Search results

  1. singanojr

    Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    IBILISI RUDISHA FAHAMU ZETU(MIMI NA MKE WANGU). BY ISSAI SINGANO . (Singano jr). DIBAJI Saa saba mchana Frida alionekana akiingiza gari ndani ya hospitali na taasisi ya kitafiti ya Neuroscience inayopatikana Kibaha , kilomita kadhaa kutoka ilipo hospitali ya Tumbi. Ilikuwa ni hospitali kubwa...
  2. singanojr

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    NILIEMDHANIA NI KAHABA KUMBE BIKRA MTUNZI:SINGANOJR . AGE:18+ NB:SIMULIZI HII NI YA KUTUNGA PDF KUTOKA SEHEMU YA KWANZA MPAKA YA 390 IPIO NITAFUTE WATSAPP 0687151346 PROLOGUE../DIBAJI Ilikuwa ni muda wa usiku saa tisa kamili ndani ya chumba kikubwa anacholala mheshimiwa Rais Senga ...
  3. singanojr

    Simulizi -Kitabu kilichojaa majina yote

    SIMULIZI HII NI YA KUTUNGA HAIUSIANI NA MTU YOYOTE WALA KIKUNDI CHOCHOTE , MAENEO , OFISI NA MAJINA YALIONDANI YA HII SIMULIZI NI YA KUBUNI ENJOY SURA YA 01 Ilikuwa ni siku iliokuwa ikisubiriwa na kila mmoja ndani ya Taifa la Tanzania , kila mwananchi alionekana kufurahia lile jambo ambalo...
  4. singanojr

    Nilivyopata Upofu na Uziwi Shuleni A -level pasipo kujua chanzo na kuwaambukiza Marafiki zangu wa karibu

    Habarini wanajamvi wa Jf Natumaini wote wazima na ni wenye furaha, sitaki kuongea mengi Zaidi na kama uzi unavyojieleza na mimi leo nimeamua kuleta kwenu kisa changu hiki ambacho naamini kwa namna moja ama nyingine kinaweza kuwa na msaada mkubwa kwa baadhi ya watu, lakini pia huenda ushauri...
  5. singanojr

    Simulizi -2 Hours of Memories (Espionage and Science)

    MASAA MAWILI YA KUMBUKUMBU 2hours of memories. By SINGANO JR Kopi halisi ya kitabu kimeandikwa mwaka 2020 na kupitiwa upya mwaka 2021. Haki zote zimehifadhiwa ONYO Hauruhusiwi kunakili ama kusambaza kitabu hichi bila idhini ya mwandishi Jatua kali za kisheria zitachukuliwa. NB:SIMULIZI HII...
  6. singanojr

    Msaada kwa wazoefu wa window 10

    Wakuu habari za saa hizi natumaini wote ni wazima Nimepatwa na tatizo kidogo kwenye pc yangu ni kwamba nilichomoa harddisk nikaitumia kama external sasa wakati wa kuirudisha na kuwasha Pc inanipeleka kwenye system repair .. nimejaribu kufanya repair kwa kureset , kurun SFC , bootrec with CMD...
  7. singanojr

    Ujasusi - Umoja namba 97

    UMOJA NAMBA TISINI NA SABA KAULI YA MWISHO YA RAISI KABLA YA KIFO CHAKE MWANDISHI: SINGANOJR GENRE: FICTION (KUBUNI ) ........................…......................................... UTANGULIZI ..................................................... Damiani mhitimu wa chuo kikuu cha uhasibu...
Back
Top Bottom