Search results

  1. T

    VAT kwa watalii

    Kwanza napenda ijulikane kabla serikali haijaingiza vat kwenye utalii tayari mgeni/mtalii analipa vat kwa kuzunguka (indirect); kila mtalii anayekuja Tanzania analipa vat, analipaje? akilala kwenye hoteli zetu anakuwa ameshalipa vat, akipanda ndege ameshalipa vat, akipanda boat ya azam...
  2. T

    Kama waziri hataki watalii maskini (budget) ni hatari kwa taifa na watu wake

    Awali ya yote nielezee aina ya watalii wanaokuja Tanzania, nchi yetu inapata au kupokea watalii aina nne: 1. Kuna watalii wa bajeti (budget), 2. Watalii wa Kati (mid class), 3.Watalii wa Juu (high class) na Watalii wa juu zaidi (High end). Watalii wa bajeti na wakati ndo wengi ni kati ya 70% -...
  3. T

    VAT katika Utalii: Prof. Maghembe asema hatuhitaji watalii masikini

    KAMA WAZIRI HATAKI WATALII MASKINI (BUDGET) NI HATARI: Awali ya yote nielezee aina ya watalii wanaokuja Tanzania, nchi yetu inapata/pokea watalii aina nne: 1. Kuna watalii wa bajeti (budget), 2. Watalii wa Kati (mid class), 3.Watalii wa Juu (high class) & Watalii wa juu zaidi (High end)...
  4. T

    TBC kutorusha matangazo ya Bunge live, UKAWA wameshindwa kuwatetea Watanzania?

    Taarifa ya habari jana usiku saa 2 ilisema TBC watarusha tu matangazo bunge ya maswali na majibu asubuhi na yale mengine yatatafutiwa kipindi maalum. Huu utaratibu mpya ulipotangazwa bungeni na wazari mwenye dhamana UKAWA walikataa na kudai watahakikisha wananchi wanapata matangazo ya bunge...
  5. T

    Karo juu shule ya Trust St. Patrick Arusha

    Pumbavu ni wewe, tena naona unatumia downstairs badala ya upstairs
  6. T

    Karo juu shule ya Trust St. Patrick Arusha

    Siyo St Patrick tu wanachaji karo ya juu, ziko shule nyingi za namna hiyo ndo maana nimeomba serikali itoe bei elekezi. watu wengine sijui vipi, wabinafsi kwelikweli eti kwasababu yeye ana uwezo basi hafikirii watanzania wengine ambao hawana uwezo. watu hao ni sawa na wale wanaoishi na maskini...
  7. T

    Karo juu shule ya Trust St. Patrick Arusha

    Wewe si mamlaka husika, huu ujumbe ni wa mamlaka husika. Wewe ndo walewale
  8. T

    Karo juu shule ya Trust St. Patrick Arusha

    Shule ya St. Patrick Arusha imepandisha tena ada kwa mwaka 2016. Hata hivyo, ada ambayo ilikuwa inalipwa mwaka huu wa 2015 bado ilikuwa juu. Kila mwaka shule hii inapandisha ada za shule. Na cha ajabu watoto waliyomaliza darasa la saba mwaka huu walilipa ada temu tatu badala ya temu mbili...
  9. T

    Ikulu yabadili anuani ya Tovuti yake

    Nina muomba na kumsihi Mh Magufuli afutiliye mbali mwenge kama si kuuweka jumba la makumbusho, huu mwenge unatumia hela nyingi sana za taifa kuzunguka nchi nzima
  10. T

    Kwanini CCM hawampendi Mbowe?

    Kamanda Mbowe ni kichwa na ni mbunifu wa siasa, si kwamba ccm wanamchukia bali wanamuogopa sana.
  11. T

    UKAWA hamueleweki, watanzania tunawashangaa

    tafadhali carlos nipe taarifa
  12. T

    UKAWA hamueleweki, watanzania tunawashangaa

    Sisi hatuna shida na katiba kwani walivyokuwa wanaingia kwenye uchaguzi si walikuwa wanaijua katiba na wanaijua tume ya uchaguzi? kwanini wasingepambana kipengele cha katiba kirekebishwe ili matokeo ya uraisi yahojiwe mahakamani na pia kwanini hawakupambana ipatikane tume huru ya uchaguzi kabla...
  13. T

    UKAWA hamueleweki, watanzania tunawashangaa

    Siwezi kujiuliza hilo swali kwani mshindi alitangazwa tarehe 29 oktoba na baada ya kutangazwa mshindi raisi akaapishwa tarehe 05 Novemba, huo muda wote (siku 8) ukawa walikuwa wapi wasiseme kile walichokuwa wanadai?kwanini wasubiri hadi tar. 08 novemeba? Tunataka ukawa mtuambie Ukweli na...
  14. T

    UKAWA hamueleweki, watanzania tunawashangaa

    Wakati tume ya uchaguzi ikiendelea kutangaza matokeo ya urais kupitia mgombea wenu mlisema kura zinazotangazwa na tume siyo sahihi, kuna uchakachuaji hivyo hamtakubaliana na kinachofanywa na tume, tume iliendelea na kazi yake na mwishoni ikatangaza mshindi. Kuanzia mshindi wa uraisi atangazwe...
  15. T

    Dr. Slaa: Magufuli haogopi kupoteza kura kwa kukemea ufisadi na kusema atawafunga wala rushwa!

    Slaa hata useme nini, sisi watanzania tumeshaamua. Mh. Lowassa angeingia UKAWA na wewe ndo ukachagulia kugombea urais ungeondoka na kumsema Mh. Lowassa kuwa ni fisadi? Haingii akilini mfumo uliokuwa unaukataa ndo sasa unaupigania kwa nguvu zako zote......kuna niniii?, watanzania tumeshaamka...
  16. T

    Yaliyojiri Bungeni Nairobi: Rais Kikwete kutoa hotuba ya kuaga

    Kwake kuna umeme? Tangia nimekuwa mtu mzima sikuwahi kuona shida ya ummeme kubwa hivi
  17. T

    Huduma ya Paypal Tanzania

    Tatizo la hii nchi ni viongozi kutukuwa wazalendo, ndugu zangu Watanzania tuamke tufanye mabadiliko ya kweli tar 25 october. bila mabadiliko tutaendelea kuwa na matatizo kila uchao, haingii akilini nchi iko gizani tunakosa hata umeme wa kuchaji simu bado watu wanaomba kura, Watanzania fursa ni...
  18. T

    VIDEO: Uongozi wa CHADEMA Kilosa (M/kiti, Katibu), wahamia CCM muda huu

    Kama wewe selemani umekosa ujasiri wa kundelea kuinadi chadema ningekuona wa maana kama ungeinda chama kingine na si ccm, naona umeshajazwa
  19. T

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Naomba dr slaa ujibu maswali haya; mfano familia yako ina maadili mazuri (wewe, mkeo na watoto) na familia yangu (mimi, mke na watoto) ina maadili mabaya tena watenda dhambi. Sasa mtoto wangu anatoroka anakuja kwako yaani kwenye familia yako. swali; yule mtoto atabadilika na kuwa na maadili mema...
  20. T

    Huduma ya Paypal Tanzania

    Malipo kwa njia ya PAYPAL; Hii ni njia au huduma nzuri sana na ya haraka kulipwa au kulipa hela. Ni huduma inayotumika sana Duniani kwa sasa. Lakini nchi yetu ya Tanzania hususan Benki kuu wamekataa malipo ya huduma hii yaani mtu, taasisi au shirika haliwezi kulipa mtu, taasisi au shirika kwa...
Back
Top Bottom