Search results

  1. Tinamou

    Diwani mteule wa CHADEMA Arusha - kata ya Themi ameanza kazi ya kuwatumikia wakazi wa Themi rasmi

    Hivi kuna kilimo cha mbogamboga kinachochagua maji kwamba kinajua haya ni machafu na haya ni masafi au umekosa la ku comment si ukae kimya tu.. Kwani nini.....aaaah unaaibisha...
  2. Tinamou

    JK na Mangula/Mpasuko Mkubwa CCM NEC

    Kwa kweli kama hali ndio hii basi sisi eem wameshikwa pabaya na chaaa de ma..ha..haa.. sasa hapa hari si shwari kabisa.. sasa bro naaape anajaribu kuficha nini haswa wakati inaonyesha kabisa Mwenye ... kiti ameamua na kiti ndio chake... na mh.. kwa kweli kukuacha kwenye mataa ndio desturi...
  3. Tinamou

    Mtei, wakataze CHADEMA wananchi wana taka maendeleo sio MATUSI na FUJO hazitusaidii

    Hakuna kitu kibaya duniani kama kukosa ukosefu wa fikra..halafu mbaya zaidi yes sir imewadumaza..mbaya kabisa ni ma selfish.. Na hili ndio anguko la magamba tu..huwezi kuizuia kweli ikawa uwongo..ukweli utabaki palepale...kama inauma chukua jembe kalime....si ndio kauli mbiu au..?
  4. Tinamou

    Mbinu chafu za serikali kuficha ukweli juu ya Dr. Ulimboka

    Usijali Haina haja ya kujikita katika kitu ambacho hauna uhakika nacho km hiyo ndio imani yako lakini kumbuka kuwa kila kitu kina sababu zake,na pia nobody perfect kwa hiyo pia inawezekana moja kwa moja serikali inahusika sababu serikali sio mti ni binadamu ambao wanakuwa na mamlaka na chombo...
  5. Tinamou

    Mkapa, Vincent na Madaraka: What Else?

    Mmmm Hili Nalo Neno.. Kumbe sio mimi tu peke yangu ambae mpaka sasa,nashindwa kupata jibu,WHY.....? Mkapa..Arumeru then JK na Wazee Dar.. same Day.. Ila Baba Mwanaasha ni Mtaalam na yuko vizuri pale linapokuja swala la kafanye hili cuz tunapeana majukumu... huku akijua anakutoa kafara yeye Tulii...
  6. Tinamou

    Kauli ya chadema kuhusu Hotuba ya Kikwete na Maadhimisho ya CCM

    umesoma kichwa cha habari we mbwira kabla hujachangia.. Au hauangalii unapokwenda utajigonga kwenye ukuta.. Funguka akili achana na maisha ya bora liende.. Wake up pambana na maisha na tafuta jinsi ya wote sisi tufanye nini ili tuikomboe tanzania yetu..km ccm wanakosea acha wasemwe ili waache...
  7. Tinamou

    Dr Slaa atoa Onyo kali kwa wabunge wa CCM

    walipoamua Kutoka nje kwa sababu ya kutokubaliana na mabadiliko ya sheria ya muswada wa katiba ilikuwa ni kwa manufaa ya chadema au ya wananchi..? Ulitaka Dr Slaa achukue hatua gani km wabunge wamefanya kazi yao ya kupingana muswada wa sheria unaotaka kupitishwa kuwa sheria ambao haujali masilai...
  8. Tinamou

    Mgogoro mkubwa Arusha Chadema waendelea kufukuzana

    Na Magamba ni shirika la ukandamizaji nchini au Chama Cha Malumbano nchini..au ni shirikisho la viwango vya ufisadi Nchini...?
  9. Tinamou

    Sugu Awaka, Amwaga Cheche Bungeni!

    umetumwaa eeh.. Hiki ni kisiki cha mpingo.. Zidisha juhudi jombaaa,on,on..
  10. Tinamou

    "JK anaona matatizo halafu anakaa kimya, wapinzani wakisema mnasema wanapiga kelele" by Kinana

    Haswaaa..hi,hi,hi,.. We umempatia kabisaaa yani wala hujakosea.. Ana hulka ya kulifanya lile linalopingwa halafu baadae anakana km sio yeye.. Jamaa anaishi maisha mazuri.. Yani Tz kiongozi u do something ukiulizwa unakana tu very eazy na maisha yanaendelea.. I nchi hivi kuna sheria kweli.. Na km...
  11. Tinamou

    Nitapambana na Lyatonga 2015

    CCM Oyeee...
  12. Tinamou

    Mrithi wa Marehemu Sheikh YAHYA na utabiri mwaka 2012

    Mhh mbona inaonekana kabisa ni vitu vya kutunga japokuwa sikatai utabiri kweli upo ila kwa hapa naona imekaa ki siasa zaidi na wala sio ki mafundisho,ili wanasiasa ndo waogope au..? Ila ni mawazo yangu tu,nisingependa na wengine wakubali maoni yangu,kila mtu na imani yake,ila namshukuru sana...
  13. Tinamou

    Fukuto la Katiba: Wasira azomewa mkutanoni, akasirika na kufunga mkutano ghafla!

    Siku zote kenye kuhesabu vitu huwezi kuanza na namba kubwa ukaziruka ndogo,na hivi ndo Magamba wanavyojaribu kufanya,ni wavivu wa kufikiri na wepesi wa kufanya,wavivu wa kutafakari wepesi wa klaumu,wagonjwa wa kifikra wpesi wa kukatiza Dosi kabla hajapona sababu wanajiona wao ndio bwana...
  14. Tinamou

    Nauli Feri: Mnyika, Hata Wewe?

    Mi nafikiri kuwa Kwa kweli tunaitaji ufahamu zaidi pale linapotokea jambo la kijamii i mean linaloigusa jamii ktk maradhi,chakula,education,transportation,mawasiliano,na mengineyo ambayo hawa viongozi wetu ndio haswaa tumewachagua ili kwa namna moja ama nyingine pale mambo yasipoenda sawa wao...
  15. Tinamou

    Mauaji Kigoma kusini baada ya uamuzi wa Mbatia na genge lake

    Mh anashangaza kweeeeeli.. Au ndo walewale wa Bora liende..
  16. Tinamou

    Zitto amkaribisha Kafulila CHADEMA

    Kila binadamu ana uhuru wa kutoa maoni yake ktk kila jambo ambalo anafikiri linaweza likaleta maendeleo ktk nchi yake,na pia ktk siasa yapo mambo mengi ambayo kwa namna moja ama nyingine yakamuumbua mtu ama yakamdhalilisha au yakafanya watu tujue ni mtu wa aina gani may b anafaa kuwa kiongozi au...
  17. Tinamou

    PICHA: CHADEMA wakutana na Kikwete Ikulu

    eeh Baba....
Back
Top Bottom