Search results

  1. Remotex

    Biashara gani unayoweza fanya yenye uwezo wa kuingiza milion 300 kwa mwaka kwa kutumia mtaji wa bilion 1?

    Acha utapeli ndugu swali limewekwa public wewe unataka faragha ya nini? tupo wengi tunaofwatilia haya mawazo...kama una wazo weka hapa... mbona waungwana mawazo yao yako wazi? kama angetaka PM na yy asingetaka mawazo kwa JF members public
  2. Remotex

    Biashara gani unayoweza fanya yenye uwezo wa kuingiza milion 300 kwa mwaka kwa kutumia mtaji wa bilion 1?

    Hii ya kupeleka mizigo Comoro na Madagascar kwa trip moja Meli ya tani 100 unapata faida kiasi gani? vp kuhusu mizigo ya kurudi? au unarudi tupu na kama unarudi tupu si hasara hiyo? namaanisha mafuta unayochoma kurudi bila mzigo
  3. Remotex

    Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

    Usijibu bila kuwa na references au kwa kutumia uzoefu... tafuta prospectors ya OUT 2023 and then soma entry qualifications za kujoin LLB... 1.Direct entry qualifications for form six students is two principle passes cut points not less than 4 points Other equivalent qualifications: 1.OFP...
  4. Remotex

    Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

    @ndindilichuma ivi mtu mwenye ADVANCED Diploma ya Procurement toka chuo kinachotambulika na serikali mfano (TIA, IAA, IFM) kwa GPA ya PASS anaweza kuapply kusoma sheria (LLB) (wanasema watu wenye kada za DEGREE/ADVANCED DIPLOMA) wanaweza kuaplly kutokana na merits zao hiyo imekaaje mheshimiwa...
  5. Remotex

    Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

    OFP ukifaulu mchepuo wa Biashara unaweza kuomba kusoma LLB? na Je nikiwa na Diploma ya Business Administration naweza kuomba kusoma LLB
  6. Remotex

    Jinsi mabenki yanavyowaibia watumishi wa umma kupitia mikopo

    Miezi 96 ni miaka 8 ... kwaiyo Milioni sita kwa riba ya asilimia 20 kwa miaka nane inakupa milioni kumi.... Kuna wizi gani hapo...? mkopo nafuu kabisa huo, mtaani nani anakukopesha milioni 6 ukae na hela zake miaka nane...?
  7. Remotex

    Kusomea Bachelor Degree ingine

    Jaribu kusoma uelewe alichomaanisha, hata ingekuwa huo u MD unaissue au hauna issue yy ni kitu alikipenda moyoni mwake na alisoma kuupa moyo wake amani na utulivu kuwa imekipata kitu alichokuwa akikihitaji... ndio maana walidiriki kukopa na kuhonga ili atimize haja ya moyo wake... unaposema MD...
  8. Remotex

    Msaada (upangaji wa division)

    Habari zenu wadau wa Elimu, naomba msaada kuelimishwa/kueleweshwa kuhusu upangaji wa DIVISION baada ya kufanya mitihani ya NECTA O'level (form IV) Natambua ni lazima ufanye masomo saba ili uweze kupangiwa Daraja (DIVISION.) Msaada ninaotaka kujua/kuelimishwa, je nilazima ufanye Kiswahili kama...
  9. Remotex

    A level mwaka mmoja, nifanyaje ili nifanye vizuri katika mitihani ya mwisho

    Kuhusu kupata cheti ukihitimu form six mwaka mmoja baraza la mitihani wanakupa cheti cha form six kama wanafunzi waliosoma kawaida? na je ukifanikiwa kupata chuo unapata mkopo? mfano kama ww mwenye division one...?
  10. Remotex

    Kujenga nyumba na kununua magari ni sababu mojawapo ya Umasikini

    Sjaelewa unaposema wanasiasa kama mawaziri wanapata pesa kutokana na mifumo isiyo rasmi... mifumo isiyorasmi ni ipi inayowapatia pesa hawa watu?
  11. Remotex

    Bruce Lee - Mtu wa kustaajabisha zaidi Ulimwenguni

    Kwenye muziki inategemea ni muziki wa aina gani....Michael Jackson alikuwa mfalme wa Pop music only
  12. Remotex

    Taaluma/Fani/Biashara zinazoenda kupungua na kufa miaka 20 ijayo

    Sasa ukishapata hiyo legal opinion kwenye hiyo App, iambie hiyo App ikuandalie documents zote za kesi yako, ikafile kesi mahakamani, pia uchukue hiyo app nenda nayo mahakamani,iwe ndio wakili wako wa kukuwakilisha kama si kukutetea...
  13. Remotex

    Ukosefu wa ajira unatokana na kusoma fani zisizokuwa na tija

    Nmeshakuelewa... inawezekana jambo la kwanza watu wengi wanapeleka magari garage za mtaani ambazo ni kama watu washazoea, na kitu cha kijinga kwenye ufundi huu ni kwamba mtu akishalock kwa Fundi wake ndio huyo huyo, mzee alikuwa anakauli yake anasema gari yangu hagusi fundi mwingine zaidi ya...
  14. Remotex

    Ukosefu wa ajira unatokana na kusoma fani zisizokuwa na tija

    Unaweza kutoa angalau sababu za majuto yako mheshimiwa kitonger?
  15. Remotex

    Naomba kujuzwa kozi fupi VETA

    Haya ndio majibu yalioshiba na yenye logic... Now it makes sense ahsante sana mkuu...
  16. Remotex

    Naomba kujuzwa kozi fupi VETA

    Ondoa shaka kabisa na ubongo wangu asilimia mia. Fikra zangu zimekwama hapa, kama hawawezi kuwa sawa kwanini waweke 360,000 miezi mitatu na 120,000 miaka 2? Yani kwa mantiki hiyo ya ada hiyo miezi mitatu inanondo za kutosha kuliko miaka miwili. Sasa mimi ndio naanza kwa na wasiwasi na ubongo...
Back
Top Bottom