Search results

  1. Nyankurungu2020

    Wahuni wa CCM wana nguvu kuliko nguvu ya umma? Mbona kama wao ndio wanaamua mustakari wetu?

    Ziara za makonda alipokuwa bado ni mwenezi wa CCM ziliibua mambo mengi. Kero na uonevu wa kila namna. Ambao kimsingi ni aibu kwa serikali tawala ya rais Samia. Rais Samia mwenyewe akatoa tamko kuwa sababu kuna uonevu na madudu mengi dhidi ya Wanannchi basi atakuwa akisikikiza kero za kila...
  2. Nyankurungu2020

    Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Waziri mkuuu Kassim Majaliwa aliwahakikishia watanzania kuwa Rais wao mpendwa mpinga ufidadi na uonevu yupo salama na anachapa kazi. Hii ni baada ya wiki mbili Rais hayati Magufuli kutoonekana kwa wiki mbili hadharani. Miaka mitatu baada ya kifo chake huyu shujaa wq Afrika. Mkuu wq majeshi...
  3. Nyankurungu2020

    Kwanini January Makamba unakataa kutambua nguvu na juhudi za hayati Magufuli kwenye JNPP?

    Hivi kama hayati JPM angekuwepo January Makamba angepiga dili kama la Mahindra Tech? Bil 81 na ushee ambazo Mahidra tech walikula nae bila kazi yoyote ya maana kwa taifa letu. Leo hii anadiriki kumchafua hayati JPM kwa chuki tu. Kisa rais aliyepo anafumbia ufisadi anaofanya.
  4. Nyankurungu2020

    Uchaguzi 2025 isiwe sababu ya Rais Samia kumtumia Hayati Magufuli kama chambo ili kuwavuta Watanganyika wasiomkubali

    Naona anataka kuwaaminisha watanzania kuwa na yeye pia ni Rais wa Wanyonge. Eti atakuwa anasikiliza wananchi mmoja mmoja kero zao. Mbona alipochukua urais wa kurithi hakufanya haya mapema? Akakumbatia kundi la wahuni? Alipoona hakubaliki akamteua Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu. Akaona...
  5. Nyankurungu2020

    Miaka 16 imepita haijajulikana nani alimmwagia tindikali Saed Kubenea

    Pumbavu mkubwa. Shwaini hujawahi kuwa na akili.
  6. Nyankurungu2020

    Mafisadi wa CCM hawataki mradi wa JNHPP ukamilike kwa makusudi. Angekuwepo Hayati Magufuli ungekuwa umekamilika

    Wewe kukataliwa na wananchi 2020 isiwe sababu ya kumchukia shujaa wa Africa.
  7. Nyankurungu2020

    Mafisadi wa CCM hawataki mradi wa JNHPP ukamilike kwa makusudi. Angekuwepo Hayati Magufuli ungekuwa umekamilika

    Mambo mengi yanaendelelea nyuma ya pazia huko. Kuna dili la majenereta lilipigwa. Lipo Jenerereta la dharula lilinunuliwa bil 20. Mahindra tech? Kuna watu wanataka wapewe tenda za kuzarisha umeme. Kwa nini tuhangaike kama mradi unaweza kukamilika kwa wakati?
  8. Nyankurungu2020

    Tujihoji: Kwa nini hayati Julius Nyerere alitaka taifa letu liwe na Viongozi kama hayati Mkapa na hayati Magufuli na Sio Lowassa au Jakaya?

    Ukweli ni kuwa Nyerere alikuwa na maono, aliweza kujua nani kiongozi ambaye atatumikia wanyonge kwa manufaa ya taifa. Na nani atakuwa mpigaji. Wapigaji wanajulikana. Mfano Jakaya alipokuwa madarakani ilikuwa ni skendo za upigaji tu. kagoda, Richmond, Escrow na sasa Dp world ya Dubai. Hayati...
  9. Nyankurungu2020

    CHADEMA tambueni Makonda kupita mle alipopita Magufuli ni kwa sababu Watanzania wanahitaji matokeo chanya

    Watanzania wanahitaji kuona reli ya Sgr kutoka Dar mpaka Mwanza inafanya kazi hii ni kwa sababu ughali wa maisha utapungua sababu mizigo na abiria watasafiri kwa bei rahisi. Bwawa la JHNP linazalisha umeme na umeme haukatiki hovyo. Bei ya umme ishuke na umeme usiwe anasa. Raia wanyonge...
  10. Nyankurungu2020

    Kinachowaponza CHADEMA ni kukataa kuwa hili taifa lina wanyonge. Paul Makonda ndio anapitia hapo hapo na kuwamaliza

    Tatizo lako uliwekeza sana kwenye uchaguzi 2020 ukijua utarudi mjengoni. Mazuri aliyofanya hayati yakafanya mpigwe chini
  11. Nyankurungu2020

    Kinachowaponza CHADEMA ni kukataa kuwa hili taifa lina wanyonge. Paul Makonda ndio anapitia hapo hapo na kuwamaliza

    Mnyonge katika nchi yoyote ile ni raia ambae ili apate haki zake lazima asaidiwe kwa nguvu ziada. Hapa nazungumzia haki za kupata huduma za jamii, haki za kisheria na hata tendo la ndoa. Alipokuwepo hayati JPM raia wanyonge walimkubali sababu karata kubwa kwake ilikuwa ni kuhakikisha raia...
Back
Top Bottom