Search results

  1. D

    Mbunge wa Viti Maalum, Neema Mwandabila: Naona Kikokotoo kinawaweka Wastaafu katika hali nzuri

    Kwa mawazo yako.. itakua sawa mtu wa private kupewa 50% kwa mkupuo sababu mwajiri anatoa 10% na yeye anatoa 10%?
  2. D

    TANESCO ni adui Mkubwa wa uwekezaji sekta Binafsi

    Kwamaneno mengine, tanesco ni kampuni pekee nchini inayoona ni sawa kukosa mapato kwa visingizio vidogodogo. Hawahesabiwi kwamba kila saa umeme ukikatika nchi inakosa mapato kwa wao kama shirika kutokubill wateja na wateja wake hawazalishi nankupelekea kukosa hela
  3. D

    Serikali ituambie sasa ni lini na wapi zabuni ya uwekezaji wa bandari ilifanyika?

    Serikali ilishidwa kuweka continuity plan TICTS wakiondoka waweze kuendesha wenyewe? Investments zilizofanyika io miaka haitoshi kuandaa wazawa kuendesha bandari na hazina maana yoyote? Kama TICTS walikaa miaka 22 hawa watakaa miaka mingapi? Ni makosa gani yalionekana kwenye mkataba wa TICTS na...
  4. D

    Serikali ituambie sasa ni lini na wapi zabuni ya uwekezaji wa bandari ilifanyika?

    Amna anaekataa uwekezaje shida ni jinsi serikali ilifikia huo uamuzi. Unaweza mwacha mke wako aende kuishi na mwanaume mwingine kisa anauwezo wa kumtunza?
  5. D

    Zanzibar mishahara 14/4/2023 kisa Eid, kwanini haikuwa na Pasaka?

    Kama Zanzibar ni nchi yenye dini. Ni sawa kuwapa watu mishahara mapema ili washerekee sheria yao ya kidini vizuri
  6. D

    Tegeta tunawashukuru DAWASA kwa kutufungulia Maji

    Waombe dawasa wakuelezee mpango wao wa kuhakikisha ukame haupo kipindi cha ukame pia. Ili tatizo lisijirudie
  7. D

    Wazo lenye mantiki: Kama mmeshindwa kujenga ofisi kwa miaka 25, kama mkipata fursa ya kutawala mngeweza kununua vifaa vya kuokolea?

    Unasupport uzembe kwa kusema mwenzako atashindwa. Na mimi nikuulize, baada ya ajali ya mv bukoba, mlifanya maandalizi gani kuhakikisha maafa yakitokea ziwani wananchi wananusurika? Kwanini airport haina zimamoto?
  8. D

    Suala la Maji kukosekana: Tusimlaumu mama Samia, yeye hakuleta ukame!

    Kwa miaka 60 iliyopita ccm walikua wanafanya nini? Hawakujua kwamba kuna shida ya maji kipindi cha ukame na wajiandae? Kama kweli mwanza kuna shida ya maji, unaona viongozi ni wawajibikaji? Kwa uzoefu tu, 60% ya ccm itakua madarakani after 2025, asilimia ngapi ya viongozi wa hovyo wa saivi...
  9. D

    DAWASA: Vituo rasmi vya kuchota maji kwa magari

    Baada ya mwaka wanatakiwa waje na strategy ya kuondoa migao ya maji. Ni aibu kwa shirika la maji kutoa matangazo ya migao. Wanaingiza fedha nyingi kwa resource wanayopata bure. Wawajibishwe wasipoondoa shida ya maji
  10. D

    Bashungwa Waziri kwa miaka 4 akiwa amehudumu kwenye Wizara 6, Jamaa ana akili sana!

    Kua na cycle io io ya mawaziri ni aibu kwa mtazamo wangu. Mtu akitumbuliwa asipewe dhamana tena.
  11. D

    Makinda ashangaa wasomi wanaokula bure makwao

    Yeye mwenyewe amefeli io sensa 😂😂. Mwezi mzima hajatupatia idadi ya watu. Wanakusanya na tablets ilitakiwa idadi ipatikane in real time
  12. D

    Kafulila: Bei ya mafuta Nairobi ni ghali sana pamoja na Ruto kuwa Rais, Dar bei iko chini. Hongera Rais Samia

    Aangalie na levy inayochukuliwa na serikali kwenye mafuta 🏃🏽🏃🏽
  13. D

    Afande Sele hafahamu kuwa miradi iliyotekelezwa na Rais Samia kipindi hiki ni mingi kuliko wakati mwingine wowote?

    Tofautisha uchochezi na haki ya kuchochea. Uchochezi umeletwa na serikali ambayo haiweki wazi matumizi ya tozo zilizokusanya na matumizi ya mikopo ya Covid. Na pia ata zahanati na blah blah zilizojengwa pesa zilozotumika haziwekwi wazi. Kwa raia mwenye akili timamu lazima aulize. Maswali...
  14. D

    Afande Sele hafahamu kuwa miradi iliyotekelezwa na Rais Samia kipindi hiki ni mingi kuliko wakati mwingine wowote?

    Ndugu amka!! Unatetea mabandiko yao hutaki kuona matendo yao. Siasa inataka raia aamini lakini walioaminiwa wanaenda kinyume na walioahidi.
  15. D

    Afande Sele hafahamu kuwa miradi iliyotekelezwa na Rais Samia kipindi hiki ni mingi kuliko wakati mwingine wowote?

    Na viongozi pia wanahuo wajibu. Wao wanatakiwa kupunguza matumizi. Sio kungojea kila toleo la v8 wanunue. V8 moja ni shule nzima na chenji inabaki.
  16. D

    DOKEZO Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther

    The best option naona ni viongozi wa umma kudeclare mali zao in public ili tuwe na check ya kujiridhisha kwamba hawafuji mali za umma. Kama Mwiguli ana legitimate source of income, hamna ubaya ata akiwa na bus 100 mpya
  17. D

    Freeman Mbowe anatutukana watanzania kuwa sisi ni wajinga?

    Kama hayo manufaa tunayaona leo ujue kuna 60 years of failure hapo nyuma
  18. D

    Ngoma Inogile: Wapangaji sasa kulipa asilimia 10 ya kodi TRA

    😂😂 bado anaeumia ni mpangishaji
Back
Top Bottom