Search results

  1. U

    Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015: Kwa mkakati huu wa Serikali, Watumiaji wa Mitandao tutapona?

    Kuheshimiana unakotaka wewe ni kupi? Manake wengine vichwa vyenu ka vimejaa maji vile. Kuwambia kuwa mmezidi kula rushwa na mumafisadi ni kukosa heshima. Mutatufunga sana lakini mwisho wa yote kabuli letu wote si udongo tu. Wako wapi walio wakali sana unawowajuwa wewe? Raha mnazo zinunuwa kwa...
  2. U

    Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

    Usalimiaji Wa mchonga ulikuwa Wa vipi mbona hakuna picha take?
  3. U

    Kata ya Muleba Mjini waitakayo

    Hichyo kitakuwa kyama cya ccm tu. Kwa sababu mtu mwenyewe bila hate kuzungumza maandishi take yanaimba cyi cyi em
  4. U

    Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015: Kwa mkakati huu wa Serikali, Watumiaji wa Mitandao tutapona?

    Hii inadhihirisha tukimpa Makamba uraisi tumetengeneza Gaddafi na Saddam mwingine. Mungu atupishe naye mbali. Kama ujana ukamsaidie babake.
  5. U

    Viongozi na wanachama 31 wa CUF wamepelekwa Gerezani Keko!

    Kwani polisi siku hizi ofisi zao ziko barabarani? Manake watu walikuwa ofisini kwao kwenye shughuli zao za kisiasa na kijamii. Heri mwenye tabia za kihaya (na ni zipi hizo?). kuliko kukosa akili kama m--vu wewe mwenye akili nyingi zisizo na kazi.
  6. U

    Viongozi na wanachama 31 wa CUF wamepelekwa Gerezani Keko!

    Nyie teteeni uwozo wa serikali ya nyinyiem. Siku zenu zinahesabika. Iko mtashika makali na sisi mpini. Hapo ndipo mtapojuwa mkuki kwa nguruwe?
  7. U

    Viongozi na wanachama 31 wa CUF wamepelekwa Gerezani Keko!

    Hapo umetumia kichwa kujenga hiyo hoja au tundu la kinyesi?
  8. U

    Kikwete unamuogopa Mwakyembe

    Kuna mtu mchangiaji amenifurahisha kidogo. Anadai siku jamaa atapoacha urahisi wake isherehekewe kitaifa. Mimi naongezea atafutiwe kiwanja lushoto harafu tumuuwekee geti pale mombo akae huko na fisadi mwenzie aliyemuacha astaafu salama pamoja na mabaya yote alotufanyia ya kuuza nchi.
  9. U

    Maswali kumi kwa Edward Lowassa na Wafuasi wake

    Mminvite nyumbani kwenu mnywe wote chai.
  10. U

    Prof. Assad amlipua Magufuli kwa ufisadi uuzaji wa nyumba za Serikali

    Siku inakuja tutakaporudisha nyumba za serikali. Na akina magufuli watalipa hujuma waliyotufanyia watanzania wote kwa ujumla wetu.
  11. U

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    Mheshimiwa JJ. Kwa mtu yoyote aliyeenda shule, hawezi akaweka ulizo kwenye narrative yako hii uliyoitoa hapa JF. Kwanza napenda kukupongeza kwa uwezo wako wa kujieleza na kueleweka ktk kiswahili fasaha, kama ulivyozibitisha ktk muda wako wote kama Mbunge wetu wa ubungo. Na kwa kweli...
  12. U

    Maamuzi magumu juu ya tegeta escrow

    Sasa huo ni umbea. Kwa nini usitudokeze outright? Au ni tezi and family?. Hii ni JF usiogope. Wewe mwaga tu.
  13. U

    Miezi sita ya Kikwete kuwa Madarakani

    Nyerere alikusahau kivipi wakati mtu wa kwanza akiwa waziri kutandikwa viboko idadi fulani wakati anaingia jela na idadi nyingine wakati anatoka akamuonyeshe mkewe alikuwa anatoka Tabora?
  14. U

    Mnyika jimbo la Ubungo umeshalikosa

    Huna lolote. Wewe ni kati ya wale mnaolipwa shillingi kutwa ili mbwabwaje habari za chama chenu kilichokwisha nuka. Kwani nchi hii ubungo tu ndo hatuna maji. Umesahau kuwa maji ni kilio cha nchi nzima. Hayo malori ya maji unayoyataka si ukawaulize mafisadi wa escrow, au angalau ikulu basi.kwa...
Back
Top Bottom