Search results

  1. Wizara ya Afya Tanzania

    Ummy Mwalimu: Wazazi na walezi wasimamie watoto kusoma dini

    Waziri Ummy Mwalimu kwa siku hiyo alimwakilisha Rais katika hafla hiyo, Ujumbe mahususi wa Rais Dkt. Samia ulikuwa ni huo wa dini. Hata hivyo Waziri Ummy Mwalimu alitumia fursa hiyo kuhabarisha umma ulioshiriki kuhusu masuala mbalimbali ya afya ikiwemo kuzingatia mtindo bora wa maisha ili...
  2. Wizara ya Afya Tanzania

    Wizara ya Afya yakanusha taarifa ya watu saba kupata upofu kutokana na ugonjwa wa red eyes

    Pia Soma: - Dar: Watu 7 wapofuka Macho kwa kujitibu Ugonjwa wa 'Red Eyes' kienyeji
  3. Wizara ya Afya Tanzania

    Watoto wenye jinsia tata wafanyiwa upasuaji Muhimbili

    Hospitali ya Taifa Muhimbili imewafanyia upasuaji wa mfumo wa mkojo na haja kubwa kwa watoto 31 na kati ya hao sita walizaliwa na jinsia tata, ambapo upasuji huo umefanywa na Madaktari Bingwa wa MNH kwa kushirikiana na wataalamu kutoka nchini Ireland na mwingine kutoka Bahrain. Akizungumza na...
  4. Wizara ya Afya Tanzania

    Baltazari afikishwa hospitali ya Bugando kwa matibabu

    Baltazari Thobias ( 18) kutoka kijiji cha mtoni wilaya ya Ukerewe Mkoani Mwanza afikishwa katika hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando kwa ajili ya uchunguzi na matibabu ya uvimbe ambao amekua nao kwa muda wa miaka minne sasa. Akiongea baada ya kumpokea, Daktari Bingwa wa magonjwa ya uso...
  5. Wizara ya Afya Tanzania

    Kati ya wanawake 100, wanawake 25 wana ugonjwa wa saratani Tanzania

    Na. WAF - Dar Es Salaam Serikali imetoa rai kwa jamii kuchukua hatua za mapema kupima ugonjwa wa Saratani kwa kuwa takwimu zinaonesha kuwa katika kila wagonjwa watu 100 wenye Saratani 25 ni wanawake wenye Saratani ya Mlango wa Kizazi. Hayo yamesemwa leo Februari 4, 2024 na Mkurugenzi wa Huduma...
  6. Wizara ya Afya Tanzania

    Waratibu wa Afya ngazi zote wametakiwa kuhakikisha wanasimamia fedha za chanjo na lishe zinazotolewa na Wadau pamoja na Serikali

    Na WAF - DAR ES SALAAM Waratibu wa Afya ngazi zote wametakiwa kuhakikisha wanasimamia fedha za chanjo na lishe zinazotolewa na Wadau pamoja na Serikali zinafika zinapokusudiwa kwa wakati ili kupunguza tatizo la Ukosefu wa elimu ya lishe na magonjwa ya mlipuko. Hayo yamesemwa na Naibu katibu...
  7. Wizara ya Afya Tanzania

    Watoto wawili wenye uzito mkubwa wafikishwa Mloganzila

    Watoto wawili wa miaka saba na mitano wakazi wa Makole mkoani Dodoma wenye uzito uliopitiliza wamefikishwa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa ajili ya uchunguzi na matibabu ya maradhi yanayowakabili. Akiongea baada ya kuwapokea Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Dharura, Dkt. Asha Iyulla...
  8. Wizara ya Afya Tanzania

    Kati ya wanawake 100, wanawake 25 wana ugonjwa wa saratani Tanzania

    Na. WAF - Dar Es Salaam Serikali imetoa rai kwa jamii kuchukua hatua za mapema kupima ugonjwa wa Saratani kwa kuwa takwimu zinaonesha kuwa kati ya wanawake 100, 25 wana ugonjwa wa Saratani huku asilimia 70 ya wanawake inaonesha wana ugonjwa huo. Hayo yamesemwa leo Februari 4, 2024 na...
  9. Wizara ya Afya Tanzania

    Upatikanaji wa umeme vijijini mwarobaini katika kuwezesha uwepo wa maji safi na salama ili kuzuia magonjwa ya mlipuko

    Na.Elimu ya Afya Kwa Umma. Imeelezwa kuwa upatikanaji miundombinu ya maji safi iliyounganishwa na miundombinu ya umeme katika vijiji vya Nyanguge na Bunamhala Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu imekuwa mwarobaini katika kupambana na magonjwa ya mlipuko ikiwemo Kipindupindu. Hii ni baada ya...
  10. Wizara ya Afya Tanzania

    Hospitali ya Benjamin Mkapa yaikosha kamati ya bunge kwa ubora wa huduma

    Na. WAF, Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Maswala ya UKIMWI imeipongeza menejimenti na uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Benjamin Mkapa kwa ubora wa Huduma na kuwatia moyo kwa kuendelea kuwahudumia wananchi . Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya...
  11. Wizara ya Afya Tanzania

    Tanzania yajadili namna ya ununuzi wa dawa adimu kutoka Cuba

    Na. WAF - Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu akiwa na Naibu Katibu Mkuu Dkt. Grace Magembe pamoja na Wakurugenzi wa Wizara ya Afya leo Februari 2, 2024 wmekutana na Balozi wa Tanzania nchini Cuba Bw. Humphrey Polepole, wadau wa Hospitali, MSD pamoja na Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba (TMDA)...
  12. Wizara ya Afya Tanzania

    Wamiliki vituo binafsi watakiwa kusimamia ubora wa huduma za Afya

    Na WAF - DAR ES SALAM Bodi ya ushauri hospital binafsi PHAB yatoa rai kwa Wamiliki, Mashirika yanayomiliki vituo Binafsi kuhakikisha yanasimamia ubora wa huduma za Afya, kuzingatia Sheria, Kanuni na miongozo ya Wizara ya Afya. Hayo yamesemwa na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu...
  13. Wizara ya Afya Tanzania

    Serikali imetoa wito kwa Watanzania, Viongozi wa kisiasa, kidini na kimila kuungana na Serikali katika kuhamasisha umma kujiunga na Bima ya Afya

    Na WAF - Dodoma Serikali imetoa wito kwa Watanzania, Viongozi wa kisiasa, kidini na kimila kuungana na Serikali katika kuhamasisha umma kujiunga na Bima ya Afya kwa wote pale mchakato utakapoanza rasmi. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel wakati akijibu swali...
  14. Wizara ya Afya Tanzania

    Rais Dkt. Samia ametoa fedha shilingi bilioni 1 kwa ajili ya kutibu watoto 20 wenye ugonjwa wa Selimundu

    NA: WAF, Dodoma Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu, amesema katika kuendelea kuboresha huduma za afya nchini Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa fedha zenye thamani ya shilingi bilioni 1 kwa ajili ya kutibu watoto 20 wenye ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell) mpaka kufikia Juni 2024. Waziri...
  15. Wizara ya Afya Tanzania

    Serikali imetenga jumla ya Tsh: bilioni 899.4 kwa ajili ya kutekeleza mpango wa kuajiri na kuwajengea uwezo Wahudumu wa Afya

    Na. WAF - Dar Es - Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetenga jumla ya Tsh: bilioni 899.4 kwa ajili ya kutekeleza mpango wa kuajiri na kuwajengea uwezo jumla ya Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii wapatao 137,294 katika mikoa yote 26 ya...
  16. Wizara ya Afya Tanzania

    Ujue Ugonjwa wa Malaria: Dalili, Madhara, Kinga, Tiba, Malaria kwa Wajawazito na Mpango wa Serikali katika kuzuia Malaria

    Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea vinavyojulikana kama 'Plasmodium' ambavyo huenezwa na mbu jike aina ya Anofelesi. Ugonjwa wa Malaria huenea kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine pale mbu mwenye vimelea vya malaria anapomuuma mtu mwingine na kuacha vimelea mwilini mwake. DALILI...
  17. Wizara ya Afya Tanzania

    Fahamu Tiba Kinga ya Malaria kwa Wajawazito

    Wajawazito wapo katika hatari kubwa zaidi ya kupata ugonjwa wa Malaria katika Jamii. Dawa ya SP hutolewa kukinga madhara ya Malaria kwa kuua vimelea vinavyojificha kwenye kondo la nyuma. TIBA KINGA YA MALARIA KWA WAJAWAZITO (SP) Malaria wakati wa ujauzito ni hatari zaidi kwa mama na mtoto aliye...
  18. Wizara ya Afya Tanzania

    Mambo ya kuzingatia katika Kudhibiti Mbu waenezao Malaria, Uchunguzi wa Ugonjwa na Tiba sahihi ya Malaria

    Mambo muhimu juu ya udhibiti wa Mbu waenezao Malaria kwa njia za Utangamano; Matumizi sahihi ya Vyandarua vyenye dawa kwa kila mwanajamii kila siku Upulizaji viuatilifu ukoko kwenye kuta ndani ya nyumba ni njia fanisi ya kuua mbu waenezao malaria na hivyo kupunguza maambukizi ya malaria...
  19. Wizara ya Afya Tanzania

    Tanzania yavunja rekodi matibabu ya moyo

    Na Mwandishi wetu – Dar Es Salaam. Upasuaji mdogo wa moyo wa kubadilisha valvu ya mshipa mkubwa wa damu (Aortic Valve) bila kufungua kifua (Transcatheter Aortic Valve Implantation procedure – TAVI) Upasuaji huo wa historia umefanyika kwa wagonjwa watatu wenye umri wa zaidi ya miaka 70 katika...
  20. Wizara ya Afya Tanzania

    Ummy: Madaktari Bingwa kufanya kazi ya Kliniki binafsi katika Hospitali za umma baada ya saa za kazi sio jipya

    Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema suala la Madaktari Bingwa kufanya kazi ya Kliniki binafsi katika Hospitali za umma baada ya saa za kazi sio jipya na tayari linafanyika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, JKCI, Ocean Road na Taasisi ya Mifupa MOI ambapo lilianza kutekelezwa zaidi ya...
Back
Top Bottom