Search results

  1. C

    Njia ya kuisaidia serikali kubana matumizi

    Nilimsikiliza rais Jana akizitaka taasisi ya social security KUBANA MATUMIZI,ili ili wahusika halisi ambao ni wafanyakazi waweze kupata mafao yatakayo wakimu wastaafu. Mimi kwa maoni yangu ili ku_hamonizi mifuko ya jamii,SERIKALI ICHANGIE asilimia 10 na WAFANYAKAZI wachangie asilimia 10 Kama...
  2. C

    Viongozi zanzibar wakiangalia miaka 50 ijayo wakazanie serikali moja.

    Kwa muda mrefu nimekuwa nafuatilia siasa za Zanzibar, na jinsi viongozi wao,wanavyotamani kutawala leo,bila kuona madhara ya baadaye. Ineo la Zanzibar ni dogo sana,miaka 50 ijayo itakuwa na idadi ya watu kati ya milioni tano mpaka nane.Wote watakuwa wananyang'anyana eneo hilo hilo ambalo leo...
  3. C

    Viongozi waape kwa kutumia katiba na sio Biblia au Koran.

    Kwa jinsi dunia inavyokwenda sasa,naoma kama binadamu tunamchezea mungu na kumuudhi kupita kiasa. Kwa sasa nimekuwa jambo laq kawaida kwa misaada ya kiuchumi kiasiasa kuchanganywa na ndoa za jinsia moja. Mfano wa karibu ni wa nchi ya Ugamba kusimamishiwa misaada ya maendeleo, kwa ujasiri wa M7...
  4. C

    Sasa ndio nafunguka macho kuwa swala la richmond ni mchezo mchafu wa kuchafuliana

    Imenichuwa takriban miaka minne kuweza kupata kiini cha RICHIMOND na kujiuzulu kwa Lowassa, katika wadhifa wa waziri mkuu.Hawa waheshimiwa kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2005, uliomweka madarakani rais wa sasa WALIKUWA WANA MTANDAO na walipeana vyeo.Katika kupeana vyeo hivyo jina la Lowassa...
  5. C

    Uwekezaji katika tanzania unamsaidia nani?

    Kwa mtazamo wa kwangu mimi NIONAVYO NA ninavyoamini ni kwamba ,HAIWEZEKANI NA HAITATOKEA MGENI WA NJE AJE KWA MOYO MMOJA AIENDELEZE TANZANIA NA WATANZANIA KWA NJIA HII TUNAYOTUMIA SASA YA UWEKEZAJI. Pili mimi naamini ya kwamba msaada wowote utakaotolewa na wenzetu hasa wa magharibi ni lazima...
  6. C

    Mabadiliko ya uongozi kwa nchi za afrika hayaleti mabadiliko yoyote

    Kuna kitu nakiona cha hatari kwa Watanzania wenzangu kwa tabia yetu ya kukurupuka,bila kuwa na utafiti au hata uchunguzi wa kina juu ya tunachokitaka.Kwanza nitoe angalizo kuwa mimi si shabiki au mwanachama wa chama cho chote cha siasa. Ila ni Mtanzania ninayeiombea mema nchi yangu pamoja wa...
  7. C

    Mpinzani kwa kweli wa ccm ni serikali yao

    Leo nimeona nianze kuchokoza mada ya hapo juu kuweza kujua matatizo ya nchi yetu,hasa katika awamu hii ya nne ambayo maamuzi mengi ya msingi hayafanywi au yanaachwa yafe kifo cha mende. Nionavyo mimi CCM imeuza kukubalika kwake kwa wananchi kutokana na serikali yake kutotekeleza malengo...
  8. C

    Chadema na katiba mpya

    Natanguliza shukurani zangu kuchangia hoja ya katiba mpya hususani kuhusiana na chama cha siasa cha CHADEMA. Nimeamua kwa makusudi kabisa kuanzisha hoja hii ili hisitoria ije ihukumu.Kimsingi hoja ya katiba mpya ilianzishwa na wanaharakati miaka mingi wakati wa vuguvugu la vyama vingi.CHADEMA...
Back
Top Bottom