Search results

  1. MtuHabari

    Je, wabunge watakaoshinda kupitia CHADEMA 2025 watagomea mshahara wa Milioni 18 kwa mwezi?

    Unaona wivu na kutaka uwe wewe! Utashika ukuta ndugu yangu kwa hizo tamaa zako
  2. MtuHabari

    Kwa kikotoo kile hakuna siku utalipwa mafao yote

    Hivi hesabu hizi zinawagusa Wanajeshi na polisi? Kisha wako kimya tuu wanangoja wakastaafu na kurudi kijijini au kuishi mjini na kuwa night watchmen wa vibaka wa CCM? HILI LIMBWATA SIJUI WALILITOA WAPI HAWA CCM!
  3. MtuHabari

    Mtwara: Msimamizi wa Uchaguzi mdogo kata ya Chipuputa akamatwa na kura feki, Polisi wamlinda

    Halafu hao hao ACT wakamshangilia utadhani Yanga kamfunga Mamelod! Nchi hii imefika wakati Mabakamabaka wachukue dhamana kwa miezi 6 tuu kisha tuanze upya kama Ghana ya wakati wa Jerry Rawlings.
  4. MtuHabari

    NMB BANK: Mikopo yenu kwa wastaafu haina tofauti na ile ya kausha damu

    Bank ya makabwela ambayo wastaafu hasa wale wa zamani serikalini walilazimika pension zao kulipiwa katika bank hiyo inawaumiza sana watumishi hao wastaafu kwa kuwanyonya kupitia mikopo yao ambayo wameitengeneza kwa mfumo wa ile Kausha damu ya mitaani. Bila huruma kwa wazee hao ambao wanapokea...
  5. MtuHabari

    Makonda, wanakutumia kuelekea 2025. Wakizingua gombea mwenyewe

    Tatizo la masikini na wajinga ni kudhani kiongozi akifokewa hadharani au kukashifiwa ndio utatuzi wa kero zao. Sio kweli, eti we mkuu wa mkoa jibu hili! Afisa ardhi kwanini kiwanja kile hakupewa yule na kadhalika kama hayo hayana msaada maana ni USANII MTUPU, ona alikopita huyo mwenezi wenu...
  6. MtuHabari

    CCM yagawanyika

    Na hiyo karne kwa CCM imeshafika, mbona hilo liko wazi kabisa?
  7. MtuHabari

    Mshikamano wa Viongozi wa CHADEMA ndio nguzo kuu ya chama chao

    Kwa hiyo ma CAG wote waliokuwa wanapitia hesabu za chama kama za umma na kutoa hati safi ni waongo na sehemu ya ushirika na Mbowe? Sikujua kuwa siku hizi JF imevamiwa kwa kiwango hiki na watu wa aina yako ambao naogopa kuwaita jina lao sahihi "wajinga".
  8. MtuHabari

    Mshikamano wa Viongozi wa CHADEMA ndio nguzo kuu ya chama chao

    Mayalla hata wewe umefikia this level? TOO LOW! Nashindwa kujua hii akili ya aina hii ni matokeo ya Kujiunga kindaki ndaki na CCM au unakunywa sana pombe kupindukia hivyo kuwa mlevi? Hizi sio akili za mwandishi mkongwe na mahiri ambaye pia ni mwanasheria msomi.
  9. MtuHabari

    Mshikamano wa Viongozi wa CHADEMA ndio nguzo kuu ya chama chao

    Stupidity at its highest level. Pale idadi ya watu wenye fikra za aina yako inapoongezeka ndipo taifa hilo linapo fika katika ukingo wa kuelekea kuangamia.
  10. MtuHabari

    Kama Tanzania inataka kuwa neutral katika Gaza Crisis haina maana Sheikh Ponda anapaswa kupelekwa Mahakani

    Habari zilipatikana kuwa yule kijana alikufa. Sasa hatujui ni mapenzi ya Mungu yaani kifo cha kawaida au ilionekana hafai kuendelea kuishi mtu aliyemzabua kelbu Rais mstaafu?
  11. MtuHabari

    Serikali ingeajiri vijana wanaomaliza Ardhi University, migogoro ingepungua zaidi ya nusu

    Ni jambo la ajabu migogoro ya ardhi nchi hii inapoteza idadi kubwa ya raia kwa kuuana na mifarakano. Ardhi ndiyo wizara iliyo na migogoro mingi kwa raia wake kuliko wizara nyingine yeyote na hii inatokana na Halmashauri nyingi kukosa kabisa wataalamu wa Ardhi wa kutosha na hao waliopo kwa...
  12. MtuHabari

    CHADEMA yapasuka vipande vipande kuna uwezekano wa kutoshiriki uchaguzi ujao kwa visingizio dhaifu

    Kamuulize Wassira kauli kama yako alianza kuitoa mwaka gani? Halafu jiulize wewe na Wassira na wenzake mko level moja?
  13. MtuHabari

    Tusijidanganye, lazima ndani ya CCM kutatokea mtifuano

    https://youtu.be/KjjOEeWrH-g?si=0wWx5xKmO4wRtYdv Yapo mambo hayafutiki mioyoni lakini kubwa hasa ni kudhalilika au kunyanyaswa na mtu aliye kuzidi cheo. Makonda alipokuwa RC alimfedhehesha sana na hadharani DC wa Kinondoni wakati huo Daniel Chongolo hadi kumtukana na kiumri Chongolo ni mkubwa...
  14. MtuHabari

    Kigwangalla na Bashe wamuomba Rais Samia kuanzisha mkoa mpya wa Nzega

    Kwamba Rais anajibu "kabla sijaondoka 2030 Nzega itakuwa mkoa"? Nani kamwambia kuwa 2025 Watanzania watamchagua yeye? Kwa nini anapenda kujidanganya? Au ni hizi sifa za mzaha wanazompa wapambe na chawa wake? Ngoja atembelee wilayani kwetu atatukuta na mabango yenye ukweli; "HALI NI NGUMU 2025...
  15. MtuHabari

    UVCCM Chato: Hatutaruhusu kuona hata hatua moja ya Tundu Lissu ikikanyaga Chato. Tupo tayari kwa lolote

    Chuma kilinichekesha wakati kinamalizia mkutano; "Sasa namalizia ili muamue kuchukua hiki nilichowaambia na kwenda kuwaeleza na wengine ambao hawakubahatika kuja hapa au kunizomea kama alivyo waagiza yule anaitwa Wassira"
  16. MtuHabari

    Nini kilisababisha CHADEMA ikakosa mvuto?

    Huoni aibu kufanya mambo ya Facebook hapa JF home if great thinkers? Hizo picha za maandalizi ya mikutano unawapa watu wenye akili zao katika mijadala humu wakati wameshaziona picha halisi hujisikii kuwa unaweka ujinga wako hadharani? Hayo mambo msifanye humu!
  17. MtuHabari

    Mwenyekiti CCM Nyamagana: Tunawataka DP World bandari ya Mwanza, watoto wa kiarabu wajae

    Viongozi kama ndio hawa basi ndio sababu ya migogoro hii yote maana hawana uwezo kabisa! Na hawajitambui
  18. MtuHabari

    Ukoloni unarudi Tanzania?

    UKOLONI UNARUDI TANZANIA? Na Thadei Ole Mushi. Miaka 60 ya Uhuru tumeshindwa kabisa kusimamia rasilimali zetu wenyewe. Migodi tumeitoa kwa Wazungu, Misitu tumeitoa kwa Mwarabu, Posta tumeitoa kwa Mwarabu, Misitu tumeitoa kwa mwarabu, Gesi tumeitoa kwa Mzungu, Uwanja wa ndege wa KIA nao...
  19. MtuHabari

    Nitakuwa wa Mwisho Kuamini CHADEMA wanahamia Mikocheni

    Lakini ndugu yangu hivi kuhamia Mikocheni ni tamko la Chama? Au hilo jengo lililoonyeshwa na gazeti ni taarifa ya chama au ni tetesi za hilo gazeti? Sioni kama kuna la kuhofia maana sijaona popote Mnyika kama mtendaji mkuu au Mbowe kama mwenyekiti au msemaji mkuu Mrema kutoa kauli ya kuhamia...
Back
Top Bottom