Search results

  1. Quimica

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mwandishi: Una maoni Gani kuhusu Hii Ajali uliyoipata Kijana: Kwanza Kabisa ningependa Kumshukuru Mama Samia [emoji28]
  2. Quimica

    Mwenyezi Mungu pekee ndiye anayeamua riziki

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah unampanikisha mwamba
  3. Quimica

    Nimecheka sana mpaka nimetoka nje

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  4. Quimica

    Nimecheka sana mpaka nimetoka nje

    Moja ya Changamoto wanazokutana nazo wataalamu wa afya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ushindwe kwa jina la yesu Hapo mwanzo sjui ameongea nn dah nmecheka sanaaaa hapana aisee Kazi kwel kwel
  5. Quimica

    Nimekutana na matapeli leo asubuhi

    watu mna hasira sana sjui shida ni nn [emoji28] kwan mkiwasilisha hoja kwa upole siinaeleweka
  6. Quimica

    TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

    Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Edward Lowassa (70) amefariki dunia leo katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete, Dar es Salaam. Taarifa ya kifo chake imetangazwa na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango. Source :swahilitimes
  7. Quimica

    Nimekutana na matapeli leo asubuhi

    mzee mbona unamakasiriko sana ? yani unaahisara kama umechanganyikiwa
  8. Quimica

    Nimekutana na matapeli leo asubuhi

    nilikaaa nyuma soma vizur
  9. Quimica

    Nimekutana na matapeli leo asubuhi

    Hapana bhana na nlikuwa nimeshika simu Si wangenitapeli simu?
  10. Quimica

    Nimekutana na matapeli leo asubuhi

    halafu watu unajua hamjafahamu kuwa dawa wanazotumia ni dawa ambazo tunafundishwa Darasani kama Scopolamine , dawa wanaweka kwenye pesa Pamoja na wakikushika mimi niliavoid hvyo vyote
  11. Quimica

    Nimekutana na matapeli leo asubuhi

    niliona watamtapeli mzee kumbe walitaka kunitapeli mimi, yani huruma yangu ndo ilinisababisha niingie kwenye gari
  12. Quimica

    Nimekutana na matapeli leo asubuhi

    Barabara hyohyo .
  13. Quimica

    Nimekutana na matapeli leo asubuhi

    kilichotaka kuniponza ni huruma.
  14. Quimica

    Nimekutana na matapeli leo asubuhi

    nilikuwa nina laki nne kwenye simu , na simu ni ya zaidi ya laki tano.
  15. Quimica

    Nimekutana na matapeli leo asubuhi

    hamna ni lafudhi yangu ipo hvyo .
  16. Quimica

    Nimekutana na matapeli leo asubuhi

    hii ni ukwel kabisa I swear to My God imenitokea.
Back
Top Bottom