Search results

  1. K

    Serikali yamkomoa msaidizi wa Mkapa... NSA KAISI!!!

    Huyu jamaa hafai kabisa.Ngoja nae aipate tena bado,na mimi ningekuwa naweza ningemshughulikia nikikumbuka alivyo wafanyia wazee wet enzi za kilichoitwa uhujumu uchumi,watu walitafuta mali zao kwa haalali yeye akazitaifisha, akawafunga na kuwatesa,sasa wenzie wameshakufa akina Sokoine yeye muache...
  2. K

    Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    Kama Rais kweli anafuturisha kwa fedha za kodi ya wananchi hilo ni kosa kubwa na mimi sikubaliani nalo,kwani ni wananchi wangapi wananufaika na hiyo futari? hiyo pia haiwezi kuhalalisha uhalifu mwingine wa kutumia kodi za wananchi kupamba ofisi za swerikali nchi nzima na kuanda kadi za x-mass na...
  3. K

    Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    Sisi hatukatai kuvumiliana,lakini uvumilivu gani wa kutudhulumu? Tulipe kodi sote halafu wanufaike wakristu na dini yao peke yao? Hebu tuwe wakweli ukienda kwenye ofisi za umma utashangaa jinsi zilivyo hodhiwa na wakristu? akiwemo muislamu ni wa kuokoteza tena anaingia kwa mchujo mkali...
  4. K

    Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    Mkuu hivi vitu haviko sawa! Adhana ya Waislamu ni ngoma droo na kengele za Kanisa,hapo hujaweka kelele za walokole.Hata hivyo hakuna ane lipa kodi kwenye adhana.Sisi sote tunalipa kodi halafu kodi zetu zinatumika kugharamia mambo ya wakristi ambayo hayatuhusu. Mambo ya kufuturisha hutumika...
  5. K

    Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    Mfumo kristu bwana ni hatari. Alhamisi iliyopita kabla ya x-mass nilienda TRA Kinondoni kurenue MV Lisensi ya gari langu,nikakuta ofisi nzima imepambwa vilivo kwa maua ya x-mass huku taa za urembo zikiongezea mapambo,Kilicho niudhi zaidi ni zile nyimbo za kikristu zilizokuwa zinapigwa tena kwa...
  6. K

    Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    Bora umetambua kuwa maaskofu ni waongo ndio maana unautamni ukweli toka serikalini!
  7. K

    Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    Hiyo 90% ya Waislamu base yake ni ipi? wametaja Rais,Makamu wake,Jaji Mkuu na Mkuu wa jeshi la Polisi! Huu ni uzushi mkubwa! Hivi Mkuu wa jeshi la Polisi ni kiongozi muandamizi kuliko Waziri wa Mambo ya ndani? Jaji Mkuu ni kiongozi muandamizi kuliko Waziri wa sheria? bora wangetaja viongozi...
  8. K

    Joyce Banda: I shall die for the land of Malawi!

    Ukiondoa wewe mMalawi, waTz wote ktk hii thread wameweka political pembeni wanazungumzia uzalendo.Heko wabongo,huyu mmalawi mpotezeeni hata hajui alisemalo.Eti waarabu sio waafrika,muulizeni Tunisia,Misri,Libya nk wanaishi watu gani? au hazipo Afrika?
  9. K

    Joyce Banda: I shall die for the land of Malawi!

    Hebu jikumbushe wimbo huu enzi zetu za mchaka mchaka: Banda wa Malawi, katuvalia ngozi ya simba,kututishia waTanzania,hatujalii! hatujalii!
  10. K

    Hali katika Baraza la Uwakilishi Zanzibar sio Shwari juu ya Muungano.

    Nchi yetu Tz wanafiki wakubwa,eti ni kosa la jinai mtu kuwa na uraia wa nchi mbili,mbona Pengo ana uraia wa Vatican kama mnasema Vatican ni nchi?
  11. K

    Hali katika Baraza la Uwakilishi Zanzibar sio Shwari juu ya Muungano.

    Vatican sio nchi mkuu ndio maana wakatoliki wote duniani hujiita raia wa Roma,Roman Catholic,hivi hakuna Tanzania Catholics?
  12. K

    Hali katika Baraza la Uwakilishi Zanzibar sio Shwari juu ya Muungano.

    Vatican sio nchi mkuu,raisi wake nani? tena hapo patamu kama vatican ni nchi ndani ya nchi ya Italy na bado wanakuwa na uwezo wa kupeleka mabalozi na kuingia mikataba ya kimataifa kwa nini Znz isiingie mikataba na OIC?
  13. K

    Hali katika Baraza la Uwakilishi Zanzibar sio Shwari juu ya Muungano.

    Kama Tz haina dini sasa wa vatikan anatafuta nini? si anawakilisha dini huyu? Jumuia ya madola je ambayo mkuu wake lazima awe ni mkuu wa kanisa la Aglican mbona Tz ni mwanachama?
  14. K

    John Mnyika amuita Rais kikwete Dhaifu, atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge!

    Naona we unafurahisha baraza tu.Wegi hawakusoma enzi hizo ila wateule wachache,si kwamba hawakutaka ila nafasi za kusoma hazikuwepo,kwenda sekondari ilikuwa ni kwa quota.Viwanda gani unazungumzia? si vilikufa vyote kutokana na ubovu wa menejimenti na ukosefu wa malighafi tena awamu ya kwanza...
  15. K

    John Mnyika amuita Rais kikwete Dhaifu, atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge!

    Literacy is one of the main key development measures bro.Don't you understand it or you just pretend
  16. K

    John Mnyika amuita Rais kikwete Dhaifu, atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge!

    Mzee utajadili maendeleo ya sasa bila reference ya nyuma? Matatizo yetu makubwa yanatokana na msingi mbovu wa waasisi wa taifa na ujamaa wao
  17. K

    John Mnyika amuita Rais kikwete Dhaifu, atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge!

    Swali zuri ngoja tusubiri majibu,utaambiwa hapa anajadiliwa jk na si watangulizi wake as if jk invented the country
  18. K

    John Mnyika amuita Rais kikwete Dhaifu, atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge!

    The good thing is:you got the message even if you try to circumvent it. Advertise for the job,get more tham 400,000 applications,isn't that not development? 400,000 graduates seeking for the job,never happened in history.Enzi hizo hata kazi za kutangaza hazikuwepo
  19. K

    John Mnyika amuita Rais kikwete Dhaifu, atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge!

    Wakati wa keenja barabara zetu za Kimara zilikuwa zinapitiwa na greda kila baada ya miezi 3.Sasa mwaka hatujaona greda,sisi tunachotaka ni maendeleo sio ushabiki wa vyama
  20. K

    John Mnyika amuita Rais kikwete Dhaifu, atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge!

    If u want me to forget about Nyerere then abolish history class in the syllabus
Back
Top Bottom