Search results

  1. P

    Album

    Wizkidayo a.k.a StarBoy pamoja na Davido wote wameachia Album zao ambazo kwa sasa zimekuwa gumzo Afrika mpaka Worldwide. Kama umepata fursa ya kuzisikiliza ipi umeielewa zaidi? Wizkid MADE IN LAGOS Au Davido A BETTER TIME. Forgive Me.
  2. P

    Album ya Davido

    Jamaa hatari
  3. P

    Album ya Davido

    Wakuu umeona ujio wa Davido??? Baada ya hasimu wake kuachia Album ya Made In Lagos(Wizkidayo) Mtu mzima Davido ameachia Album yake ya A Better time ikiwa na ngoma 17. Chris Brown,Nick Minaj,Young Thung na Nas wasanii wakimataifa walioshiriki humo.. Afrika mashariki Sauti Soul tu ndio...
  4. P

    Wizkidayo Starboy

    Mkuu mbona kwangu ina zingua
  5. P

    Wizkidayo Starboy

    Bila VPn je?
  6. P

    Wizkidayo Starboy

    Ile Smile imeimbwa kifundi sana...Bora ww mkuu umeilewa Album....
  7. P

    Wizkidayo Starboy

    Kizuri kinajiuza,Endelea kusikiliza Singeri mkuu
  8. P

    Wizkidayo Starboy

    Mimi ni nani nipinge mawazo yako???? Album mbovu alafu inakimbiza kinoma tena Worldwide....😀
  9. P

    Wizkidayo Starboy

    Kibongo bongo bado labda Apple Music
  10. P

    Wizkidayo Starboy

    Hivi una data za wasanii wetu Huko Spotify? Come Closer ya Wizkid ilifikisha Streaming milion 98 Huko Spotify....Wanalipa mara 3 ya Youtube😀😀😀😀
  11. P

    Wizkidayo Starboy

    Ndio tumemaliza hapo😀 Wenzetu Wanafanya mabalaa Spotify huko
  12. P

    Wizkidayo Starboy

    Hatari huo Mdundo🔥
  13. P

    Wizkidayo Starboy

    Kama nani😀
  14. P

    Wizkidayo Starboy

    Ni kweli mdau Afrobeats kweliii...kama hiyo True Love dah🙌
  15. P

    Wizkidayo Starboy

    Ni🔥🔥🔥 Kidayo ni jau🙌
  16. P

    Wizkidayo Starboy

    Huo mdundo ulipikwa sanaaaaaa yani dah....Wacha tusubiri kideo
  17. P

    Wizkidayo Starboy

    Wakuu kwema? Poleni na majukumu ya hapa na pale. Kwa wasikilizaji na wapenda muziki wa Afrika,Mmeuona ujio wa Star Boy Wizkid(Made In Lagos) Album yake ya MADE IN LAGOS ambayo kwa sasa ni gumzo WorldWide inakimbiza kinoma noma ikiwa na midundo 14.. Imeingia hadi kwenye top10 za Spotify album...
Back
Top Bottom