Search results

  1. D

    CHADEMA mnampuuza Mbowe!

    (Mhe. Mbowe akiwa Mbeya alikiri wazi kuwa CHADEMA kwa miaka yote tangu kuanzishwa kwake kimekuwa ni chama cha HARAKATI... Lakini nilifurahi kusikia akiwaomba wenzake kuwa sasa ni wakati wa kukibadili Chama chao kutoka chama cha harakati na kuwa sasa chama cha SIASA.) NDUGU NAPE, KWANI SIASA...
  2. D

    RAIA MWEMA, Ni wakereketwa wa Udini na Ukabila?

    Mimi nimeisoma makala ile. Inaonekana imevuta macho na akili za wengi. Nadhani lengo la mwandishi ni kuleta "hoja ya uchokozi" ili kufanya akili zetu na watawala zifikirie zaidi ya zinavyofikiri sasa. Ni kweli, na nakubaliana na mwandishi, kwamba ni vigumu kuwafanya wakristo wasiamini kwamba...
  3. D

    Kauli tatu tata za mwenyekiti wa CHADEMA (Freeman Mbowe) ktk kipindi kisichozidi miezi 3

    Ndugu yangu TUNTEMEKE, hizo kauli zote hujazisikia mwenyewe, bali umezinukuu kutoka kwenye Magazeti ambayo nayo yamezinukuu kutoka kwa waandishi wao ambao nao wamezinukuu kutoka kwa wasemaji. Sasa katika mlolongo huo wa kunukuu, na kwa kujua baadhi ya waandishi wetu si waadilifu, sentensi ya mtu...
  4. D

    Mkasa wa Dr. Ulimboka: Inawezekana Kabisa Sio 'Inside Job'!, bali ni 'Smear Campaign'?!

    Yale yale ya majibu rahisi kwenye maswali magumu. Suala lilipo mbele yetu, na ambalo hakuna ayebisha, ni kuwa Dr. Ulimboka alitekwa, kupigwa na kuteswa na watu wasiojulikana na kutupwa kwenye Msitu wa Pande. Kama una maelezo tofauti na hizo facts tutakuelewa. Swali lako kwamba "kwa nini yule...
  5. D

    Chama cha Walimu kimekodi wahuni kufanyia fujo ambao hawatagoma

    Hayo ni majibu rahisi kwa maswali magumu. Mnatakiwa mtatue kero ze walimu na sio kutafuta "mchawi". Mchawi wa migomo ni nyie wenyewe. Msikwepe wajibu wenu kwa kuwasingizia wasiohusika.
  6. D

    Nchi za Magharibi zinachochea migomo na vurugu Tanzania

    haya ni majibu rahisi kwa maswali magumu. Acheni hizo ngonjera za kukwepa kuwajibika na kuwasingizia wasiohusika.
  7. D

    Diwani mwingine (CCM Mwanza) ahamia CHADEMA

    Ili taarifa yako iwe more credible, tafadhali tupatie jina la Diwani husika.
  8. D

    Kikwete aagiza Nyumba za Serikali zilizouzwa zirejeshwe

    Eti wadau, kwani bado nchi yetu ina Wizara ya Miundombinu?
  9. D

    Jaji Shangwa atoa mpya katika kesi ya kakobe....

    Hao wachungaji watatu nadhani wanashindwa kutofautisha kati ya NGO na kanisa.
Back
Top Bottom