mnatumia keyboard kujidai mna elimu kwa saaaana! wewe unaejidai Sugu hana elimu hawezi ingia mkataba na mtu anaemzidi elimu hebu tuambie elimu ya 50 Cent, Cristiano Ronaldo na wengineo, siku ya makubaliano Sugu alikua na mtu anaemsimamia na ni wakili msomi Tundu Lissu...
  5. WAFU FM

    Nauza htc magic

    Weka namba tuwasiliane
  6. WAFU FM

    Ni zipi Kazi za msajili wa vyama hapa Tz

    Kumbukeni ajira yake inatolewa na Rais na inasitishwa na Rais, usitegemee akatenda tofauti na mwajiri wake! Haya yote dawa yake ni katiba mpya, kazi zote kuanzia DC, RC, RAS, DED, wakuregenzi ziwe za kuomba tupeleke CV tupambane sio kupeana sandakalawe za kukosa ubunge
  7. WAFU FM

    Tendwa atoa onyo kwa jeshi la polisi kuhusu uchaguzi jimbo la Arumeru Mashariki!!

    Yeyote ajae mbele ya chombo cha kudai haki aje na mikono misafi! Vipi Tendwa mikono yake ni misafi...?!!! Nikipata nauli ntakuja mjomba
  8. WAFU FM

    Mwigulu ashutumiwa kwa kuleta mkanganyiko Arumeru - Apendekeza Jina la 1 hadi 4 yakatwe

    Mwigulu LM Nchemba 18:39 Today Luhwege nimeeleza sana jana sijawahi kufumaniwa na kama yupo aliyenifumania na aseme ilikuwa wapi yaani hata aseme nilikukuta hivi ikawa hivi aseme hata eneo hata muda na nini kikatokea. Ndg wans JF najibu haya kwa sjili ya wenye nia njema...
  9. WAFU FM

    Je, tunahitaji Vazi la Taifa?

    Huyo mwenyekiti kwanza angeandaa vazi la radio yake, watangazaji wake si ndo wanaongoza kata k na zile suruali za mabinti wanaita skin jeans na wa kike nao wanaongoza kwa kuweka maziwa nje. Kama kashindwa kua na mavazi ya hesima nyumbani kwake vip kuhusu taifa nazani Nchimbi anatafuta vazi la...
  10. WAFU FM

    Post the Image of your Favorite celebrity

    Ngabu America imekubamba sana mzee naona kila likitajwa hili taifa unapata mshawasha sana mzee...
  11. WAFU FM

    Wema Sepetu adai Jokate Mwogelo kamuibia Diamond wake

    weka full adress ya huo mtandao wa DUBAI
  12. WAFU FM

    Marco Tibasima

    Acha kuwaombea watu mabaya wewe jamaa yuko na watu wa TWAWEZA or TUNAWEZA anapiga mzigo kama kawaida
  13. WAFU FM

    Mkesha wa miaka 50 ya uhuru wa Tanzania

    vipi kuhus alshababy hawatukepo au mmekubaliana wasilipue mpaka maandamano tu
  14. WAFU FM

    Vita ya mamba waWili ilioingiliwa na kenge wasiokuwa na uelekeo..

    Wewe unafikiria kwa kutumia masaburi, ukwel ni kwamba huyo kirusi Ruge anabaka mziki hapa bongo kwa kushirikiana na jamaa wa serikali wasiokuwa waaminifu, wanaish mjini kiujanja ujanja tu na subirin 2015 akitoka madarakan ndugu yenu patachimbika mali ya serikal mlochukua itarudi...
  15. WAFU FM

    Vita ya mamba waWili ilioingiliwa na kenge wasiokuwa na uelekeo..

    Wewe unafikiria kwa kutumia masaburi, ukwel ni kwamba huyo kirusi Ruge anabaka mziki hapa bongo kwa kushirikiana na jamaa wa serikali wasiokuwa waaminifu, wanaish mjini kiujanja ujanja tu na subirin 2015 akitoka madarakan ndugu yenu patachimbika mali ya serikal mlochukua itarudi. Unachekesha...
  16. WAFU FM

    Kuna harufu ya kujuana kwenye balozi zetu

    alianzisha hii mada hakusema watoto au ndugu wa vigogo wa CCM amesma kuna haruf ya kujuana ila umeamua kwa makusud kugeuza story na kua ni CDM v CCM hebu tujaribu kupunguza jazba na kukimbilia kutafuta majibu rahis, any way kuhusu Mkapa kua na watoto wawil na wote wako bongo haimaanish hawez...
  17. WAFU FM

    NAKAAYA ...yuko wapi?

    tamaa mbaya sana huyu mtoto angekaa zake magwanda angekua mbali sana, angekuwa mh wa vit maalum huyu ye akaonadili kupewa kadi na baba riz hapa r chuga ndo kwisha habari yake kama baba tunda
  18. WAFU FM

    NAKAAYA ...yuko wapi?

    Ataenda wapi yupo tu amesanda magambaa si yalimrubuni akakimbia magwanda yuko hoi tu naona katoa ka single kake kamebuma
  19. WAFU FM

    Maswali kwa Mhe. Mnyika na CHADEMA

    Habari za monduli bwana kisendi, vip ulishaacha tabia yako ya unyoka/spy kama pale Nsumba
  20. WAFU FM

    Maadhimisho ya kuzima mwenge live TBC1

    Siku anahutubia wazee wa CCM mkoa wa si aliwapa ratiba yake ilivyokua ngumu tangu mwezi wa nane hajaongea na Magamba kisa anakata anga na akawaahidi mwisho wa mwezi atakua zake Bunjumbura imekuaje tena ameghairi kusafiri au lilikua changa la macho tu
Back
Top Bottom