Search results

  1. Skillfull man

    Rais aangalie diploma maalum ya sekondari iliyodahiliwa mwaka 2018

    Tunamwomba Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli. Aangalie diploma maalum ya sekondari iliyodahiliwa mwaka 2018 kwa vyuo kama Songea, Tukuyu,kleru,mpwapwa na korogwe.maana wanapata wakati mgumu kweli wengi wanaacha vyuo kutokana na matamko ya wizara na mifumo walioiweka mgumu kwa wanachuo.
Back
Top Bottom