Search results

  1. sister

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Wazima jamani, nimewamiss sana.
  2. sister

    Kupotea 'kutekwa' kwa Nondo: Picha iliyotengenezwa kishamba

    Hivi Akwilina alikuwa nani??? Mpaka risasi ikaenda juu ikarudi then ikakataa kona ikampiga yeye na umauti ukamkuta palepale.
  3. sister

    Hivi huyu ni Dr. Charles Kimei wa CRDB ninayemfahamu au wa leo labda alikuwa ni Pacha wake?

    Ndiyo shida ya kupangiwa cha kuongea. Unakuwa si wewe tena unavikwa huusika wa mtu mwingine. Na ndiyo maana sifa zake zile uzijuazo haujamwona nazo leo. Regards Sister
  4. sister

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hongereni kwa ushindi mashabiki wenzangu.
  5. sister

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Jamani hongereni kwa ushindi, dah majukumu haya yanatufanya tupotee kabisa jukwaani.
  6. sister

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Arsenal mmechana mkeka.
  7. sister

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Naona mnaendeleza ushindi toka sanchez aondoke. Hongereni sana.
  8. sister

    Je, mabasi ya mwendokasi ni ya abiria au ya kubeba mizigo?

    Hakuna daladala zinazotoka posta ama kariakoo kuja mbezi ama kimara. Zipo mwendokasi tu. So apambane na hali tu. Otherwise anunue kagari kake.
  9. sister

    Je, mabasi ya mwendokasi ni ya abiria au ya kubeba mizigo?

    Kwa hali ilivyo sasa unadhani zile gari za 2000 zipo? Watu hawapandi ndiyo maana tunang'ang'ana na mwendokasi.
  10. sister

    Je, mabasi ya mwendokasi ni ya abiria au ya kubeba mizigo?

    Asa unataka abiria mwenye mizigo akapande gari gari??? Mfano huyo mama anayetoka feri na samaki wake apande nini?? Ukizingatia posta hakuna gari la kimara wala ubungo wala la mbezi. Unataka atembee kwa miguu kisa kabeba mzigo????
  11. sister

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Eti livescore, umenichekesha. Ndiyo zangu siku hizi ni mwendo wa livescore mana majukumu yamenibana.
  12. sister

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Sawa nasi tumempokea.
  13. sister

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    hongereni kwa ushindi.
  14. sister

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    mmmmh wakati roho zinawauma.
  15. sister

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Poleni kwa kijipigo.
  16. sister

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ingawa ni kamoja ila si mbaya ushindi ushindi tu.
  17. sister

    RC Makonda atembelewa na wawekezaji kutoka China, viwanda 200 kujengwa

    hivi kwa nini msiboreshe viwanda vilivyopo? mfano mzuri kiwanda cha Urafiki. kile kingeboreshwa chote kingetoa ajira kubwa sana hapa nchini na swala la nguo za mitumba tungesahau. mngeweka mitambo mipya, miundo mbinu mpya, management mpya, mngechukua wataalam kutoka nje waje watupe shule kuhusu...
  18. sister

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Na ili kumu ignore vizuri unamweka kwenye ignore list. Hautakaa uone comments zake.
  19. sister

    Afanyeje ili amnusuru mwanae asiwe hanithi?

    Apige maombi, na ampeleke mtoto kwenye maombi. Hayo ya kukutanisha sehemu za siri za mama na mtoto ni kumwongezea mtoto laaana. Aende kwa Yesu atamponya.
Back
Top Bottom