Search results

  1. T

    Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Freeman Mbowe

    Mwanzo mzuri ila wasije badilika kati kati ya safari katiba ni ya muhimu sana.
  2. T

    Ni yupi haswa ananyonywa katika muungano?

    Jamani tukubali au tukatae mda umefika watu inatakiwa tuwekane wazi kwajinsi mambo yalivyo badilika wazanzibar wamegundua kuwa wao ni watumwa wa tanganyika wameamua kushituka lakini watanganyika wameshindwa kukubali kuwa wao ni wakoloni na wanataka waendelee kuwa wakoloni katika koloni lao la...
  3. T

    CCM kuanzisha makampuni ya biashara

    ccm wamechoka awana jipya.
  4. T

    Kamati Kuu ya CCM Yaridhia Kikwete kusuka upya Baraza lake la Mawaziri

    Nina wapongeza kwa uamuzi wa busara ulio fanywa na kamati kuu kama habari hii ni ya kweli.
  5. T

    CCM kumtwisha mzigo Lowassa Arumeru Mashariki

    tusubili tuone.
  6. T

    Je?serikali imeweza?

    Kauli mbiu çcm na serikali yake maisha bora kwa kila mtanzania tuliyo haidiwa tume kwisha yapata au wana subiri uchaguzi ufike waje na kauli mbiu nyingine ili kutu danganya ili wapate kura za watanzania?
  7. T

    Chama gani mbadala kwa CCM?

    Kwa maneno aliyo tamka nina kuwa na mashaka nae kuwa ni kibaraka wa ccm kwa asilimia 100.
  8. T

    Tumepata?

    Ccm na serikali yake ili kuja na kauli mbiu maisha bora kwa kila mtanzania je? Sisi kama wananchi tumesha yapata maisha hayo.
  9. T

    Chief 1

    tusalimie vizuri ili tuseme malaabaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah.
  10. T

    Katiba iweje?

    Naomba wana jf mtoe maoni yenu kuhusu katiba mpya iweje?
  11. T

    Je kampeni zimeanza?

    una uakika na maneno unayo sema?
  12. T

    Je kampeni zimeanza?

    jamani kila kukicha katika vyombo vya habari habari inayo tawala ni kuhusu uraisi mwaka 2015 ukienda ccm chadema nk vyama vina shindwa kuongelea maendeleo ya wananchi wana baki kuongelea urais urais, je ni haki katika kipindi hiki.
  13. T

    Regia Mtema kuwakutanisha JK na Dr Slaa uso kwa uso leo

    mimi sioni jipya mambo kawaida tu.
  14. T

    Customer care zetu hapa Tz ndivyo zilivyo

    ayo ndiyo maisha ya kibongo usishangae mkubwa.
  15. T

    Kodi ya Maendeleo(kichwa), Uzembe na Uzururaji...

    ni wizi kimacho macho mkubwa.
  16. T

    Kodi ya Maendeleo(kichwa), Uzembe na Uzururaji...

    usishangae selikari jk ina weza kufanya watakavyo.
  17. T

    Kodi ya Maendeleo(kichwa), Uzembe na Uzururaji...

    kuna habari nime zisikia kuwa kodi ya kichwa imerudi anaejua naomba anisaidie ili niweze kujua.
  18. T

    Wassira (Mbunge wa Bunda) azomewa na wananchi wasio zidi 50

    Sailor1 wewe ni kibaraka wa wasira asilimia 100.
Back
Top Bottom