Search results

  1. Mqqqqqm

    Nisomee faculty gan degree yangu ya pili?

    Habar Ndugu Nina Mdogo wangu anataka kwenda kusoma Diploma ya Social Work naomba unieleweshe upande wa ajira zake yaani mtu anakuwa na nani na anafanyia kazi wapi lakin pia vipi kuhusu upatikanaji wake wa ajira kwa sasa?
  2. Mqqqqqm

    Naomba ushauri kuhusu matokeo haya ya Form Four

    Wapendwa! Naomben ushauri wenu Nina mdogo wangu amemaliza form four na amepata four ya 26 Kiswa B, English C, Lit Engl D Bios, Civics, Geog---- D Hist F and Math F Je, anaweza kwenda kusoma advance au njia gani nyingine ya ziada ifanye ili asonge mbele kielimu?
  3. Mqqqqqm

    Nilipata division two ya 12 (PCB) nataka kurudia advance ili nifanye mtihani kama Mtahiniwa Binafsi mwakani

    Husika na kichwa hapo juu. Ndugu zangu wapendwa naomben ushauri wenu Kwan mwaka huu nilihitimu kidato cha sita kwa ufaulu wa division two ya 12 nikiwa na D flat kweny combination yangu ya PCB Kwa ndoto zangu ninataman kuwa Doctor (MD) lakin kulingana na ufaulu wangu naona itakuwa vigumu...
Back
Top Bottom