Search results

  1. Kiwewe

    Ndugu, Jamaa na Marafiki, Njooni Tumtetee Makonda Dhidi ya Mapapa Wauza Unga Wanaomzushia...

    Itakuwa vimepotelea makanisani, maana haishi kuvitafuta huko.
  2. Kiwewe

    Katibu wa act tafadhari naomba kadi ya act, nimechoka kuwa punda wa farao( mtei)!!

    Oga vizuri, halafu upake na mafuta kabisa ndiyo uende huko.
  3. Kiwewe

    Mh. Mwigulu, Mkuya na Dr. Kawambwa, tunaomba mtusaidie upesi sisi wanafunzi tunaoteseka Ujerumani

    Nakusikitikia sababu huelewi mfumo uliopo huku, kipindi cha MSc wengine tulifanya UK ama Neatherland system ya huko ni tofauti kabisa na hapa Germany. Kwanza uelewe ukifanya kazi popote lazima uwekwe kwenye system yao ya kudhibiti kodi. Kama unapata pesa ya serikali (ingawa sisi tunapata 20%)...
  4. Kiwewe

    Picha: Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Kikwete Akabidhi Wasanii Mashuhuri tuu Kadi za kujiunga na CCM

    MARLAW:SINA MPANGO WA KUSHIRIKI KAMPENI ZA KISIASA TENA..ZIMENISHUSHA KIMUZIKI
  5. Kiwewe

    Mh. Mwigulu, Mkuya na Dr. Kawambwa, tunaomba mtusaidie upesi sisi wanafunzi tunaoteseka Ujerumani

    Mh. Saada Mkuya Salum, Mwigulu Nchemba na Dr. Shukuru Kawambwa, tafadhali tunaomba mtusaidie sisi wanafunzi wa shahada ya uzamivu tuliopo kwenye vyuo mbalimbali nchini Ujerumani. Tupo kwenye mpango wa elimu unaoratibiwa na DAAD ujerumani (20%) na Wizara ya Elimu Tanzania (80%), Sasa tumeanza...
  6. Kiwewe

    Rais wangu JK: Watanzania wanakufa Ujerumani, tafadhali chukua hatua ya haraka kuwaokoa

    Nawasiwasi kama unajua unachokiongea, hivi unafikiri Germany ni kama UK ama US? Kwanza kuna kikwazo cha lugha, pili sababu tunapokea pesa ya DAAD tunatakiwa kulipa kodi kwa kipato tunachokipata ambacho kisizidi 410€ kwa mwezi. Kikizidi 410 € kwa mwezi wanakata kwenye allowance yako. Mwisho ni...
  7. Kiwewe

    Rais wangu JK: Watanzania wanakufa Ujerumani, tafadhali chukua hatua ya haraka kuwaokoa

    Nafikiri wengi wenu mnachangia kutafuta vibarua Ujerumani mkiwa na Experience ya US ama UK. Huku ni ngumu sana kupiga BOX. Pia shule ipo tight sana. Kwanza PhD za huku zina Course work na weengi wetu tuna kazi za maabara, then ufanye analysis, uattend course work, usome na kuandika papers...
  8. Kiwewe

    Rais wangu JK: Watanzania wanakufa Ujerumani, tafadhali chukua hatua ya haraka kuwaokoa

    @∆ibanga Ampiga Mkoloni, mbona unasoma bila kuelewa? Ni kwamba tunalipwa na Ujerumani 20%, hiyo 80% ndiyo inatoka serikalini. Halafu hiyo pesa yenyewe huwezi kusave, maana pango, semester fees that including semester ticket, na gharama nyingine ni kwetu.
  9. Kiwewe

    Watanzania wanaofanya phd ujerumani wanakufa!

    Kwashule ya PhD Germany box alipigiki, huwa shule yake ipo tight na hata vijikazi mshenzi mpaka upate kibali.
  10. Kiwewe

    Mwanasiasa bora kijana 2012 Tanzania

    Kulingana na michango yake kisiasa na kutuomba radhi kwa aliyoteleze. Kwa moyo wangu, namchagua Mh. Zitto.
  11. Kiwewe

    David Mathayo David wasifu wako ndio huu. Ya nini kuwadanganya Watanzania?

    Nikweli huyu jamaa anafahamika kwa ujasiriamali kwenye kila kitu kilichombeleyake. Nakumbuka alikuwa akitumia VIDEO yake enzi hizo kwa kuonyesha mikanda yangono kwa kiingilio, wewe kama upon aye karibu muulize kisusio uoneatakavyostuka. Alinyesha mkanda wa yale maafa ya MV.Bukoba kwa kiingilio...
  12. Kiwewe

    Ktk Kumuaga Bob: CHADEMA hawakuzingatia Utaifa

    Yani wewe hujaridhika kwa heshima hii, mbona CDM ina heshima ya kitaifa?. Kama msiba ungekuwa ni wa kiserikali, watu wa protokali wangefanikisha hilo. Nafikiri umejiamulia kulalamika na kupotosha watu wasioelewa.
  13. Kiwewe

    Gwanda la CHADEMA ni UKOMBOZI...TUPIA MANENO HAPO......

    Hata Muasisi wa Taifa hili alipiga gwanda wakati alipokuwa anatetea nchi itoke mikononi mwa wakoloni weupe, sasa kwanini watu wasivae sasa kujikwamua kwenye kwenye ukoloni huu mweusiii.....!
  14. Kiwewe

    Zitto: Sitagombea uongozi CHADEMA

    ETM hebu kuwa realistic hata wewe. Ukisoma post yake ya pili imejieleza vizuri kwa kifupi. Hiyo ndiyo ilistahili kuwa post ya kwanza. Si vizuri kuchukulia mistari miwili kubeba kichwa cha habari. Tuendelee na mjadala.
  15. Kiwewe

    Zitto: Sitagombea uongozi CHADEMA

    Mpuuzi ni wewe uliyeleta habari nusunusu, kama unashindwa kufupisha habari ni bora usilete habari kulingana na hisia zako. Hebu karudie kusoma habari yote then ujiangalie mapungufu yako.
  16. Kiwewe

    Zitto: Sitagombea uongozi CHADEMA

    Uvivu wa kusoma na kuelewa. Umesoma hadi mwisho na kuelewa? Acha kukurupuka.
  17. Kiwewe

    Nape;"tutashinda arumeru zaidi ya igunga"

    Utafiti wao wametumia TUME ya TAIFA ya UCHAGUZI pamona na Jeshi la POLISI.
  18. Kiwewe

    Kauli mbiu za CCM zinachuja kwa kipindi kifupi why.........

    Mimi sina mengi, naongezea hizi za Mh. Livingstone Lusinde: Bofya hapa Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru - YouTube
  19. Kiwewe

    TBC Kufunga matangazo yake wakati wowote kutoka sasa

    Sasa hizi chaguzi nyingine ndogo zinazofata watapigia wapi propaganda. Lazima watatafuta kodi zetu toka vipaumbele vingine vya mihimu na kuzitupia kwenye hili jalala la TBC.
  20. Kiwewe

    lowassa kupanda jukwaani kesho-atakuwa kikatiti

    Tumemsikiasikia na kumsubiri weeeee, hadi jua limepotea sasa.
Back
Top Bottom