Search results

  1. L

    Mbaraka Dau na ubunge wa Mafia

    sasa mtu hajagombea ubunge tayari ana kesi ya kifisadi na BAGDADI akipata ubunge itakuwaje?
  2. L

    Dr. Dau aingilia mchakato wa ugawaji viwanja Mafia

    kinachosikitisha wanavyomsema na kumtesa mbunge utafkiri ni mtoto wao
  3. L

    Dr. Dau aingilia mchakato wa ugawaji viwanja Mafia

    naona unaongea ngonjera tuuu hao akina dau kwani hawana internet mpaka uingie wewe kumtetea kaka yao? kwa namna ulivyojibu post nitakuwa nimekugusa sana hehehehe sikunyingine tafiti kisha jadili
  4. L

    Mbaraka Dau na ubunge wa Mafia

    mbunge ambaye hajaenda shule kaleta maendeleo ya kutisha mafia. uwanja wa ndege, bandari, shule za msingi na sekondari, visima vya maji, hospitali na mengineyo sasa wananchi hawajali kama nyie mmesoma au la watu wanataka maendeleo. sasa huyo mbaraka kaleta maendeleo yepi? kama mbunge wa sasa...
  5. L

    Mafia: Tumeibeba sana CCM sasa tutaiacha rasmi

    Tatizo wanaompinga mbunge wa sasa hawataki kusema ukweli Buji kaifanyia Mafia mazito mengi lakini kwa sababu ya chuki binafsi wanamtangazia eti si msomi kama wao
  6. L

    Dr. Dau aingilia mchakato wa ugawaji viwanja Mafia

    sasa mafia ni nchi? kuna ubaya gani watu kuuliza mnakopata pesa za miradi yenu mlioijaza sehem moja tuu? mimi siwakimbii kama wengine walivyowakimbia hapa.
  7. L

    Dr. Dau aingilia mchakato wa ugawaji viwanja Mafia

    tatizo hutaki kujibu swali
  8. L

    Dr. Dau aingilia mchakato wa ugawaji viwanja Mafia

    Muhimu ujumbe uwe umefika nishakwambia acha kujipendekeza akina Dau. Ndugu zake wanakuchukia lakini mwenyewe unajiona ni family member. nyinyi mnamngangania mbunge aondoke ili mumweke kijana wenu lakini mmeshindwa kukubali ukweli kuwa mafia haongozwi na mtu mmoja. Hivi kwa nini usiende...
  9. L

    This is Rostam I know... The Story Behind the Man

    mmemuandama wee mpaka kaondoka
  10. L

    Mafia: Tumeibeba sana CCM sasa tutaiacha rasmi

    mazuri ya mbunge buji hamtaki kuyasema
  11. L

    Kisiwa cha Mafia tushaamua, hatumtaki Bulji

    mafia ina watu zaidi ya laki 1 haiwezekani tuongopewe kuwa mbunge mahiri aliopo hafai mpaka uwanja wa ndege kajenga na bandari karibuni inakamilika
  12. L

    Dr. Dau aingilia mchakato wa ugawaji viwanja Mafia

    Wenyewe wanadai wanafadhiliwa na watu nje ya nchi je ushahidi anao kuonyesha hayo? inasemekana kakodisha ndege 5 kurudisha mahujaji toka maka pesa anatoa wapi huyu?
  13. L

    Dr. Dau aingilia mchakato wa ugawaji viwanja Mafia

    hivi Dau anawapa nini nyinyi? yule SR kakimbia alitaka kutisha tisha watu humu hajarudi tena. Dhiki kitu kibaya sana jamani. Sasa kama mnautaka ubunge kwa nini msifuate taratibu bila kuwapakazia wenzenu?
  14. L

    Mbaraka Dau na ubunge wa Mafia

    hakuna futna hapa ni ukweli mtupu mwanzoni mlimfanyia sana fitna kimbau sasa mmehamia kwa buji
  15. L

    Mbaraka Dau na ubunge wa Mafia

    Huyu mbaraka Dau si ana kasha na fisadi ikbali wa bagdadi? kesi yao imeshia wapi? kuna mtu alileta kipande cha gazeti kuonyesha aliitwa mahakamani wameshtakiana sijui kimepotelea wapi
  16. L

    Mbaraka Dau na ubunge wa Mafia

    wenzake akina Omari kimbau washasema wazi wanaingia ulingoni na washaanza kujiweka karibu na watu
  17. L

    Mbaraka Dau na ubunge wa Mafia

    Hajitokezi kisiwani Mafia
  18. L

    Dr. Dau aingilia mchakato wa ugawaji viwanja Mafia

    hili sina hakika nalo lakini nitafanya uchunguzi na kikosi changu
  19. L

    Dr. Dau aingilia mchakato wa ugawaji viwanja Mafia

    labda mpambe wake angekuja kumjibia maana haishi kutisha watu humu. mtu hana lolote dau anamtumia tuuu sijui ataaamka lini
  20. L

    Dr. Dau aingilia mchakato wa ugawaji viwanja Mafia

    Utawatisha hao hao akina mwanakijiji na wengine hapa umegonga mwamba Mimi nitakuambia ukweli. Hivi Dau atakutumia mpaka lini wewe? anakulipa shilingi ngapi kuja humu kutetea ufisadi wake? mimi siogopi kitu na utatisha hao hao wengine. Ukweli tutausema na humu ndani siondoki.Tushajua mipango yenu...
Back
Top Bottom