Search results

  1. M

    Report: Rodman broke, extremely sick

    Pole sana kwa Denis Rodman,kufulia sio ishu,kwan hakuzaliwaga na pesa,pesa ni mfumo tu wa kidunia.
  2. M

    Wizi wa vifaa vya magari University of Dar es Salaam-Mlimani campus

    Kaka pole sana,nahis watakua wamekuibia leo leo hapo udsm,kuna vifaa vya kichina(alarm system),unafunga.Katika keyholder yako unakua unaweza kuona milango yote mitano au mitatu ya gari yako,ukiguswa/kufunguliwa hata mmoja unapata alarm pale kwenye key holder wakat gar iko parking.
  3. M

    Kuuza pombe Zenj is a death sentence!

    Huyajui madhara ya Pombe ndio maana unaleta maneno yako mbofu mbofu hapa.Uislam uliyajua madhara yake na ndio maana ilikatazwa.
  4. M

    Jipe moyo Kafulila; Hongera NCCR-Mageuzi, Godbless Lema

    Chama cha siasa sio baba wala mama,na pia sio dini ni muunganiko wa watu wenye common interest...kwa hili unatakiwa kumuangalia mara mbili mwanamapinduzi uchwara lema,wahenga walisema ngoma ikilia sana ujue inakaribia kupasuka,lema anakaribia kupasuka kisiasa soma vizuri hauhitaji PHD kuelewa...
  5. M

    Jipe moyo Kafulila; Hongera NCCR-Mageuzi, Godbless Lema

    Hii ndio Democracy kueleza kile unachodhani ni sahihi - (Freedom of speech),ila kwa hili Mh.Lema nimekutoa from Hero to Zero,mimi sio mshabiki sana wa siasa ila nikisoma hii kitu yako naona kama mna kaugomvi fulani na Mh.David Kafulila...ni mawazo yangu tu.
  6. M

    Picha za maajabu saba mapya ya dunia

    mpaka huyo kenge kaushinda mlima kilimanjaro?kweli haya maajabu mapya
  7. M

    Mbeya again! Soko lateketea kabisa mjini Tunduma

    nipo eneo la tukio gari la zimamoto limekuja hapa ni la zambia halaf halina maji.
Back
Top Bottom