Search results

  1. M

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Kwi kwi kwi, yaani sasa umeanza flooding, unaweka kila thread. Au unatafuta sababu ya kufungiwa kwa flooding kisha uanze malalamiko? Ukisikia kuishiwa hoja ndiko huku. Unatia huruma sasa na hii obsession yako na Mbowe. Ngoja nikupe break kidogo sasa maana umeanza kuonyesha frustrutions...
  2. M

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Ninakuwekea tena hii habari ya udini ndani ya ccm ili uisome vizuri na ukimaliza urudi kuendeleza udaku: 1. Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete - Mwenyekiti - Muslim 2. Ndugu Pius Msekwa - Makamu Mwenyekiti (Bara) - 3. Ndugu Amani Abeid Amani Karume - Makamu Mwenyekiti(Zanzibar) - Muslim 4...
  3. M

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    kwi kwi kwi, bana mbavu mpaka wachukie na kuanza kuleta habari za jikoni huku wakiziita facts. ha ha hah,
  4. M

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    ha ha ha ha. mafisadi wa ccm mtapata magonjwa ya moyo mwaka huu. mkuki kwa nguruwe, mliita CUF chama cha kidini mkadhani hakuna mtu anayejua siri ya udini ulivyojaa ccm. Hapa mama mmepatikana, mtabanwa mbavu kwenye mambo ya EPA na buzwagi, na mkileta mambo ya udini na ukabila, mtaanikwa tu...
  5. M

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    ha ha ha ha, umepatikana tena masikini kwa kuleta habari za kidaku za jikoni na sasa umeanza kuziita facts. ha ha ha ha, hapa sina mbavu.
  6. M

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    mdaku kama vile mdaku mwenzake alivyokimbilia kuja kujadili mjadala wa kidaku
  7. M

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Ha ha ha , ulikimbilia kuja kujadili habari unazoita udaku bila kujua kuwa hilo linakufanya wewe kuwa mdaku vilevile. Ha ha ha, ndege anayedhani kuwa ni mjanja amenaswa kiulaini kwenye mtego wake mwenyewe.
  8. M

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Point well taken! Hili suala la udini ccm ndio mwanzo limeanza kuanikwa hapa JF na baadaye litaanza kuenezwa kwa watanzania wote ili wajue kinachoendelea huko ccm. Ukitaka kulipuuzia, hiyo ni juu yako.
  9. M

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Habari za jikoni kama hizi huitwa udaku, na watu wanaozileta huitwaje vile?
  10. M

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    ha ha ha, mtafuta facts kwenye habari ambayo anaiita ya udaku, ha ha ha, naona umejianika bila kutegemea. Ndio tatizo la kudhani unajua kila kitu kumbe hakuna kitu. Ha ha ha
  11. M

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    ohhh, umekuja kujadili habari unayoiona ni ya udaku, kitendo kinachokufanya wewe kuwa mmoja wale wanaopenda habari za udaku na ambao wanaitwaje vile?
  12. M

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    udaku na anayeongelea au kuchangia habari ya udaku anaitwaje vile?
  13. M

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Kama hufikirii mambo ya udaku, unafanya nini kwenye thread ambayo umeiita ya udaku? huoni kuwa kitendo cha wewe kuchangia hii thread kinakufanya uwe mpenda udaku?
  14. M

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Wewe unaionaje?
  15. M

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Labda nikuulize hili swali wewe. Wewe unafikiria afanyeje?
  16. M

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Haya yote bado ni maoni yako binafsi.
  17. M

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Unaweza kwenda maktaba ukazipata.
  18. M

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Haya yaweza kuwa maoni yako na una kila haki ya kutoa maoni yako kwa kadri yoyote unayotaka. Suala la kuwa na viongozi wengi wa kiislam ndani ya ccm kuliko wakristo ni suala ambalo Kikwete ninamshauri hapa kuliangalia.
  19. M

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Na mimi nimekujibu tayari kuwa waliopigania uhuru hawakuwa na dini yoyote ya kigeni au influence ya dini za kigeni - uislam au ukristo. Walipigania uhuru kama waafrika wenye uchungu na ardhi na malighafi zao.
  20. M

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Mama, ukisoma kichwa cha topic kinashauri Kikwete kuondoa udini CCM.
Back
Top Bottom