Search results

  1. T

    Interview Tume ya Utumishi wa mahakama ya Tanzania

    We mbona una haraka sana, watu wali subiri kuitwa kwenye usahili miezi 8, (refer TRA) wewe wiki 2 tu umepanic, fanya shughuli zingine kaka,
  2. T

    Kuitwa kazini TRA (Wiki ya lala Salama)

    Pressure inapanda, pressure inashuka!!,,
  3. T

    Sekondari iliyopata mgawo wa ESCROW yaongoza

    Kusema shule yake inasomesha maskini ni vichekesho, ada million 5, mtoto gani wa maskini anaweza kulipa kiasi hicho cha fedha?????
  4. T

    Tunda man: Lowassa ndiye anafaa kuwa Rais

    Labda rais wa bongo flavor!
  5. T

    Usaili Rombo, Babati Na Mbulu

    Nielekeze namna ya kutuma niwatumie bse majina ninayo hapa!
  6. T

    Kuhusu TRA Oral interview

    Vp mliulizwa maswali gani?
  7. T

    Kuhusu TRA Oral interview

    Kwan haukuambiwa majibu ni baada ya muda gani?
  8. T

    Mbunge mwenye elimu ndogo kuliko wote Tanzania

    Elimu haina tija kwenye kuongoza,
  9. T

    CHADEMA yaifunika CUF

    Hamna kitu hapo kwenye uhalo wako
  10. T

    CCM tuungane kupinga upuuzi wa UKAWA

    Yan mie mwana CCM, mgao sijapata haya sh mia afu unishawishi eti nipinge hoja za ukawa!! Ntakuwa nimepotoka kisaikolojia na kujiondoa ufahamu. Siungi mkono ujinga wako
  11. T

    Nafasi za kazi walimu wa nursery na primary

    Walimu wa masomo gani?
  12. T

    Mwenye taarifa ya kupangiwa kazi na tume ya utumishi wa mahakama

    Tarehe 30/05 mwaka huu tulifanya interview chini ya tume ya utumishi wa mahakama nafasi ya hakimu mkazi kwny kumbi za national stadium. Mpaka leo bado kimya, mwenye updates atujuze because naona wamwmwaga zingine 300.
  13. T

    Njama chafu za kuidhoofisha CHADEMA: ‘Tatizo ni Mbowe, Dk. Slaa’

    kumbe bado unatambua uwepo wake, si mlisema ilishakufa, mbna nyie mazezeta ni wepesi wa kusahau karagabao
  14. T

    Jamaan mwenye taarifa kuhusu TRA

    tafuta kazi nyingne kaka, hakuna ki2 kule, system imebadilika, kazi kibao zinafanywa na computer hta waajiriwa wengne wanakaribia kutemwa kaka
  15. T

    Mbowe na Dr Slaa sasa kwisha; kushtakiwa rasmi na wajumbe Baraza Kuu!

    mbona mkurugenzi wa habari bwn mnyika ameishawajibu vihoja vyenu, yani umetoka huko na viroba vyako unatapika 2 hapa u.halo wako, mtaweweseka sana na chadema haitakufa ng'o,
  16. T

    Mkakati Namba 3 dhidi ya CHADEMA; Polisi kundi hili ni hatari

    this is too much, sheria inabidi ichukue mkondo wake kwa manyang'au ya ACT na washirika wake, siasa za tanzania zinazidi kuwa za maji taka kabisa, mbinu zote hizo ni kutaka kuiteketeza CHADEMA?????????????, to hell with that evil mission. kamwe mipango yote mufilisi haitawezekana, isitoshe...
  17. T

    Huu ndiyo mkakati mzima wa CCM kuidhoofisha CHADEMA...

    we kaufyate, mambo ya chadema yanakuhusu nini? kachukue buku 7
  18. T

    Wajumbe Baraza Kuu CHADEMA wawalipua Mbowe na Slaa

    we kweli haujielewi, yani mwenyekiti aje hapa kujibu uhalo huuu,
  19. T

    Wajumbe Baraza Kuu CHADEMA wawalipua Mbowe na Slaa

    kafungie mandazi hiyo taarifa yako sababu haina authentication its irrelevant and immaterial, then uchukue buku saba pale lumumba street,
Back
Top Bottom