Search results

  1. M

    Sukari inauzwa hadi 5000 na Serikali iko kimya hadi sasa, bei elekezi ni ipi?

    Hawa jamaa wanaanza kupandishia sukari kupitia magazeti baada ya wiki tatu Bei sokoni ndio inajibu Kwa kupaa wanasingiziaga mzigo wa stoo na inakuwaga ni uongo na uhuni unafanyika.
  2. M

    Siyo lazima kila alama ya mvuka kwa miguu (zebra) dereva wa gari asimame, Sheria ifumuliwe imepitwa na wakati

    Ilikuwa hivyo kabla, madhara Kwa watembea Kwa miguu yalikuwa ni makubwa hasa kwenye vivuko
  3. M

    Mkoa wa Iringa utolewe Nyanda za Juu Kusini na kupelekwa Kanda ya Kati iwe Pamoja na Dodoma na Singida

    Tafuta kwanini eneo lile la Iringa,Ruvuma,Mbeya pamoja na Rukwa iliitwa nyanya za juu kusini.
  4. M

    Hii ni sayari gani iliyokuwa karibu na Mwezi?

    Hiyo ni Jupiter Venus huwa vizuri wakati WA machweo Kwa kipindi hiki ukiwa makini ule muda jua liaanza kuzama Kuna nyota upande ma magharibi inaoneka vizuri kuliko nyingine hiyo Venus.
  5. M

    Akiba ya Dhahabu G.O.T

    Bado sio mbali haiozi hiyo kumbuka
  6. M

    Akiba ya Dhahabu G.O.T

    Yanaoendelea ndani ya Dunia yetu Kwa nyakati hizi za sasa Hapo nyuma kidogo kulikuwa na COVID-19,Kwa Sasa tuna vita vya Ukraine. Haya matukio Kwa taarifa zinazotolewa inaonesha ni Kwa nanma Gani hakuna kitu Cha bahati mbaya. Sisi watanzania tunacho Cha kujifunza na kuchukua hatua...
  7. M

    Kipi kinamfelisha msanii Ruby kuendelea kufanya vizuri katika muziki?

    Sifa zilikuwa nyingi kuelekea kwake akili yake ikapumzika.
  8. M

    Serikali sisi wasomi hatuhitaji Mambo Mengi zaidi ya kuhakikisha lugha ya kingereza inafundishwa Kuanzia chekechea Hadi chuo kikuu

    Mataifa ya ulaya yanayotumia kingereza ni mangapi maendeleo tofauti na yanayotumia lugha zao Maana mataifa kama france German Italy wanalugha zao kingereza kinawasaidia kuwasiloana na mataifa na biashara Kwani kutengeneza kifaa ukiuze inahitaji kingereza toka vidudu Uganda wanatumia hicho...
  9. M

    Namtetea mtoto wa Simbachawene, askari wachunguzwe

    Pamoja na yote ya kugonga gari za watumiaji wengine wa barabara huyo kijana alipaswa kuwa mtulivu polisi wapime ile ajali kwa then taratibu za kulipana ziendelee sasa huyo mtoto wa bossi anasema hajawahi kuenda polisi hii sio excuse kwa wakati kama ule maana kila mtu aliepata tatizo kama hilo...
  10. M

    Haya ya kufanyiwa kazi haraka Simba SC kabla ya kuanza Ligi Kuu na michuano ya CAF

    Mkude sijui ana kitu gani maana kila mchezaji akisajiliwa kwenye namba anayo cheza yeye basi lazima mchezaji huyo atapata majeraha ya kuachwa na timu kabisa ila kwa Lwanga wamebugi kumuacha na wawe makini Yanga pale wakimnasa watamtumia vizuri kwa yule beki wao mvivu Bakari Nondo arelax
  11. M

    Haya ya kufanyiwa kazi haraka Simba SC kabla ya kuanza Ligi Kuu na michuano ya CAF

    Simba imemuacha Lwanga kwa haraka sana, pale simba kuna kundi linakazi ya kunadi wachezaji na kuponda wengine lwanga alitibu tatizo la defensive kazi ambayo mkude ilikuwa ngumu kwake mpka akasajiliwa yeye matokeo yake pamoja na kupona majeraha wamemtema na kumuacha mkude aliewahi kuwa na...
  12. M

    Rayvany atumia milioni 5.8 kwenye pombe

    Usimfugie chuki kijana tafuta pesa yako achana na mawazo magumu kuyamudu, mpaka alipo fikia ni uwekezaji pia bills kalipa mwenyewe.
  13. M

    Ndizi zinazoivishwa kwa umeme Je ni kweli zinawekwa dawa ya kuhifadhia maiti?

    Ndizi mbichi zinawekwa kwenye pipa pamoja na parachichi bichi kwa layers na kisha kufunikwa vizuri vitaachwa kwa siku Tatu ndizi zote zitakuwa zimeiva na rangi inapendeza sana
  14. M

    Amebadilika siku chache kabla ya mahari

    Wewe dada nahisi nakufahamu lakini potelea mbali Ni hivi kijana muoaji hawezi kuja hapo kubargain mahari, na baba yako anataka muoaji aongozane na Baba yake Ambapo baba wa muoaji alifika na akaishia njiani kusubiri kama mtabadili mawazo na kumpokea sasa Mzee kaamua kuondoka kwenda kuendeleza...
  15. M

    Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

    Maandishi yamekuwa makubwa sana as if wote ni wagonjwa wa macho pia title ni kubwa sana Kwangu mvuto umepotea kutokana sipati ninacho kihitaji kwa wakati ila kilichopo Muonekano huu mpya unafanya nijione nimerudishwa nyuma technically na nahitaji kusonga mbele Rekebisheni
Back
Top Bottom