Search results

  1. Ajaye

    Mauaji ya wabeba mkaa maarufu 'booster'

    Wana jamvi habarini za wakati huu. Jana majira ya saa sita usiku kuna mauaji yametokea yaliyosababishwa na watu wa maliasili. Tukio hilo limetokea Mkoa wa Pwani, wilaya ya Kibaha (V), tarafa ya Ruvu, Kata ya Kwala, kijiji cha Kwala! ambapo watu wa kubeba mkaa maarufu kama booster wameuawa kwa...
  2. Ajaye

    Wanafunzi UDOM wanalazwa wengi vyumbani na kuhamishwa usiku sababu ya ukarabati wa miundombinu

    Wakuu Habari za muda huu. Wiki kadhaa zilizopita University of Dodoma iliripotiwa kuwa na matatizo ya kunguni wakajitetea haikuishia hapo kuna mwenzetu mmoja alitoa mada juu ya uchafu wa vyoo na miundombinu ya maji taka. Sasa leo hii wakuu, College of Business Studies and Law CBSL, wanafunzi...
  3. Ajaye

    Kwa kiasi gani filamu ya Royal Tour inatuhakikishia utalii katika siku zijazo?

    Wakuu habarini za asubuhi, Kwanza nimshukuru mheshimiwa Rais nimeamka vyema buheri wa afya[emoji16]. Pasipo kuwachosha nahitaji uliza Jambo hapa, moja Kati ya sababu ya kupungua kwa watalii nchini na sehemu nyingi duniani uwepo wa gonjwa hili la Corona, Lakini pia moja Kati ya njia serikali...
Back
Top Bottom