Search results

  1. K

    Hivi mnawezaje kuchati na wanawake zenu muda wote, mnachat nini

    Wakuu itifaki imezingatiwa Katika harakati za mahusiano na mapenzi kuna kitu kimenishinda mpaka najiuliza mnaofanya hivi mnaajenda gani muda wote mnawasiliana Hivi mwanaume mwenye majukumu ya kazi tu mbali na familia unakuta muda wote ni kuongea na mwanamke wako yes tena mmoja tu simu ikipigwa...
  2. K

    Natafuta kazi yenye kipato, hata isiyoendana na elimu tangu sawa

    Wakuu Mimi ni muhimu wa elimu ya juu tangu 2018 course ya education, kwaujumla mimi ni mwalimu wa masomo ya geography na Kiswahili ambaye sina kazi ya kuniweka mini na kujitegemea Najitokeza kwenye wanajukwaa kuomba kazi ambayo ni halali ndani au nje ya field tangu Kwa sasa napatikana Dar es...
  3. K

    Dar es salaam hakuna wanawake wa kuolewa, wakiolewa huachika tu

    Igweeeeeeeee Wakuu habari za siku nyingi, hope mnaendelea vizuri na maandalizi ya mechi kubwa Simba v Ali Ali.... nimekuwepo jijini hapa kwa zaidi ya miongo miwili sasa na nimeshuhudia mengi tofauti na hali ilivyo mkoani hususani katika suala na kuolewa na ndoa kwa ujumla Kulingana na...
  4. K

    Wanawake wengi huchepuka kuanzia saa 2 asubuhi, muda ambao waume zao wameenda kazini

    Habari wanaMMU it has been a while sijatokea hapa sababu ya purukushani za dunia hii Je ulishawahi kujiuliza mke wa mwanaume anayeenda kazini kila siku asubuhi anachepuka muda gani? Wakuu naweza kusema hasara moja wapo ya kuoa mama wa nyumbani ni kumwachia yeye muda mwingi wa kuchepuka pindi...
  5. K

    Ndoa nyingi ndani ya Nyumba kuvunjika chanzo ni mwanamke

    Igweeeee, Heri ya sikukuu ya sabasaba. Waswahili husema mwanamke mjinga huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe na sio MWANAUME. Hawa waswahili walikuwa sahihi kabisa, katika ndoa mwanaume ananafasi yake pia mwanamke ananafasi yake lakini siku hizi hali imebadirika sana. Mwanamke...
  6. K

    Wilaya za Dar es Salaam zina Maafisa Kilimo, Afisa Misitu na Afisa Ufugaji?

    Wakuu, Kama tunavyoelewa kazi za hawa maafisa kilimo ufugani na misitu katika halmashauri za wilaya mbalimbali hapa nchini. Kama tunavyolifahamu jiji la Dar es Salaam na wilaya zake hakuna shamba,misitu wala wafugaji ambao wamaweza kuwa na uhitaji wa huduma za maafisa hao. Kinondoni, Temeke...
  7. K

    DOKEZO Ester Noah Mwanyilu, Mwanafunzi wa kidato cha tano shule ya Pandahill Mbeya amepotea

    Kwa kweli inasikitisha mno, Mwanafunzi Naomba wana JF muisikilize audio hii kwa umakini pia vyombo vya serkali vinavyohusika vichukue hatua. ========== UPDATES... Ester Noah Mwanyilu, Mwanafunzi wa kidato cha tano mchepuo wa PCB, Shule ya Secondari Pandahill hajulikani alipo baada ya kudaiwa...
  8. K

    Utapeli wa ajira umekithiri, Serikali ipo wapi?

    Wakuu, Huku walimu wahitimu na wale wa kada ya afya wakifurahia ajira zilizotangazwa leo na TAMISEMI nayo matapeli yameshangilia haswa. Katika kipindi hiki nasikitika vijana wengi wanaenda kulizwa vipesa vyao kwa kudanganywa kwamba ajira hizi zinatolewa kwa connection ambapo huihitajika...
  9. K

    Mke wangu amenenepa na kuwa na kitambi, naomba ushauri

    Habari wakuu Ni miaka minne tangu nilipoamua kumuoa mwanamke nimpendaye katika dunia hii na tunaenda kwa mengi Tatizo ninalokutana nalo kwa sasa ni mke wangu huyu kuwa kibonge haswa na mbaya zaidi amekuwa na kitambi Kitu kinachonikata stimu kwa sasa ni kitambi asee, naombeni ushauri ni namna...
  10. K

    Kati ya Mlimani City na Kariakoo, ni wapi nikanunue simu?

    Wakuu, Nafikiri kwenda kununua simu, bajeti yake iko around 300k to 400k. Hapa najiuliza wapi nikanunue, Kariakoo au Mlimani City? Vitu vya kuangalia; • Simu na bei • Usalama wa simu • Kupigwa cha juu kwa simu ya kawaida Simu ipi itafaa zaidi kwa bajeti hiyo kutoka Samsung, Google Pixel and...
  11. K

    Inashangaza sana, mtu unaishi Dar es Salaam huna gari!

    Igweeeeeee Habari za jumapili wanajamvi, Katika hali ya kawaida na nyakati hizi hasa kwa watu wanaoishi jijini Dar es Salaam gari imekuwa ni sehemu ya mahitaji muhimu kwa binadamu Mtu unaishi Dar es salaam mwanaume kabisa, kila siku unatoka kufanya harakati zako za maisha lakini huna gari ni...
  12. K

    Mpenzi wangu ananilazimisha nizame chumvini

    Wakuu Nimekuwa na mpenzi wangu kwa zaidi miezi mitatu, katika mahusiano yetu tunaendana sana pia tumejiwekea malengo inshallah panapo majariwa tuoane Tatizo ninalopitia na mimi kwangu naona ni ngumu kweli ni kila tunapokutana mwanamke huyu anataka nipige deki yaani nizame chumvi kitu ambacho...
  13. K

    Wanawake wa siku hizi hawazitaki kondom kabisa, madai yao zinawaumiza

    Wakuu Katika maisha ya kunyanduana zamani wanawake ndio walikuwa wanahimiza sana matumizi ya kondom huku wanaume tukiwaletea ujanja na kuzitoboa lengo ile nyama kwa nyama litimie Nowadays things are different, wanawake ndio wanazipinga condom yaani hawazitaki kabisa, nimejaribu kuwauliza...
  14. K

    Sio wanawake tu, hata wanaume wakifikisha miaka 30 bila ndoa huvurugwa

    Igweeeeee Kipindi cha nyuma iliaminika wanawake wakifikisha miaka 30 bila kuwa na ndoa, au mtoto basi ndio shughuli yake inakuwa imeishia hapo Katika kizazi hiki hali imekuwa tofauti, mwanaume nae anapata mawazo miaka 30 ana kazi nzuri, pesa ya kubadili mboga, nyumba, na biashara lakini hana...
  15. K

    Idea; kuanzisha kituo cha mafuta ya kula

    Wakuu Nimekaa natafakari nianzishe biashara gani ambayo itakuwa unique kwa kiasi fulani na kuniwezesha kupiga pesa bila purukushani na kabla ya ushindani kuwa mkubwa Nimeona nije na wazo hili pia nawaomba wanajukwaa kushauri zaidi na kuliboresha pia Nimefikiria kutoka na WAZO LA KITUO CHA...
  16. K

    Lissu na Lema muda mliowaahidi wanachadema kurudi nchi umefika, mbona hamrudi

    Wakuu nawakumbusha tu wanachadema na wafuasi wa Lisu na Lema baada ya kukimbia nchi kwa sababu ambazo sasa hazipo umewadia Lissu na Lema waliutangazia umma mwishoni mwa mwaka jana kuwa watarejea mwezi wa tatu mpaka nne, sasa march imepita sizioni dalili za hawa watu kurejea mwezi April kwani...
  17. K

    Tunahitaji duka la pombe ndani ya Mkapa stadium

    Jf Tukiwa tunajisogeza maeneo ya Temeke kwaajili ya mtanange wa kimataifa kati ya wababe wa nchi SIMBA na hao wengine from Niger, naona kuna kitu muhimu sana kinakosekana ndani ya uwanja wa mkapa Imekuwa changamoto kubwa mno kwa sisi tunaotumia vileo, yaani kabla ya kuingia ndani unahakikisha...
  18. K

    Ni wapi nitaipata Smirnoff black ice hapa Dar?

    Wakuu Nimeimis sana hii Smirnoff beer iliyonipelekea mpaka leo hii naenjoy nakula bia tamu kila uchwao Kwa hapa jijini penyewe Daslam, nitaipata wapi hii vodka, maana kila ninapoiulizia nikumbushie enzi naambiwa hakuna
  19. K

    Mbowe yuko huru, Sabaya nae aachiwe

    Wakuu haki huinua taifa! Mbowe alishitakiwa kwa makosa ya ugaidi na serikali kwa uoni wake imeamua kuifutilia mbali kesi hiyo na sasa kila mtu anafurahi na kupongeza kwa hili. Lakini kuna huyu Sabaya aliyehukumiwa miaka 30, tusijiulize sana katika hili pia. Mama afanye wepesi kijana asamehewe...
  20. K

    Chama ni viongozi. CHADEMA kina hali gani pasipokuwa na viongozi wake wakuu?

    igweeee! Ni muda sasa chama kikuu cha upinzani Tanzania CHADEMA kinapitia changamoto kubwa kiuongozi kwani mpaka sasa chama hiki viongozi wake wakuu hawapo huru kukitumikia chama. Mwenyekiti Mbowe yuko huko segerea kutokana na charges zile ambazo zinaeleweka zipo kimchongo, mpaka sasa...
Back
Top Bottom