Search results

  1. Spartacus boy

    Kuongezewa Mshahara

    Habarini wanajukwaa, Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu kwa elimu ya ngazi ya degree kwa mwaka 2021. Mwaka 2022 nilibahatika kupata kazi katika kampuni moja ya BINAFSI ambapo nilipita kihalali katika nafasi moja ya kazi ilokuwa inahitaji watu sabini na kitu hivi. Katika tangazo lao la kazi...
  2. Spartacus boy

    Nafasi za kazi shambani Mufindi iringa. Mashamba ya Chai

    Njoo Iringa kwenye machai. Tunza tiketi YA BASI nauli unarudishiwa ukifika. 1.nyumba bure 2.maji ya uhakika Vigezo 1. Miaka 18+ 2. Uwe na NIDA namba au cheti cha kuzaliwa au kadi ya mpiga kura au namba ya NSSF AU leseni ya udereva Kazi ni kuchuma kipato ni kutokana na juhudi ya uvunaji lakni...
  3. Spartacus boy

    Chimbo la simu za blackberry Dar es Salaam

    Naulizia ni wapi kwa dares salaam au kwa mkoa wa Iringa ni wapi naweza pata BlackBerry zile simu za kizamani. Ahsante
  4. Spartacus boy

    Hii hali ukilala usingizi huwa mnaiitaje

    Halo wakuu, Mara nyingi nikilala usingizi afu ikatokea labda nipo karibu na redio ,tv, simu ikawa inaimba then hicho kinachoimbwa au kuongeleka kwenye hivyo vifaa hapo juu hunijia ndotoni. Ni hivi lets say unaimbwa wimbo kwny redio lakini mimi nikiwa usingizini basi ndoto inajitengeneza nikiwa...
  5. Spartacus boy

    Nilijiona ninapitia magumu kumbe kuna watu ni hustlers zaidi yangu

    Habari za Jumapili wanajukwaa, Maisha hayajawahi kuwa mepesi na hayatakuja kuwa mepesi. Ugumu wa maisha ninaamini ulianza punde tu mara baada ya wale watu wawili kula tunda pale bustanini. Kilichofuata baada ya hapo kila mtu anajua. Baada ya kumaliza elimu ya chuo nikarudi home kujipanga upya...
  6. Spartacus boy

    Nyimbo kali za club

    Bila kupoteza wakati. Nachelea kuwaletea cluh bangers kali ambazo mtu yeyote mwenye akili timamu akizisikia lazima aruke. 1. Notch_Nuttin no go so 2.sean Paul _ everblazing 3.t.o.k_ gal u a lead 4. Nywear _ mikasi 5.chaka demus_mudder she wrote 6. Rupee_ tempted to touch 7.wyclife jean_ love ft...
  7. Spartacus boy

    African oldie music/muziki wa kizamani wa kiafrika

    Leo nimekumbuka nyimbo za kipindi kile za kutoka bara letu. Najua Belinda Jacob alileta oldies lakini uzi wake ukibase kwenye muziki wa mbele. Leo nakuletea mtaa wa magoma ya kiafrika yaliyo bang miaka hiyo. J powers _Jabulane Pat shange _sweet mama Pat shange_ i surrender Mafikizolo _Emlanjeni...
  8. Spartacus boy

    Mtaani kwetu umeanzishwa umoja wa kusaidiana katika shida. Kujiunga ni hiari

    Tumezoea uwepo wa vikundi vya vicoba yaanii vya kuweka akiba lakini kupitia Mtendaji wa mtaa basi umeanzishwa umoja wa watu mtaani kwetu kujiunga kusaidia pale mmoja wetu hata asiye mwanachama wa umoja huu. IKOJE HII? *Wanamtaa chini ya kiongozi wetu walikuja na wazo la kusaidiana kuchangia...
  9. Spartacus boy

    PLAY BOY: ALBUM mpya ya fireboy DML

    Tarehe 5 August mwaka huu mkali toka Nigeria fireboy DML kashusha album yake ya tatu ikiwa ni kali sana. Humo ndani kawashirikisha wakali wafuatao *Chris Brown *Ed sheeran *Shanseea *Euro *Asake. Ngoma nilizozielewa huko ndani ni 1.Ashawo 2. Glory 3.Havin Fun 4.Bandana 5. Diana. Mzigo ni mkali...
  10. Spartacus boy

    Uchawi wa Kihehe wa kumroga mtu anayetembea na mwenzi wa ndoa

    Iringa, Kwa wahehe kuna uchawi huo hatari. Wahehe sio watu wenye hasira ila wakichokozwa ni hatari. Ikitokea ukawa unatembea na mke au mume wa mtu basi mwenye mali atakuonya ila ukijikuta mwamba basi utafanyiziwa. Huko vijiji vya Usokami kuna huo uchawi ambapo muhanga wa kuchukuliwa mke...
  11. Spartacus boy

    MSAADA: Jinsi ya kudeal na mtu mwenye inferior complex

    Msaada wakuu naomba mnisaidie nifanyeje namna gani ili niweze ishi na huyu mtu wa karibu ila ana inferior complex?
  12. Spartacus boy

    Country music special thread

    Habari kuu wakuu. Bila shaka ni wazima wa afya tele. Lengo la huu uzi ni kuwaleta pamoja wapenzi wa music wa Country. Music huu ni so genuine wenye asili yake hasahasa huko Texas Marekani Wasanii ninaowakubali zaidi ni 1. MAREN MORRIS 2. DOLLY PARTON 3. SHERLY CROW 4. KANe Brown. Kwangu...
  13. Spartacus boy

    Will Smith amtandika kibao Chris Rock usiku wa tuzo za Oscar

    Utani mbaya. Mc mkali wa huko Usa Chris rock kajikuta na aibu baada ya kupigwa kibao na Mshindi wa tuzo ya Oscar ; Will smith baada ya kumtania mkewe Jada pinkett smith. Utani mbaya ulomfanya Smith anyenyuke toka alipokaa hadi mbele ya stage na kumpiga bonge la bao. Alivorudi kukaa Smith...
  14. Spartacus boy

    Playlist ya kiume. Nyimbo za kiume kwa wanaume

    Wanaume tumeumbiwa huu ulimwengu. Movement na maisha ya sasa yamefanya wanaume kuonekana watu wa chini sana. Wanaume tusimame. Lakini najua hatuhitaji nguvu au movement kama za wenzetu ili kuonekana sisi ni wanaume. Tatizo letu ni kuishi kumfurahisha mwanamke mpaka tunasahau malengo yetu kabla...
  15. Spartacus boy

    Msaada: Ofisi za kikuu mkoani Iringa zipo wapi?

    Habari za kazi wakuu Nilikuwa nauliza kwa mkoani Iringa kuna ofisi za KiKUU kwa ajili ya kuchukulia bidhaa zilizoagizwa mtandaoni Ahsante.
  16. Spartacus boy

    Makazi ya milele ya sasa yamekuwa ya kibinafsi sana kwa mazingira

    Zama za zamani watu tumekuwa tukifanya maziko kama desturi ya heshima kwa waliotutoka. Samahani nitasemea hili lakini naomba lisilete kusemea nimependelea upande fulani. Kwenye kuandaa makaburi siku hizi watu wamekuwa wanamimina zege kuanzia chini hadi juu au kujengea kabisa. Kiufupi ni...
  17. Spartacus boy

    Chaji simu yako ikifika 40% ili isipate shida ya battery

    Heri ya noeli na mwaka mpya. Wote tunajua umuhimu wa kuwepo hewani kimawasiliano. Either kikawaida au kwa kua 'access' mtandao. Muda wa mtu Kuwepo hewani kwa asilimia kubwa kunakuwa determined na uwezo battery ya simu yako. Ndio maana zama zile wakati simu ndio zinaingia kigezo kikubwa wakati...
  18. Spartacus boy

    Ni wakati wa TFF kuja na kombe la ligi lijulikanalo.

    Ukiangalia ligi za timu nyingine hususan Ulaya, kombe la mshindi wa league huwa ni lenye umbo na muonekano ule ule miaka na miaka. Shida ni sisi hapa. Msimu huu utaona mshindi huu kapewa liko hvi msimu ujao liko hv. Vurugu tupu. Tff mnaboa kabisa. Jitathimini. Content credit: tweeter @ spotstz...
  19. Spartacus boy

    Hii issue ni mimi tu kuhusu PESA au na nyie?

    Habari za wakti huu wana JF moja kwa moja Nimejichunguza muda mrefu sana yaani. Nikiwa sina pesa huwa nawaza mambo ya kijinga sana, huwa nawaza mbususu, matumizi ya hovyo, kumsahau Mungu, matusi. Nikipata pesa kidogo tu huwa nakuwa makini sana, siwazi wanawake. Nikienda dukani huwa nakuwa mpole...
  20. Spartacus boy

    TANZIA Mtangazaji nguli, Baba T wa East Africa Radio afariki dunia

    Aliyekuwa Mtangazaji wa kipindi cha Lovers Rock ya EastAfrica, Baba T amefariki dunia leo katika Hospitali ya Rabininsia iliyopo Tegeta jijini Dar es Salaam Taarifa zaidi kuhusu taratibu za mazishi zitatolewa. Pia soma > Mtangazaji na DJ wa EA Radio, Baba T atimiza miaka 81 Wasifu mfupi wa...
Back
Top Bottom