Search results

  1. Majesty S P

    Natafuta dada wa kazi

    Out of topic. Natafuta dada wa kazi. Umri miaka 13-25 Awe mcha Mungu. Nyumba ipo Arusha,Mianzini. Nyumba ina Mama na mtoto wa miaka 5. Mshahara 40k/month (ila kuna maelewano) Kula kulala juu ya familia. Kwa mawasiliano zaidi +255 652 773325.
  2. Majesty S P

    Leo ni Miaka 56 tangu MalcolmX afariki dunia

    Leo ni miaka 56 tangu Mwanaharakati Mr.El Hajj Shabazz maarufu kama Malcolm Little daima tutakukumbuka kwa Mengi aliyoyafanya japo tumeyakuta kwenye historia. Endelea kupumzika kwa Amani MALCOLM X dunia bado inaukumbuka mchango wako.
  3. Majesty S P

    Happy birthday Ice T (63) and BirdMan (52)

    Tarehe 15.02. Ilikuwa ni happy birthday ya Birdman katimiza miaka 52. Tarehe 16.02 Ilikuwa happy birthday ya ICE T katimiza miaka 63. Emu wape neno hawa ma HipHopMogul uniambia ngoma gani unazikubali kutoka kwao.
  4. Majesty S P

    Kitabu kinachohusu electrical industrial manuals books

    Habari wakuu. Naombeni Mwenye kujua kitabu kizuri kinachohusu Electrical Installation activities na Electrical Maintenance na Shughuli zote za Electrical eg.Calibration maeneo ya kiwandani au plant yeyote kubwa naomba anisaidie Jina ili niweze kudownload au hata link kama ipo ili niweze...
  5. Majesty S P

    Mliotuma CV/Resume Jvacee Stiegler's Gorge mmeshaitwa?

    Imepita wiki sasa baada ya Mradi wa Mwalimu Nyerere kufunga pazia la kupokea maombi kwa ajili ya maombi ya zile ajira 1500+ Pale kiloka kwenye kampuni za Arab Contactors na Elsewedy Je, kuna mtu alishaitwa kwenye kada yeyote au connection ni muhimu pia?
  6. Majesty S P

    Nimepata changamoto kwenye kutuma hizi application. Naombeni msaada ili nitume

    Wadau natumai mu wazima. Nimeziona kazi za Steigler Gauge zile 800+ nina vigezo vya kuomba . Nimepata changamoto kwenye kutuma hzi application. Naombeni msaada ili nitume: Ila kwenye tangazo Wamesema tutume Resume kwenye email yao ya JVCEE. 1)I la baadhi ya watu wanasema tutume tu Resume...
  7. Majesty S P

    Ni kipi kiwango cha mshahara wa Pump Operators

    Wakuu natumai mko poa. Nauliza mishahara ya hawa watu chini kwa mwezi. (Gross salaries/Net Salaries). 1. PUMP OPERATORS 2. ELECTRICAL TECHNICIAN Kwenye PumpStations za mashirika kama DAWASCO, DUWASA, MTUWASA, SEMUWASA na kadhalika hapa Tz.
  8. Majesty S P

    Am looking fot Industrial Electrical Engineering book

    Habari zenu wanajamvi. NILIKUA naomba msaada kwa anayejua kitabu kizuri cha Electrical Engineering ambacho kinahusu Umeme wa viwandani na system zake ili niweze kukidownload. Ni hayo tu.
  9. Majesty S P

    Wakuu, kuna walioitwa kwenye interview Pivotech?

    Tarehe 31.12.2020 Kampuni ya pivotech ilitoa vacancy ya nafasi 5 za Field Operation Officer wakasema ndani ya siku 14 usipopigiwa Simu ujue haujafanikiwa kuitwa napenda kujua kama weshaita baadhi ya watu kwenye interview.
  10. Majesty S P

    Naomba kujuzwa jina la kitabu

    Wanangu wa Electrical Engineering hasa Electrical installation naombeni jina la hiki kitabu nidownload au hata kama una link unaweza share nashida nacho sana.Ni cha maswali na majibu.
  11. Majesty S P

    Nina Diploma ya Electrical Engineering, natafuta ajira

    Habari wakuu, Poleni na majukumu ya wiki nzima.Naamini mna weekend njema. Naombeni mnisaidie Ajira ndugu zangu nina Diploma ya Electrical Engineering tangu 2015 kiufupi ni ELECTRICALTECHNICIAN. Uzoefu miaka 5+ nilijiajiri muda mrefu ila mambo yameenda mrama tangu mwezi wa 3 kipindi cha Corona...
  12. Majesty S P

    Naombeni email ya kutuma maombi Rufiji Power Plant

    NILIKUA naomba Kwa yeyote mwenye Email ya Rufiji Hydro Power Station au kwa jina lingine panaitwa Mwalimu Nyerere Power Station aweze kunisaidia niweze kutuma maombi ya kibarua pale kwenye kada ya Ufundi Umeme.
  13. Majesty S P

    Recruiting Agency

    Ndugu zangu Jana nimepata Email ya kuitwa kwenye Interview kutoka moja ya Recruiting Agency inayoitwa Renstein Consultancy ila walichoniambia interview wiki ijayo na Nilipe registrations fee kabla ya Interview. Siku kuna utapeli mwingi sna hasa mitandaoni kwenye maswala ya Ajira.Nimepata...
Back
Top Bottom