Search results

  1. uniq

    Kupanda kwa bando la Internet

    Habari wananchi wa Tanzania. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Kumekuwa na kupanda kwa bundle za internet kwa zaidi ya mara mbili kwa bei iliyokuwepo awali. Swali langu kuu ni kwamba gharama za uendeshaji kwenye mitandao ya simu zimepanda?? Nakama zimepanda nini kimesababisha? Je...
  2. uniq

    Diamond vs Ali Kiba: Dodoma imeweka bayana leo

    Nilikuwa nafuatilia hapa kikao cha CCM Dodoma. Polepole alipotambulisha burdani kabla ya Mwenyekiti wa CCM kusimama, ndipo nikajua kuwa King na Diamond mwenye thamani ni Diamond maana hata wafalme wanatafuta Diamonds. Leo Kiba amekuwa wale wasanii wanao tangulia kuimba kabla ya mwenye show...
  3. uniq

    Anayejua kuhusu historia ya ukoo wa Mndolwa

    Habari wanajamvi, Kama kichwa cha hapari hapo juu kinavyosema, ninatafuta kujua historia ya Ukoo wa Mndolwa. Ukoo huu una patikana Tanga maeneo ya Korogwe. Ninacho tafuta mimi nikujua family tree ya huu ukoo, kama kuna mtu anaejua historia ya huu ukoo kuanzia 1850 mpaka sasa naomba tafadhali...
  4. uniq

    Tupia mistari iliyokusaidia kufikia hapo ulipo

    Hebu tupia mstari wa wimbo wowote ambao ulikufanya ufikie malengo yako au kufanya kitu kikubwa kwenye maisha yako. Mfano: .... Changa uchache uende kiwanja unachotaka Funga mkanda, fungua mabano unavyotaka Maskani Kimara, watu kila siku mamtoni Jonas Kiwia wasalimie Washington Ukiweza pita...
  5. uniq

    Mtandao wa Vodacom unaudhi sana

    Kweli leo Voda wameniamsha vibaya sana. Umeme umekatika saa tisa na dakika 45 hivi nikasema ngoja ninunue umeme. Nimenunua umeme hela imetoka kwenye Mpesa yangu lakini hakuna token iliyokuja mpaka saa hii. Nimewapigia Voda lakini laini yao hainipi option ya kuongea na customer care. Kweli kwa...
  6. uniq

    Je, Nilazima kwa Rais kuongeza mshahara kila mei mosi??

    Baada ya kupitia groups za Whatsapp mbali mbali nilizonazo na kukuta vi clips vya kuonyesha kuwa Rais hakupandisha mishahara na nyingine ziki muonyesha Rais aliepita akiongea juu ya kupandisha mishahara. Ndipo likanijia hili swali. Je nilizama kwa Rais kuongeza mishahara kila mei mosi?
  7. uniq

    Halotel wamekuwa wakiunganisha watu kwenye games bila kuwapa taarifa

    Kwa wale watumiaji wa mtandao wa Halotel ina bidi kila wakati uwe unatembelee hii website halogame.co.tz. Halotel wamekuwa wakiunganisha watu kwenye games bila kuwapataarifa. Na hata unapokatwa hela ya kulipia kuunganishwa na hizo games hakuna msg yoyote inayo kuja kukutaarifu kuwa umelipia...
  8. uniq

    Alama za Barabarani

    Kumekuwa na video inayo sambaa juu ya kibao cha alama za barabarani huko Rusumo - Ngara. Kwa uelewa wangu ile video ina potosha sana ukweli huyu mtu anaeongea hata hajuii nini maana ya kile kibao. Kuna vibao vya aina nyingi barabarani ambavyo Dereva anatakiwa kuwa makini navyo. Kuna vibao vya...
  9. uniq

    Alama za Barabarani

    Kumekuwa na video inayo sambaa juu ya kibao cha alama za barabarani huko Rusumo - Ngara. Kwa uelewa wangu ile video ina potosha sana ukweli huyu mtu anaeongea hata hajuii nini maana ya kile kibao. Kuna vibao vya aina nyingi barabarani ambavyo Dereva anatakiwa kuwa makini navyo. Kuna vibao vya...
  10. uniq

    Mji ya TANGA

    Leo 18/072018. Maji yanayo toka kwenye mabomba ya mji wa TANGA kweli ni aibuu kwa uongozi wa mkoa mzima. Nimeamka asubuhi kujianda kwenda kwenye mizunguuko ya siku ile nafungulia maji kweli nitope tupu, haya fai hata kwa mifugo. Sio mara ya kwanza kwa Maji ya tanga kutoka yakiwa machafu kwenye...
  11. uniq

    Kwa nini waandishi wa habari wanafumbia macho yanayowakuta Shilawadu

    Habari wandugu. Nimejaribu kukaa na kukumbuka baadhi ya matukio yaliowatokea ndugu zetu wa SHILAWADU hivi karibuni. Kuna kipindi Mkuu wa Mkoa wa Dar es salam alikwenda clouds..... Inasadikiwa baada ya kutoelewana vizuri na SHILAWADU na kwa kuwa Mkuu wa Mkoa alikwenda na walinzi wake, kile...
  12. uniq

    Tanga: Baada ya jana mabomu ya machozi kutumika kusambaratisha watu. Mgomo wa daladala waingia siku ya pili leo

    Kumeanza mgomo wa Hiace za abaria Tanga leo. Madereva wote wa Hiace zinazofanya safari za Mjini kwenda Mikanjuni, Donge, Tanga Beach, Mwahako na Magomeni wameamua kugoma kutoa huda kwa kile wanachoita kunyanyaswa barabarani na kutozwa faini kwa uonevu pamoja na kusumbuliwa. Madereva hao...
  13. uniq

    AJALI: Kirikuu yagonga Treni Tanga

    Gari ilikuwa imepakiza watoto wa madrasa lakini nilipofika maeneo ya kivuko cha kwaminchi, gari ikazima katikati ya reli. Dereva alifanikiwa kuwaambia watoto waruke hivyo kufanikiwa kuwa okoa watoto wote. Habari zaidi ya tukio nitawaletea Updates Watoto waliokuwa wamekaa mbele wameumi na...
  14. uniq

    TANESCO, haya makato ni ya nini?

    Mimi ni mteja wa TANESCO kwa muda mrefu. Mwezi huu tarehe 19/8/17 nilinunua umeme na makato yake yakawa hivi. Ambapo nilikatwa TAX tu. Leo tarehe 29/8/17 nimenunua tena umeme nikaona kuna makato yemeongezeka.Kuna VAT, REA na EWURA. Naomba kupata ufafanuzi juu ya hili.
  15. uniq

    Baby Kabae achemka Clouds360

    Baada ya kutoka kwenye matangazo kwenye kipindi cha Clouds 360. Mtangazaji Baby Kabae akikaribisha alisema karibuni tena Sta.. then akarudi kusema Clouds 360. Kweli kilichomjaa mtu ndio kimtokacho. Wamevurugwa na Star TV.
  16. uniq

    Leo ITV habari kama kipindi maalumu

    Kweli lazima heshima iwepo hongera Rais kuturudisha kenye mstari. Leo taarifa ya habari ITV kama kipindi malumu. Kumbe inaezekana kuwa na taarifa ya habari yenye tija kwa Taifa.
  17. uniq

    MADAWA YA KULEVYA

    Kwanza napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa RC wa Dar. Kwa kuthubutu kulifanyia kazi swala hili la Dawa za kulevya. Najua kuwa ni jambo ambalo linahitaji ujasiri mkubwa sana kuliongelea kwa sababu lina gusa watu wenye mtandao mkubwa nawenye fedha nyngi. Kipekee nimekuwa na wakati mgumu...
  18. uniq

    Generator for sale

    A brand new Generator for sale :- Three-Phase Diesel Generator. Type DG 22 18 KW - 22 KVA 220/380V For more details please PM me or contact through this number 0752037802, 0712977278 you can call or whatsapp. Thanks
  19. uniq

    Suzuki carry kwa bei poa

    Habari zenu wakuu, kama inavyoonekana kwenye picha, suzuki carry iliyo kwenye hali nzuri inauzwa na kwa bei nzuri ya Tshs. 7,500,000 na ni negotiable. Karibuni sana. Kwa maelezo na mawasiliano zaidi, unaweza pm au wasiliana kwa namba 0752 037 802 au 0713 078 239.
  20. uniq

    Hawa wachina wanakuja Tanzania kwa visa gani?

    Hari ya leo wana JF. Nimekuja na maswali mawili juu ya hawa ndugu zetu wa kichina. Nimepita maeneo ya Sakina Arusha nikakuta wachina wawili wana fanya kazi ya kupiga nyumba plasta nikajiuliza 1. Hawa ndugu wanakuja hapa kwetu na VISA ya aina gani? 2. Inamaana hakuna wa Tanzania wanaoweza...
Back
Top Bottom