Search results

  1. Remotex

    Msaada (upangaji wa division)

    Habari zenu wadau wa Elimu, naomba msaada kuelimishwa/kueleweshwa kuhusu upangaji wa DIVISION baada ya kufanya mitihani ya NECTA O'level (form IV) Natambua ni lazima ufanye masomo saba ili uweze kupangiwa Daraja (DIVISION.) Msaada ninaotaka kujua/kuelimishwa, je nilazima ufanye Kiswahili kama...
  2. Remotex

    Naomba kujuzwa kozi fupi VETA

    Wadau poleni na majukumu. Naomba mnishauri. Ninamjomba wangu (mtoto wa dada yangu) mwakani Inshalah nataka nimpeleke akasome VETA kozi fupi miezi mitatu mambo ya Uchomeleaji vyuma (Welding) Nilimtuma akafwatilie juzi wakamjibu amechelewa kujiunga mwaka huu na usaili umeshapita hadi mwakani...
  3. Remotex

    Msaada kwa anayejua wimbo huu

    Mwenye kujua wimbo wa Sugar daddy uliimbwa na msanii mwana mama wa kikongo tafadhali anijuze jina.
  4. Remotex

    Kwa mwenye ufahamu kuhusu hili naombeni msaada wenu

    Habarini wanajukwaa la Elimu... kwa heshima na taadhima ninajambo naomba msaada kwenu... Nilimaliza elimu yangu ya sekondari (O'Level) mwaka 2002 Shule flani ya ufundi hapa nchini tuseme miaka 18 iliyopita... skubahatika kuchaguliwa kuendelea na masomo, kwa maana sikufanya vizuri... na baada ya...
Back
Top Bottom