Search results

  1. M

    Akiba ya Dhahabu G.O.T

    Yanaoendelea ndani ya Dunia yetu Kwa nyakati hizi za sasa Hapo nyuma kidogo kulikuwa na COVID-19,Kwa Sasa tuna vita vya Ukraine. Haya matukio Kwa taarifa zinazotolewa inaonesha ni Kwa nanma Gani hakuna kitu Cha bahati mbaya. Sisi watanzania tunacho Cha kujifunza na kuchukua hatua...
  2. M

    Simba nafasi ya kocha wa viungo huko kwenu inaonekana sio ya muhimu sana

    Simba nafasi ya kocha wa viungo huko kwenu inaonekana sio ya muhimu sana. Mmeingia kwenye professionalism lakin bado mnaendeleza ajira za michongo. Kilicho wafanya msitishe ajira ya Zrane ninini! Kama sio mkelele tu ya nje yaani mgeni aanze tu kuipenda ya jirani alafu mkathibitisha alafu nduki...
  3. M

    Simba mstaafisheni Juma Kaseja

    Itakuwa ni jambo la faraja sana kwake maarifa yake ni muhimu kwa bench la ufundi, Manula ni kipa mzuri hatuhitaji kuendelea kuthibitisha hili lakini anahitaji mwalimu atakae kuwa mfano halisi kwake. Kaseja Juma kwa sasa hiv hachezi mpira kuwavutia watu tena anacheza mpira kuwafundisha watu...
  4. M

    Kwako Hassan Mwakinyo

    Mwakinyo wewe ni mtu imara sana nimeielewa kazi yako kweli una uchu wa mafanikio nguvu unayo ya kutosha Wanaotaka kila siku mapambano wa wewe wakuwekee mapesa ya kutosha ndio upambane. Nimesikia umesema unataka kumshuka mtu ukipambana naye pale Us yes pale ndio penyewe unaijenga brand yako...
  5. M

    Ndairagije wewe ni genuius Tanzania haijawahi kucheza mpira Na giants yeyote yule kwa kujiamini tena ugenini

    Form is a temporal class is permanent. Mpira wanaocheza timu ya taifa kipindi hiki ni mzuri sana mapungufu ni kidogo tu tulikuwa tunalaumu washambuliaji kuto kufunga lakin jana tatizo limeonekana viungo ndio tatizo la taifa letu Back line ya timu umeijenga vizuri sana kwa kuwaweka nondo na...
  6. M

    Kocha wa Simba anza kuandaa begi lako upepo lazima ukuchukuwe

    Hii simba inayokwenda kushiriki champions league ndii ina mabeki wachovu namna hii kumbuka game nyingi za huko utakazo kutanazo zinafanania na hizi ambazo yanga amekutia presha. Viungo wa simba wamebaki jina tu pale wamebaki kuwa maaarufu wa kucheza na timu ndogo na kuzionesha umwamba utakutana...
  7. M

    Kwa wapenda siasa popote walipo

    Tutarajie kufurahia/Tutarajie kufadhaika Vitu vinavyoongelewa na CCM mtu CHADEMA hawezi kukiona cha maana kwakuwa moja kiu yao ni kuona chama chao kinatawala nchi siku moja na na kipindi chao cha kutaka adhma yao hii itimie ni kipindi hiki watu wa CCM wawavulie kwakuwa ukweli siku zote...
  8. M

    TFF, Ubovu wa sehemu ya kuchezea mpira (Pitch) lawama juu yenu

    Tayari mnaendeleza kufungia viwanja mlianza na Gwambina sasa mmesha shika kasi. Hiyo haitakuja kuwa dawa ya viwanja viwe vizuri sehemu za kuchezea pamoja na vyumba vya kubadilishia nguo Never. Watu wengi wanajua kiwanja kizuri ni kilichomwagiwa maji ya kutosha lahasha tumieni wataalamu mlionao...
  9. M

    TFF mna nia nzuri mnakosa sera

    Tff ndie mdau wa kwanza wa mpira nchini kwetu hamna sera yeyote ile hata kutueleza nia yenu siku moja hatujawahi kusikia kuhusu sehemu za kuchezea yaani pitch. Inasikitisha kwakweli kwa taasisi kubwa kama hii inashindwa hata kutoa maelekezo kwa klabu na wamiliki wa viwanja wanunue mbegu za nyasi...
Back
Top Bottom