Search results

  1. B

    Naomba kujua tofauti za hizi Keyboards

    Naomba kujua utofauti wa kinanda yamaha psr s970 na psr s770 na ni kipi ni kizuri zaidi kati ya hivyo. Asanteni Sent from my iPhone using JamiiForums
  2. B

    Kwa watu wa morogoro

    Tafadhali kwa watu wa morogoro wanaojua kituo kinachotoa maelekezo(mafunzo) ya muziki notaz na upigaji wa kinanda na gitaa nijulisheni nataka nihudhurie.
  3. B

    Kituo cha mafunzo ya muziki morogoro

    Kwa yeyote mtu wa morogoro mjini anaye fahamu kituo chochote kinachotoa maelekezo juu notaz pamoja na upigaji wa vifaa kama kinand na gitaa plz ananisaidie kunielekeza wapi ntawapata. 0714620736
  4. B

    Msaada juu TCU

    Jamani katika majina yaliyorudishwa na TCU na jina langu na wanadai hawana matokeo yangu F.vi, sasa nikiongeza ile submit button haiwi activated. ko kwa yeyote anaweza kunisaidia nifanye anisaidie na wanadai mwisho 9/8. asanteni
  5. B

    DDR2 RAM how much dd they sales

    Naomba kusaidiwa bei ya device hiyo maana pc yangu inazingua, niliyokuwa nayo ni 1GB.
  6. B

    Msaada pls juu ya heslb

    Jamani mlioko dsm na mliomba mkopo bodi lakini hamkupata au majina yenu hayakutoka mmefuatilia bodi wanasemaje?
  7. B

    Kwa waliokosa mikopo heslb

    Jamani mi miongoni mwa waathirika wa heslb,kwa kutopata hata cent 1,lakin baada ya kuwaendea heslb ofisin kwao wamesema hivi: Kwa waombaji waliokosa mikopo yaani majina yao hayapo kwenye web ya bodi pamoja na wale hawajaridhika na kiasi cha pesa ambacho bodi imetoa kwao, wataruhusiwa kukata...
  8. B

    walimu wa kemia ,fizikia na bailojia

    serikali inajivunia kufaulisha kutokana na wanafunzi kufanya vizuri kwenye masomo hayo sababu wanafunzi wanabebwa na prac,sasa jamani kwa walimu wa masomo hayo fanyeni kama mmekosea changanyeni mambo,kinachotakiwa kuwa huku wekeni kule cha kule wekeni huku ili mradi mambo hayaendi.
  9. B

    Msaada juu ya tcu

    Jamani naomba kusaidiwa kufungua a/c ya tcu kuna kipengele kinahitaji vocha namba sijajua hicho kitu kinapatikana wapi'kwa anayejua hiyo vocha namba inalkuwaje anielekeze.
  10. B

    Fundi vinanda plz.

    Jamani wenye ujuzi wa kuripea vinanda,kinanda chetu kiliungua 2007 hadi leo hakijapona licha ya mafundi kupitia na kuchemsha.(yamaha psr 2100)
Back
Top Bottom