Search results

  1. Quimica

    Nimecheka sana mpaka nimetoka nje

    Moja ya Changamoto wanazokutana nazo wataalamu wa afya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ushindwe kwa jina la yesu Hapo mwanzo sjui ameongea nn dah nmecheka sanaaaa hapana aisee Kazi kwel kwel
  2. Quimica

    Nimekutana na matapeli leo asubuhi

    😂😂😂 Nimekutana na wale matapeli wa pesa wakadhania wataniibia kumbe mimi mtoto wa mjini yaani nimezaliwa Moshi mjini nikasoma mpaka advance nkaja Dar Chuo na ni mtu ambaye ni mtundu sana wa mitandao ya kijamii Scenario ipo hivi, Nlikuwa nimesimama kituo cha daladala Magomeni Mwembechai ile...
  3. Quimica

    Dah! Tumefika huku?

    Inasikitisha nakufurahisha ahahhahaa Tunapiga chenga Watoto wa mungu[emoji23][emoji23][emoji23] Dah Nlikuwa nataka niende Kanisani January hii ila wacha niende March. [emoji23] Sent from my SM-A516N using JamiiForums mobile app
  4. Quimica

    Kanisani kuna nini siku hizi?

    Nina muda sana Sjaenda kanisani naona kama ninahitaji muda zaidi maana makanisa hayaeleweki siku hizi Hahahah imenibidi nicheke
  5. Quimica

    Binti amelogwa, kwao ni wachawi

    Aiseee hatari na nusu, kama juzi hapa niliandika thread kuwa mwanamke wangu anaolewa kumbe nimeepushwa na Mambo ya hatari ambayo nimeyafahamu baada ya mfanyakazi mmoja wa kazini kwa binti kutoa wazo la kwenda kwa Shehe maana Binti hata hapo kazini kwao hawakuelewa kilichomtokea. Sasa majibu...
  6. Quimica

    Mwanamke wangu anaolewa

    Aiseee ahahahahhaa kwel Dar kuna Joto sana. Kuna thread nilianzisha buana kuhusu binti fulani ambaye nilimkuta bikira, ni nurse kwa kwel ni mrembo sana. Nakwambiaje mpaka juzi tumewekeana Miadi yakwenda wote kwenye graduation ya Mdogo wangu Tanga huko. Binti nyumbani wanamforce aolewe sana...
  7. Quimica

    Mganga Mkuu wilaya ya Moshi Mjini afariki dunia akiwa guest house

    Mganga Mkuu wa Wilaya ya Moshi (DMO) mkoani Kilimanjaro, Dk Alex Kazula amekutwa amefariki dunia kwenye nyumba ya kulala wageni 'gesti' huku kifo chake kikigubikwa na utata. Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Kisare Makori amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema mwili wa Dk Kazula ulikutwa...
  8. Quimica

    Mzee Yusuf: Mtoto ni wangu ndio, ila sijui wapi na Lini nilikutana na huyo Mama yake

    Hii nayo Ituepuke Vijana wote wapambanaji Huwez kutaka Kufanikiwa kimaisha Bila kuwa na Familia Au Mwanamke Wa uwakika Vijana wote wanaojitambua Wanatamani Kutulia na Familia Zao na Wengi Wanawaza Ndoa , na hata Wakisalitiwa Watatulia nakutafuta mahusiano mapya Yanayoeleweka wala...
  9. Quimica

    Dah mwisho wa Netnaija

    Dah nimesikitika sana kukutana na taarifa kwenye ukurasa wa Netnaija kuwa haitakuwa inajihusisha na Kuweka movie zidownlodiwe bila wao kutaja sababu. Dah Inauma sana maana imekuwa website ambayo ni rahisi kutumika na pia unapata movie kwa mb Chache Sababu kubwa itakuwa ni nn imepelekea wao...
  10. Quimica

    Video: Mwanaume nayekula Wali anajidhalilisha

    Umeona wanawake walivyo ahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  11. Quimica

    Mtu akishachagua maisha yake huwezi kumbadilisha na wala usisumbuke

    mtoto wa kike akishachagua maisha yake huwez kumbadilisha na wala usisumbuke 1. Huwezi kumbadilisha mdada anayejiuza 2. Huwezi kumbadilisha Mtu anayetumia Madawa yakulevya 3. Huwezi kumbadilisha Mtu wa Club sana na Mlevi Eti sijui nikimuoa ntambadilisha ahahahahahaa[emoji23][emoji23]...
  12. Quimica

    Umewezaje kudate na mwanamke Nurse?

    Naam Bila kupoteza wakati aiseee Nimejikuta Nimetumbukia mazima Kwenye penzi la Binti mmoja Kutoka Tanga ambaye ni nurse hospital Fulani Hapa Dar. Mtoto ni mrembo Haswa yani Hana kasoro yeyote halafu ni mweupe ametaka kufanana na Picha nilizoziweka , nasisitiza ni Mzuri sana yaani mpaka masela...
  13. Quimica

    Nini maana ya hizi rangi mama akiwa mjamzito?

    Kuna Video nimekutana nayo mitandaoni Ila kwa kwel Sijaielewa ,nmesoma Comment lakini sijawaelewa. Wanakuwa wapendanao wanaotarajia mtoto yani Baba na Mama Wanabonyeza kama Pump hivi , zinatoka Rangi nyekundu au Blue Maana yake ni nini? Na je inafanya kazi Kwenye kutambua mtoto atakayezaliwa?
  14. Quimica

    Video: Rich Mavoko namna alivyoishiwa mpaka anapiga show za kimaskini

    Dah nmeona video ikimuonyesha Rich Mavoko namna alivyoishiwa mpaka anapiga show za kimaskini Kuna wanaosema atakuwa anapata pesa Sababu alipofanya show sjui ni mgodini Lakini Kama kuna pesa wasanii wenzake siwangeenda Pia Dah inauma sana ,bora wajitokeze watu wamsaidie TABLE TURNS...
  15. Quimica

    Huyu Nabii anayesema Mei 2024 Dar es Salaam itaangamia ni nani?

    Kuna hivi vikaratasi vimesambaaa sana kwamba Mwisho wa Dar ni May 2024 Huyu nabii wa wapi? Nimecheka kinoma, sema Dar kuna Uchafu mwingi sana Unaendelea.
  16. Quimica

    Haithamkim amefanyaje?

    Naona Wasanii mbalimbali Wamepost wakisema kwamba anaumwa Watu watume pesa Achangiwe Bila kusema Shida ni nini Huku Baadhi ya Comments zikisema Binti ambaye ni Msanii amekuwa akitumia Bangi na Kuvuta Shisha sana, je ni nini Hasa Kinamsibu?
  17. Quimica

    Wataalamu wa afya mnakaaa kimya ni aibu

    Yan Hii heading Imekaaa kisiasa Sjui Tuseme ,yani waandishi wa habari walioandika Hivi Wamekosea Sana !! Aya mambo ya afya hayahitaji Politics. Jana vichwa mbalimbali vya habari vimesambaza taarifa ambazo zimepokelewa tofauti na watanzania ,na chakushangaza hakuna professor aliyeongea chochote...
  18. Quimica

    "Energy Drinks" zinasababisha Shambulio la Moyo

    Habari wana JamiiForums, Research study iliyofanywa na wasomi wa afya ya jamii imeonyesha kuwa vinywaji vya energy drink vinasababisha damu ishindwe kufika kwenye moyo (acute myorcardial infarction) inayosababisha shambulio la moyo (heart attack) ambapo upelekea kifo. Tuendeleee kulinda afya...
  19. Quimica

    Ranitidine, dawa ya vidonda vya tumbo

    Drug Tablet Named Ranitidine used to treat ulcers and GERD sold as (Zantac,Rantac,Ranitab ) Is Banned in USA AND INDIA Because of Having N -nitrosodimethylamine ambayo inasababisha Colorectal Cancer Hii Taarifa imevuma sana Leo, na ukiangalia Dawa hii ni First line Drug Of Treatment ya Ulcers...
  20. Quimica

    Chuo Kikuu Muhimbili namba moja

    Habari, Kama juzi kati mliona ilikuwa inavuma sana mitandaoni baada ya Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili kuweza kuibuka kinara Africa Mashariki na Africa ya Kati kwa kuwapiku vyuo vikubwa ikiwemo Chuo Kikuu cha Nairobi, Kenya na Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaaam (UDSM). Vilevile Chuo...
Back
Top Bottom