Search results

  1. AbbasTwalb

    Natafuta kituo cha Redio nifanyie Field Dar

    [emoji23] [emoji23] Dah kwani Mama si alisema Tusipewe maneno ya kusema?.. Bas sawa
  2. AbbasTwalb

    Natafuta kituo cha Redio nifanyie Field Dar

    Habari za muda huu wadau, natumai wote ni wazima. Mimi naitwa Abbas Twalb ni mwanafunzi wa chuo uandishi wa habari na utangazaji hapa Dar es Salaam katika ngazi ya Certificate ambapo mwenzi wa Tano natarajia Kufanya mtihani na nikimaliza hapo Itanibidi nikafanye Field katika kituo cha redio Ama...
  3. AbbasTwalb

    Timu ya Gor Mahia Fc inayoshiriki Ligi Kuu nchini kenya imeanza mipango ya kutafuta Saini ya kocha Msaidizi wa Simba Matola

    Timu ya Gor Mahia Fc inayoshiriki Ligi Kuu nchini kenya imeanza mipango ya kutafuta Saini ya kocha Msaidizi wa sasa wa Simba Selemani Matola. Hii inakuja Baada ya Mabingwa hao Wa Kenya kukaa kwa muda mrefu bila kuwa na Kocha wa kiwango kizuri cha kuifundisha timu hiyo ambayo hapo awali ilikuwa...
  4. AbbasTwalb

    TANAPA: Picha ya Ol Doinyo Lengai, ni moja ya picha 15 bora za Kimataifa 2020

    Picha inayoonyesha mwonekano mzuri wa volkano ya Ol Doinyo Lengai, "Mlima wa Mungu" iliyoko Gregory Rift, Kusini mwa Ziwa Natron ndani ya Mkoa wa Arusha imechaguliwa kati ya picha 15 bora katika changamoto ya picha ya ulimwengu ya Wiki Loves Earth 2020. Ni picha pekee kutoka Afrika iliyofanikiwa...
  5. AbbasTwalb

    CCM inakoelekea ni kubaya zaidi ya jana

    Soon wataiachia usiwaze
  6. AbbasTwalb

    CCM inakoelekea ni kubaya zaidi ya jana

    [emoji23] Eti "Pandikizi"
  7. AbbasTwalb

    Kupiga kura ni dhihirisho la kujitolea kwetu, sisi kwa sisi, nchi hii na ulimwengu huu.

    Kuelekea katika tarehe za kupiga kura mimi bado naendelea kuwashawishi vijana wenzangu wa kitanzania kujitokeza kwa wingi kwenda kupiga kura ili tuweze kuchagua viongozi tunaowahitaji ili watufanyie mabadiliko katika maeneo yetu tunayoishi. Kigezo cha kusema mshindi ameshapangwa na NEC sio...
  8. AbbasTwalb

    CCM inakoelekea ni kubaya zaidi ya jana

    Nimefuatilia mwenendo wa chaguzi zetu kubwa kwa muda mrefu tokea tuanze kutumia mfumo wa vyama vingi vya siasa ili kupata viongozi mbalimbali wa ngazi za juu nikagundua miaka inavyozidi kwenda na kila chaguzi zinapozidi kusonga ndivyo hali ya chama chetu kilichotupa uhuru kinazidi kuangamia...
  9. AbbasTwalb

    Nahisi nimepona ugonjwa wa wasiwasi/uoga uliopitiliza

    Kweli wazazi inabidi tubadilishe malezi ya watoto wetu
  10. AbbasTwalb

    Miaka 10 kutoka leo watoto wako watakuwa na shibe ama njaa ya maamuzi uliyofanya leo?

    Wafanya biashara wengi duniani wao wanaamini kipimo sahihi cha mtu kufanikiwa kibiashara ni MIAKA KUMI hivyo ukikosea kucheza karata yako vizuri leo ukiwa kijana maisha yako yajayo uzeeni utakiwa ndio unaanza miaka kumi ya kutafuta mafanikio ya kibiashara wakati wale wenzako waliojielewa wakiwa...
  11. AbbasTwalb

    Vijana tuchangamkie fursa za sekta ya mawasiliano

    [emoji2] [emoji2] Ila kweli TCRA watuonee huruma jamani.
  12. AbbasTwalb

    Uchaguzi 2020 CCM tumezidiwa sana na tunaweza tusimalize vizuri. Huyu mtu kasi yake ya ajabu

    Tatizo la wanasiasa wengi duniani ni kuwaaminisha wananchi kuwa maadui zao ni maadui pia wa wananchi
  13. AbbasTwalb

    Vijana tuchangamkie fursa za sekta ya mawasiliano

    Kwa mujibu wa TCRA idadi ya watu wanaotumia mitandao ya kijamii nchini Tanzania imezidi kutoka Million 26 mwaka 2015 mpaka kufikia Million 27 mwaka huu 2020. Sasa basi ni rasmi sekta ya mawasiliano kwasasa ni moja kati ya sekta ambazo zikitumika vizuri na vijana zitawapatia kipato kikubwa mno...
Back
Top Bottom