Search results

  1. let the caged bird sings

    Budapest Memorandum: Ulaghai wa kihistoria Warusi waliowafanyia Marekani, Uingereza na Ukraine

    Lumumba,msomi,msomi kwa viwango vya kimataifa,mwana historia mbombezi na great thinker kweli kweli ila Pro Russia, huwa akifika kwenye Budapest memorandum anavaa Miwani ya Mbao.
  2. let the caged bird sings

    Jinsi Video ambazo ni fake zilivyotumika kipropaganda kuelezea Shambulio la Iran kwa Israel

    Gross violation. Kuteka. Kutesa. Kuua etc. Inamaana kwamba uelewi kabisa ninachohoji? Kwenye gross violation kuna kipengele cha maiti kutokukutwa na silaha?. Evu nukuu sentence yoyote katika Statement ya Blinken ambayo ina maelezo kama yako then utakuwa umemaliza.
  3. let the caged bird sings

    Jinsi Video ambazo ni fake zilivyotumika kipropaganda kuelezea Shambulio la Iran kwa Israel

    Rafiki,mimi sijadili atrocities za battalion hiyo inayotaka pigwa sanctions,mimi ninajadili vitu viwili hapa. *Statement Blinken *maelezo yako ya hawali kuwa kuna maiti hazikukutwa na silaha. Maiti kutokukutwa na silaha ni ingizo lako katika Statement Blinken. Katika hiyo Statement hakuna...
  4. let the caged bird sings

    Jinsi Video ambazo ni fake zilivyotumika kipropaganda kuelezea Shambulio la Iran kwa Israel

    Gone those days Great thinker ndiyo walikuwa wanaanzisha mada na kuchangia wakati sisi vilaza tulibaki wasomaji tu. Jf ilikuwa imejaa maarifa wakati huo. DONDOO KATIKA SWALA ZIMA LA SANCTION DHIDI YA The Netzah Yehuda battalion. Zingatia kuwa Sanctions hii sio kwa IDF nzima bali Battalion...
  5. let the caged bird sings

    Jinsi Video ambazo ni fake zilivyotumika kipropaganda kuelezea Shambulio la Iran kwa Israel

    Wakristo (minority) Gaza na huo ukanda kwa jumla uwa unaelezewa na Progandalists kwa msisimko mkubwa sana kuliko hata wakati wakristo wakiwa majority. Wakristo kuwepo hapo si Hisani ya Waarabu Waislamu,wapo hapo kwasababu ni kwao na waliwai kuwa majority hapo kabla ya uislamu. Hadi karne...
  6. let the caged bird sings

    Jinsi Video ambazo ni fake zilivyotumika kipropaganda kuelezea Shambulio la Iran kwa Israel

    Sijakukoti kwasababu ya kupinga Sanction ya Us Over jeshi la Israel,nimekukoti kupinga madai yako ya maiti kutokutwa na Silaha. Sijui ulikusudia kusema nini uliposema "Maiti hazikukutwa na Silaha". Kigezo cha maiti ni lazima ikutwe na Silaha ndiyo Marehem awe muharifu umejitungia wewe tu, Us...
  7. let the caged bird sings

    Wairan 8000 ni Wayahudi

    Mashaka yako yananakuzwa na conspiracies zilizojaa kichwani mwako. Hivi,ukimuona King Abdallah anakatibiana karibu kabisa na Rooney na Sio Muhammad Sahal. Lakini hakuna siku mmesema Abdallah sio Semitic.
  8. let the caged bird sings

    DAR: Adaiwa kumuua mlinzi wake Pugu, baba yake naye auliwa

    Ukweli unaweza ukawa si hivyo unaosimuliwa. Ingia YouTube angalia tukio la yule Mtoto aliyekojolea msahafu,kuna dada anahojiwa katika hiyo clip juj ya chanzo cha vurugu hizo,huyo Dada anachokiongea sicho kabisa kilichokuja julikana baadae.
  9. let the caged bird sings

    Jinsi Video ambazo ni fake zilivyotumika kipropaganda kuelezea Shambulio la Iran kwa Israel

    Maiti akutwe na silaha anaifanyia nini?. Askari akifa Silaha yake haiwi Najisi,itachukuliwa mpiganaji mwingine. Na hakuna massacre Gaza, propagandists ndiyo mnasema hivyo.
  10. let the caged bird sings

    Bunge la Marekani laidhinisha kitita cha $ billion 60 kwa Ukraine

    Hayo maeneo Ukraine aliyapoteza miaka zaidi 6 nyuma hata kabla vita kamili kuanza.
  11. let the caged bird sings

    Mke wa zamani wa Ricardo Kaka afichua sababu iliofanya waachane ni kuwa Kaka alikuwa mkamilifu sana

    Wakati nakua kua, Mungu akitaka kumuathibu binti wa pale kijijni kwetu anamleta mikono mwagu. I was too ruthless towards this Gender na ajabu hali hiyo ilinifanya niwe napata show za Bure toka kwao. Vilio vilikuwa havikauki Ngwea kwangu hadi nikafukzwa home. Hawa viumbe wanataka uwa...
  12. let the caged bird sings

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Kwamba habari sahihi zinatoka kwa ndugu zako waliopo Iran kiyume na hivyo ni propaganda?.
  13. let the caged bird sings

    Iran Infinity Jihad

    Hakuna anaehitaji vita iwe Israel ama Iran kwasasa. Ni ngumu kudhani kuwa Israel inahitaji kuanzisha Vita na Iran kwasasa wakati ambao wanavita nyingne na hamas. Iran nae hawezi thubutu kuishambulia Israel direct maana kufanya hivyo itakuwa ni mwanzo wa anguko la Utawala wao. Is more likely...
  14. let the caged bird sings

    Marekani yapeleka Saudi Arabia Askari elfu 20 na silaha nzito kwa utayari dhidi ya vitisho vya Iran kushambulia Israel

    Vitambi vya Beer ni tofauti na Vitambi vya burger along with Lishe Bora. Angalia Wanajeshi wa Urusi na Ukraine ni mapande ya Majitu ila Wanajeshi wetu wanatia huruma. Miili mikavu na vinavimba mtaani kinoma. vikiwa vinaendesha vi-IST vyao havifuati Sheria za Barabarani, full Ubabe.
  15. let the caged bird sings

    Marekani yapeleka Saudi Arabia Askari elfu 20 na silaha nzito kwa utayari dhidi ya vitisho vya Iran kushambulia Israel

    Ulaya, Marekani, Urusi huo ukanda hakuna Utapia mlo. Wanajeshi wao wanamiili mkubwa tofauti na vynajeshi vya Tanzania na Afrika kwa ujumla. Vyanajeshi vya Bongo vina Afya Duni sana.
  16. let the caged bird sings

    Israel yaanza kushusha mvua ya mabomu Rafah

    Sijajua unataka kujenga hoja gani. Waisrael waingia hapo na kukutwa Wafilisti wako hapo.
  17. let the caged bird sings

    Israel yaanza kushusha mvua ya mabomu Rafah

    Base on fact, kihistoria nje na vitabu vya Dini. Wayahudi na Waarabu hapo wote si kwao kwa Asili. Ndugu wa karibu wa muyahudi ni Mwarabu na sio wazungu ama Wairan kwasababu Wayahudi na Waarabu wote ni Semitic, Asili yao ni uko Iraq. So, wote wamehamia hapo, ujio wa wayahudi huo ukanda...
  18. let the caged bird sings

    Israel yaanza kushusha mvua ya mabomu Rafah

    Israel si Taifa la Kikristo, ifahamike kuwa Wakristo wanasapoti Israel kwa Haki kuwa hapo ni homeland ya Jews.
  19. let the caged bird sings

    Tuelimishane Quran

    Allah kampa Jibril Mwana Ampeleke Mariam, sasa waulize waislam huyo Mtoto aliyepewa Jibril na Allah ampelekee Mariam ni nani, then uone sarakasi utakazo Pigwa!! Hutaamini.
Back
Top Bottom