Search results

  1. K

    Hivi mnawezaje kuchati na wanawake zenu muda wote, mnachat nini

    Wakuu itifaki imezingatiwa Katika harakati za mahusiano na mapenzi kuna kitu kimenishinda mpaka najiuliza mnaofanya hivi mnaajenda gani muda wote mnawasiliana Hivi mwanaume mwenye majukumu ya kazi tu mbali na familia unakuta muda wote ni kuongea na mwanamke wako yes tena mmoja tu simu ikipigwa...
  2. K

    Natafuta kazi yenye kipato, hata isiyoendana na elimu tangu sawa

    Wakuu Mimi ni muhimu wa elimu ya juu tangu 2018 course ya education, kwaujumla mimi ni mwalimu wa masomo ya geography na Kiswahili ambaye sina kazi ya kuniweka mini na kujitegemea Najitokeza kwenye wanajukwaa kuomba kazi ambayo ni halali ndani au nje ya field tangu Kwa sasa napatikana Dar es...
  3. K

    Dar es salaam hakuna wanawake wa kuolewa, wakiolewa huachika tu

    Igweeeeeeeee Wakuu habari za siku nyingi, hope mnaendelea vizuri na maandalizi ya mechi kubwa Simba v Ali Ali.... nimekuwepo jijini hapa kwa zaidi ya miongo miwili sasa na nimeshuhudia mengi tofauti na hali ilivyo mkoani hususani katika suala na kuolewa na ndoa kwa ujumla Kulingana na...
  4. K

    Wanawake wengi huchepuka kuanzia saa 2 asubuhi, muda ambao waume zao wameenda kazini

    Habari wanaMMU it has been a while sijatokea hapa sababu ya purukushani za dunia hii Je ulishawahi kujiuliza mke wa mwanaume anayeenda kazini kila siku asubuhi anachepuka muda gani? Wakuu naweza kusema hasara moja wapo ya kuoa mama wa nyumbani ni kumwachia yeye muda mwingi wa kuchepuka pindi...
  5. K

    Simba kuanzia Hatua ya 2 CAFCL, kukutana na mshindi wa mechi kati ya Power Dynamos na African Stars

    Kwa mantiki hii msimu uliopita simba sc ilikuwa na mafanikio makubwa sana
  6. K

    Ndoa nyingi ndani ya Nyumba kuvunjika chanzo ni mwanamke

    Kwa comment hii huwezi dumu ndoani Ndoa inahitaji mwanamke ajitoe ufahamu
  7. K

    Ndoa nyingi ndani ya Nyumba kuvunjika chanzo ni mwanamke

    Igweeeee, Heri ya sikukuu ya sabasaba. Waswahili husema mwanamke mjinga huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe na sio MWANAUME. Hawa waswahili walikuwa sahihi kabisa, katika ndoa mwanaume ananafasi yake pia mwanamke ananafasi yake lakini siku hizi hali imebadirika sana. Mwanamke...
  8. K

    Wilaya za Dar es Salaam zina Maafisa Kilimo, Afisa Misitu na Afisa Ufugaji?

    Nakuongezea na afisa nyuki Dar anakazi gani? Ufugaji mjini upo kiasi wa ndege na wanyama lakini ajabu mbuzi wa mjini wanajichunga wenyewe tena wanavuka barabara kabisa bila kugongwa
  9. K

    Wilaya za Dar es Salaam zina Maafisa Kilimo, Afisa Misitu na Afisa Ufugaji?

    Wakuu, Kama tunavyoelewa kazi za hawa maafisa kilimo ufugani na misitu katika halmashauri za wilaya mbalimbali hapa nchini. Kama tunavyolifahamu jiji la Dar es Salaam na wilaya zake hakuna shamba,misitu wala wafugaji ambao wamaweza kuwa na uhitaji wa huduma za maafisa hao. Kinondoni, Temeke...
  10. K

    DOKEZO Ester Noah Mwanyilu, Mwanafunzi wa kidato cha tano shule ya Pandahill Mbeya amepotea

    Imeipata jf teyari ujumbe umekufikia Tuungane kupinga vitendo ovu dhidi ya watoto
  11. K

    Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

    Wewe unamiliki gari gani? Kipato chako ni kiasi gani
  12. K

    Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

    Mkuu nunua gari usirudi nyuma Humu jf utakatishwa tamaa na wasiokuwa na magari, gari inaraha yake
  13. K

    Maisha haya, nimeambiwa nichimbe mashimo 200 kwa Tsh. 5,000

    Wewe huna njaa Huu muda uliotumia kutype ungekuwa umechimba mashimo matano
  14. K

    DOKEZO Ester Noah Mwanyilu, Mwanafunzi wa kidato cha tano shule ya Pandahill Mbeya amepotea

    Huo ushirikiano wanautolea wapi? Shule inamfumo mzuri wa usalama, electric fence na cctv camera Kwanin hawaelezi mtoto alitokaje nje ya gate? Video za cctv ziko wapi? Mitihani aliyokuwa amefanya kabla ya kupotea iko wapi?
  15. K

    DOKEZO Ester Noah Mwanyilu, Mwanafunzi wa kidato cha tano shule ya Pandahill Mbeya amepotea

    Kwa kweli inasikitisha mno, Mwanafunzi Naomba wana JF muisikilize audio hii kwa umakini pia vyombo vya serkali vinavyohusika vichukue hatua. ========== UPDATES... Ester Noah Mwanyilu, Mwanafunzi wa kidato cha tano mchepuo wa PCB, Shule ya Secondari Pandahill hajulikani alipo baada ya kudaiwa...
Back
Top Bottom