Search results

  1. M

    Nini chanzo cha haya matatizo?

    Wakuu msaada tafadhali kuna matatizo tunayaona yakawaida lakini nimageni kwenye jamii yetu. hata baadhi ya wazee ukiwauliza wanasema hayakuwepo kabla. matatizo yenyewe ni Haya yafuatayo; 1.KANSAY A SHINGO YA UZAZIKWA AKINA MAMA..ukiwauliza wazee wakale wanasema hakukuwa na magonjwa kama haya...
  2. M

    Ccm waliji panga wamekuta chadema wamejijenga...

    Watu walipigwa shiiiiiii.ikawa kimya""watu waliziogopa mpaka cm zao""watuwalitembea jichonyuma marakwamala utadhania wametoka kuiba wake za watu""ukikutana na polis mioyo fyaaa utadhani unakesi"" diffender mitaani utadhani boko haram wameingia bongo kama tunduma mabomu kama bast zatairi za gali...
  3. M

    Je nisahihi kumweka raia chini ya ulinzi kabla ya upelelezi? Au nisahihi kumweka mtuhumiwa chini ya ulinzi baada ya upelelezi?

    Ndugu zangu nimeshuhudia watu wengi wakilalama kwamba aliwai kukamatwa akatupwa ndani kwakuhisiwa kuhusika na mauwaji frani akakaaa jera kwamda wa miaka miwili na miezi minne baadae upelelezi ukaonekana mtu huyo hakuusika. Baadae akaja aka achiliwa na kuludi mtaani bila fidia yoyote. Wengine...
  4. M

    Manabii wawili wa Mungu kwa Tanzania kwa wakati mmoja

    Kama ilivyo kazi ya Mungu kulilinda taifa lake alipendalo, mara nyingi huinua nabii wa kuliokoa taifa kwa wakati mwafaka. Hapa Tanzania Mungu aligundua tutakumbwa na janga la Corona akamwinua Rais Magufuli akatumia ujasiri na misimamo yake kututoa hofu dhidi ya Corona na hakika tupo salama...
Back
Top Bottom