Search results

  1. Kalaga baho

    Ubaguzi ninaoupata Zanzibar, wakija Dar nitawapa haki yao

    Mm Sijakumbana nao huo hapo naskia sikia. Ila ofkooz Wana tendency ya kuhus ubara ni tatizo hasahasa katika mlengo wa maadili na tabia. Huku hata ujinga ni ulemavu.. unaweza kutengwa kimazungumzo kisa mitaa huijui au kinachozungumzwa hukijui.. Mm naona inategemea pia na tafsiri binafsi ya...
  2. Kalaga baho

    Biashara ya mazao Oman

    Ila kama Hawa wa nje ni WA kuwatafuta hasa linked in. Unapata wateja wa kuanza nao
  3. Kalaga baho

    Robo ya mwaka imeisha tayari, umetimiza mikakati gani?

    Poa ila muhimu ni lazima ujiambie kuwa fursa zipo. Ofkooz Zanzibar zipo nyingi tu! Hata kumiliki kampuni wala sio Kaz kubwa... Kampuni nyingi zinapata pesa nansio competent kihivyo. Zanzibar watu walioishia form four na kupata training za vitendo miez mitatu au sita wakapata kampuni sahihi...
  4. Kalaga baho

    Robo ya mwaka imeisha tayari, umetimiza mikakati gani?

    Huku ndo kwenyewe na pesa za kubadili magari utaipata mapema sana. Madoni wa huku wanavaa ndala na vibukta- waitalia. Lijitu linakodi kisiwa miaka mitano linakaa na familia yake tu
  5. Kalaga baho

    Robo ya mwaka imeisha tayari, umetimiza mikakati gani?

    Si uje na zenjbaaar huku uwekeze? Huku utapiga pesa mpaka uzikimbie
  6. Kalaga baho

    Natafuta Products za kusafisha makochi

    Kochi mpaka linalowa jasho kitanda hamna?
  7. Kalaga baho

    Biashara ya mazao Oman

    Mm mwenyew ningekuwa nayo ningefanya mwenyewe tu
  8. Kalaga baho

    Jirani kanikwaza sana kajenga fensi

    Jololo huko mtwara hamjambo?
  9. Kalaga baho

    Naomba wa ushauri njia bora ya kuendesha kampuni

    Unatumia organogram gani ile ya piramid au unatumia flat? Uendeshaji wa kampuni (ndani ya ofisi) hautegemei mahusiano na wateja. Wew unataka namna ya kukontrol/manage kampuni au unataka kufanya customer relation?
  10. Kalaga baho

    Unahitaji Huduma ya Aluminium na UPVC?

    Mbona hazionekan picha
  11. Kalaga baho

    Biashara ya mazao Oman

    Tafuta green vegetable upeleke nchi za arabs. Nyama nyingi sana zinatoka brazil
  12. Kalaga baho

    Tetesi: Pacome Zouzou ni mnyama

    Kolowizdad mnatafuta watu wa kufa nao
  13. Kalaga baho

    Chachu yangu ni kupata nafasi ya kudumu sekta ya afya ili niendelee kutoa huduma kwa wagonjwa

    We ukifika pale Nimr au CDC na wao wako humohumo. Mtendaj mkuu anaitwa Martin.. wanatoa huduma karibu zote za kiwizara pale
  14. Kalaga baho

    Tetesi: Pacome Zouzou ni mnyama

    😅 Unaota wewe
  15. Kalaga baho

    Kwa Bajeti ya Tsh. 50,000 napata wapi chumba standard Dar es Salaam?

    Kalaga baho nahitaji Cha elf 20 mabwepande
  16. Kalaga baho

    Chachu yangu ni kupata nafasi ya kudumu sekta ya afya ili niendelee kutoa huduma kwa wagonjwa

    Angalia kwenye website ya moh. Alafu Hawa jamaa mbona pale Nimr posta wapo?
  17. Kalaga baho

    Chachu yangu ni kupata nafasi ya kudumu sekta ya afya ili niendelee kutoa huduma kwa wagonjwa

    Ile ya info iko active Kuna bimama huwa anaitumia. Lakin kama utakosa utanichek dm nkupe namba ya Mr. Martin Lakin sidhani kama hiyo itakuwa njia sahihi ya wewe kupata ajira. Kuna yeyote alitewahi kupata kwa staili hii?
Back
Top Bottom