Search results

  1. B

    Hawa Ndio Walio Nyuma ya Mafanikio ya Yanga na Simba

    Ukweli ni kwamba, kampuni za METL inayoongozwa na Mohamed Dewji na ile ya GSM inayoo na Ghalib Said Mohd ndio kampuni zinazoipa jeuri Yanga akia Utopolo na Simba, aka Madunduka FC; Makofi tafadhali kwa kampuni hizi mbili! Hata hivyo, kampuni hizi mbili zisingeweza kufanya wayafanyayo kama sio...
  2. B

    Nimeamua Kupunguza Matumizi ya Intaneti kwa angalau 50%

    Kama vile tozo walizoweka hazitoshi, wameamua kuchukua tozo zingine kwa kupunguza ukubwa wa vifurushi vya intanet. Hivi huko serikalini wanafikiri kwa kutumia kiungo kipi cha mwili. Walivyo mazuzu nasikia wamepiga pin mitandao ya ngono!! Sijui wanamkomoa nani wakati ni wao wenyewe ndo wanakosa...
  3. B

    Iwe uongo au kweli, hapa Upinzani wana cha kujifunza

    Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Pamoja na yote lakini Edward Lowassa alijitahidi kuipambania CHADEMA kwenye uchguzi mkuu wa 2015 ingawaje alishindwa kuipigania baada ya uchaguzi kupita. Lakini hali kwa Lowassa ikiwa hivyo, Membe ndio sikumuelewa kabisa. Kwanza ile anaingia tu ACT na kupewa...
  4. B

    Mbwana Samatta arudi tena Ubelgiji, aenda Royal Antwerp

    Kama ambavyo tweet inavyoonesha hapo juu, Mbwana Ali Samatta amerudi nchini Ubeligiji, na safari hii akijiunga na klabu kongwe nchini humo, yaani Royal Antwerp! Kwa wafuatiliaji, bila shaka wanafahamu Samatta hakuwa akipata nafasi ya kutosha pale Fenerbahce. Jambo lililonishangaza, inaonekana...
  5. B

    Cristian Ronaldo ndani ya Man U

    Manchester United is delighted to confirm that the club has reached agreement with Juventus for the transfer of Cristiano Ronaldo, subject to agreement of personal terms, visa and medical. Cristiano, a five-time Ballon d’Or winner, has so far won over 30 major trophies during his career...
  6. B

    USHAURI: Achana na fahari ya Vyeti vya Elimu, jikite kutafuta Ujuzi

    Naanza mada hii kwa kujadili hatua mbalimbali, ingawaje hatua moja inaweza isiwe na umuhimu kwa mwingine lakini ikawa chachu ya kujitathimini hatua uliyopo. Wakati Upo Chuo. Kwa sie masikini hatua hii ni muhimu sana katika kuandaa maisha yetu ya mtaani baada kumaliza chuo. Ukichanga karata...
  7. B

    Ukweli Kuhusu Nyumba za Bei Nafuu za Malipo Kiduchu Kila Mwezi Huko Kigamboni!!

    Inakaribia mwaka mmoja sasa mshikaji wangu wa karibu kabisa alipofika home na kuniambia kuhusu JPM kutaka kujenga nyumba za bei za nafuu kwa ajili ya wavuvi huko wilayani Kigamboni!! Ndugu yangu huyu akanieleza kwamba, wavuvi hao walitakiwa kufungua akaunti benki na kuweka kiwango cha pesa...
  8. B

    Ugonjwa wa Kibofu cha Nyongo

    Salaam Watalaam wa Tiba na wana-JF kwa ujumla. Bila kuwapotezea muda, ningependa msaada wenu kuhusu ugonjwa wa Kibofu cha Nyongo ambao unamsumbua sana mama yangu. Baada ya kwenda hospitali, mara kadhaa amekuwa akiimbiwa hilo ndo tatizo linalosumbua lakini bado hajapata tiba inayoeleweka. Kwa...
  9. B

    Rafiki mwema ni yule akufaaye siku ya dhiki: Tuwaunge mkono Airtel na hii offer yao

    Binafsi sio mtumiaji wa Airtel Internet. Mara nyingi ukiona natumia bundle ya internet ya Airtel basi ni ile inayotokana na vifurushi vya kawaida vya Dakika + SMS + Internet ingawaje mara nyingi hii bundle huwa inapotea tu kwa sababu kwa muda mrefu nimekuwa nikitumia ama TTCL au Halotel. Kwa...
  10. B

    Hatimaye Donald Trump Aufyata Rasmi!

    Baada ya hapo jana Bunge la Marekani kumthibitisha Joe Biden na kisha Trump kupokwa silaha zake muhimu ambazo ni social media, hatimae hivi leo Donald Trump ameufyata na kukubali matokeo ya uchaguzi uliopita! Donald Trump conceded that Joe Biden would become US president this month, putting...
  11. B

    Chill Boys yaachana na aliyekuwa kocha wa Yanga Luc Eymael

    Yule kocha mtukutu na msema hovyo ambae aliwahi kuwata Watani kwamba Manyani, kauli yake hiyo inaendelea kumtafuna. Baada ya Eymael kutupiwa virago na Vyura wa Bwawa la Jangwani, miezi michache baadae, Chippa United, maarufu kama Chilli Boys wakaonesha nia thabiti ya kumpa mkataba. Kama...
  12. B

    Msaada: Majina ya ndege wafuatao kwa lugha za asili

    Kama title inavyosema hapo juu. Ningependa kufahamu majina ya ndege wafuatao kwa lugha yenu ya asili. Unapotaja, naomba unijuze ni jina la kabila lipi. Vile vile nimejaribu kuweka majina yao ya Kiswahili (in blue). Sina uhakika wa 100% kama ndivyo wanavyoitwa kwa Kiswahili. Hivyo basi, kama...
Back
Top Bottom