Search results

  1. kdrama_masters

    Muigizaje anayelipwa mkwanja mrefu zaidi Korea

    Korean drama imeteka soko la dunia sio tu huku kwetu bali ni duniani kote Korean drama zinaonekana.Hii imepelekea waigizaji wa Korean drama kulipwa pesa nyingi mno.Wengine umaarufu wao umekua mkubwa sna barani Asia hii inapelekea wapewe deals nyingi na malipo makubwa. Huyu ndie Muigizaji wa...
  2. kdrama_masters

    "Good doctor" Medical drama bora kabisa kutoka Korea

    Good Doctor Native Title: 굿 닥터 Also Known As: Green Scalpel , Green Mass Director: Kim Jin Woo, Ki Min Soo Screenwriter: Park Jae Bum Genres: Romance, Life, Drama, Medical Country: South Korea Type: Drama Episodes: 20 Aired: Aug 5, 2013 - Oct 8, 2013 Aired On: Monday, Tuesday Original Network...
  3. kdrama_masters

    Huu ndio wakati sahihi wa kurekebisha game yetu ya Bongo Flavour

    Asalaam alaikum ndugu zangu, habarini za usiku. Kwanza poleni na majukumu yenu ya siku nzima na Mungu awape nguvu na afya za kuwawezesha muamke mkiwa fit katika majukum yenu ya kujenga Taifa. Kuna msemo unasema "ACHA INYESHE TUONE PANAPO VUJA"Kinacho endelea mitandaoni hizi siku mbili...
  4. kdrama_masters

    Hawa ndio wanaruhusiwa kupiga kura kwenye tuzo za B.E.T

    Hello guys hope mko poa wote kama kuna ambae hayuko poa Mungu awe naye. Nimeona mijadala mingi sana kwenye mitandao watu wakifanya kampeni ya kutompigia kura diamond platnumz katika tuzo za BET na kujinasibu kuwa watampigia Burnaboy au Wizkid. Labda kitu ambacho watu wengi hawafahamu ni kuwa...
  5. kdrama_masters

    Movie bora za muda wote kutoka Korea

    Tumezoea kuona drama au series za Korea.Ila ni mara chache kusikia watu wakiongelea movie za Korea,au wengine hua wanaziona ila wanadhani zinatoka China. Movie za Korea zipo na zinafanya vizur hata kimataifa,kama mnakumbuka mwaka 2019 movie ya PARASITE ilipochukua tuzo tatu katika tuzo kubwa za...
  6. kdrama_masters

    My father is strange, Best family and comedy drama

    Kama ww ni yule mpenzi wa Korean drama za family na comedy basi hii isikupite. Drama hii imetok mwaka 2017 na ina ep 52. Drama:FATHER IS STRANGE Tv channel:KBS Set:Korea Year:2017 Episodes: 52 Plot Drama inazungumzia familia ya watu wa maisha ya kati ambayo wanamiliki mgahawa.Familia ya...
  7. kdrama_masters

    Park Seo Joon katimiza miaka 10 kwenye tasnia ya uigizaji

    Name: Park Seo-Joon Hangul: 박서준 Born: December 16, 1988 Birthplace: South Korea Height: 185cm Blood Type: Instagram: @bn_sj2013 Movies Concrete Utopia Dream The Divine Fury Parasite Be with You (cameo) Midnight Runners Real (2017) (cameo) The Beauty Inside The Chronicles of Evil...
  8. kdrama_masters

    Drama sound track (ost) zenye veiwers wengi youtube

    Moja ya sababu pia watu wanapenda Kdrama ni zile sound track zinazoimbwa vizur na wasanii wakali.Haiwez kua drama kali kama haina sound track kali. Kama ulivyo ushindani wa rates za drama pia mauzo na streams za soundtrack ni muhimu mno. Hii ni orodha ya Sound track 10 zenye veiwers wengi...
  9. kdrama_masters

    Drama za Korea 20 zilizotazamwa na watu wengi kwenye Cable TV

    Tumezoea kuona drma zinazoeneshwa kweny public TV kama vile KBS,EBA,MBC,KBS2 na EBS2 zinakua na watazamaji wengi kwasababu channel hizi hua hazilipiwi. Ila kuna drama Zinazoruka kweny Channel za kulipia (CABLE TV) Ambazo zilifanya vizur mno katik nchi ya Korea. Na hizi ni drama 20 bora za muda...
  10. kdrama_masters

    Best Korean medical drama you must watch

    Drama za Korea zimegawanyika katika theme mbalimbali ambazo zina deal moja kwa moja na maisha yetu ya kila siku. Kutuelimisha na kuburudisha pia. Drama za Korea zimegawanyika katika genre tofauti kama vile MEDICAL, FAMILY LAW, SCHOOL, CRIME, SAGEUK, ACTION, COMEDY, ROMANCE, BUSINESS, ROMCOMS...
  11. kdrama_masters

    Jamaal April kaipeleka The Storybook Next Level

    Kwa wapenzi wengi wa story book nadha mlighadhabika sana kipind,Kijana mwenye Sauti ya dhahabu Mtiga Abdallah alipofutwa kazi Wasafi Fm. Mimi nilkua moja ya watu nilio mind sana na nilikua nampinga sana msimuliaji mpya Jamaa April maarufu kama Proffesor.Ila leo namuomba radhi hyu kijana maana...
  12. kdrama_masters

    Parasite: movie bora ya muda wote kutoka Korea

    Kwa mujibu wa METACRITIC hii movie ndio Movie bora dunian mwaka 2019,na pia ikishika nafasi ya 42 katika movie bora katika Muongo uliopita. Mtandao maarufu wa Unaohusika na ku rate movies duniani ROTTEN TOMATOES umeipa hii move 99%. Movie:Parasite Director:Bong Joon Ho Budget: USD...
  13. kdrama_masters

    IRIS-Series bora ya kipelelezi kutoka Korea

    Kama ww ni mfatiliaji wa series za Korea bas hutapinga kuhusu hili kua IRIS ndio sereis bora ya kipelelez nchini Korea. Hii series ndio ilikua series iliotumia budget kubwa mpka pale series kama #areyouhuman na #Mrsunshine zilipotoka. IRIS ina season 2 na kila season ina episode 20 na...
  14. kdrama_masters

    Vijana angalieni sana, Usalama wa Taifa sio filamu ya 007 au Bourne Identity

    Mara nyingi nikiwa chuo na vijana wenzangu nasikia wanatamani kuwa Usalama wa Taifa. Lakini ukiwauliza kwa makini kwanini unataka kuwa huko, utasikia napenda zile hekaheka, kuishi na fake identity, kutumia ma gadgets na kadhalika. Jamani mlioko huko hebu muwape uhalisia hawa vijana wenzetu kuwa...
  15. kdrama_masters

    Hizi ndizo baadhi ya drama bora kabisa za kikorea

    Hizi ndizo baadhi ya drama bora kabisa za kikorea zilizo toka mwaka huu kama hutaweza kuona zote basi hakikisha hukosi kuona hata kumi kati ya hizo CRASH LANDING ON YOU ITAEWON CLASS IT'S OKAY NOT TO BE OKAY THE WORLD OF MARIED HOSPITAL PLAYLIST MEMORIST HI BYE,MAMA ROMANTIC DOCTOR TEACHER KIM...
  16. kdrama_masters

    Six Flying Dragons: The best historical Korean drama

    Hii ni series nzuri mno kama we ni mpenzi wa historical (Sageuk). Plot Story inaongelea maisha ya Mwanzilishi wa Taifa la Joseon (Korea). Jang Do Jeon msomi na mwanaharakati katika utawala wa Guryeo, alikua anachukizwa na mateso wanayopitia raia katika nchi ya Guryeo, hivyo akaazimia...
Back
Top Bottom