Search results

  1. Kisiya Jr.

    Tundu Lissu: Tutazipima kauli za Kikwete kwenye Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala!

    Hapana mkuu,Hii ni siasa,kila hoja inapaswa kujibiwa. ukiziiacha, wananchi NA wafuasi watajua ni ukweli. Wale wasiokua wavivu WA kufikiria tunapata wasiwasi NA busara ya My.rais kutoa maneno ya kuudhi na kidhalilishaji kiasi kile kwa kutumia maneno ya kuambiwa! Hapa ndio namsifia Tundu Lisu...
  2. Kisiya Jr.

    Tundu Lissu: Tutazipima kauli za Kikwete kwenye Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala!

    Ha haa....nikiwa msomi km wewe,sishabikii upumbavu wa mzee fast jet hata km kuna fatherhood!
  3. Kisiya Jr.

    Mbowe, Slaa wakemeeni wanaomchafua kiongozi mwenzenu Zitto Zuberi Kabwe

    Hilo jambo molemo hawezi kufikiria kabisa,ndo maana anakesha bila aibu kuhujumu demokrasia kumtangaza dr.Slaa kuwa mgombea 2015 na mbowe uenyekiti 2013. Bila shaka anajua kwmb wakija wengine hapo makau makuu huna chako tena,unarudi kuimba kwaya.
  4. Kisiya Jr.

    Shujaa wako mwaka 2012

    Shujaa wangu ni Zitto Zuberi kabwe kwa kutoa muongozo wa swiss money,kuwa na msimamo lmara japo Ben Sanane na Dr.Slaa wanamchafua,ingawa alinichefua kujivuna uchawi hadharani. nk
  5. Kisiya Jr.

    Barua ya Papii Kocha kwa JK

    kama ni hila na fitina za baba riz 1,ipo siku nae ataonja maumivu kwa njia nyingine. kama ni makosa yako kweli mungu kackia kilio chako,na naamini ipo cku utakua huru. Binafc nakuombea heri
  6. Kisiya Jr.

    Hawa ni wahuni ndani ya CHADEMA - Na Evarist Chahali

    We sema tu upo kambi ya Dr.Slaa tu tutakuelewa. Eee we ni mnafiki tunakufaham siku nyingi sana,ni mlamba nyayo za mabwana kwa kutafuta cheo. Rejea ulivojipendekeza kwa kilawa ili akupe uwaziri wa mikopo udsm. unapenda kujckia na kijiona wewe ndo wewe. Hapo chadema sio bure,wayafuta cheo.
  7. Kisiya Jr.

    Simu LG 500 nanunua.

    Hiyo yote tujue upo nje ya nchi,ok tumejua. Endelea kukuna nazi,bwanako akirudi umpe 0713...aendelee kifaidi.
  8. Kisiya Jr.

    Simu LG 500 nanunua.

    Jamani kwa yeyote mwenye cm tajwa hapo juu ani pm nimfate. naihitaji sana.
  9. Kisiya Jr.

    Simkumbuki Wakili mnafiki kuliko Marando

    Ndugu Nape Nilishawahi kusikia kwamba Nape una masters. Ni vigum kuamini kwa elimu na nafasi yako kwamba hujui kazi ya uwakili nini. Kwetu sisi wanasheria uwakili ni kuisaidia mahakama kufikia na kutoa uamuzi sahihi na sio kuwatetea km unavomaanisha.
  10. Kisiya Jr.

    Ben Saanane awatoa Mafichoni Zitto na wenzake

    Dr.slaa kama hizi ni jitihada zako,zimefanikiwa sana tu ila hiyo dhambi haitakuacha,ltakutafuna. Zitto na kambi yenu,kama hizi zilikua ndo harakati zenu kwenda lkulu,hakika mmevuna mlichopanda. Huwezi kujikinga na jua kwa kutumia kivuli chako.
  11. Kisiya Jr.

    Tundu Lissu: Hakuna atakayefanya kazi za CCM akajiita mwana CHADEMA tukamwacha

    Mi binafsi nawashangaa sana mnamsifia BEN SAANANE na kumuona ni brave and hero. That z non sense and hopeless for the critical thinkers. Mi binsfsi naona kiwembe kitakachowanyoa kimwanzie yeye kama kweli hatumiwi na Dr.Slaa kuwachafua wengine,maana kama ametumika kambi mbili zote...
  12. Kisiya Jr.

    >>>>nafasi za kazi zatangazwa b.o.t

    mleta tangazo alikua anato-mbwa,ndo akakurupuka nalo. watu tupo mtaa tumepigika na bachelor zetu ww unaleta wehu wako.
  13. Kisiya Jr.

    Zitto atikisa Bagamoyo leo

    Zzk utamkubali tu,Co we molemo alikishinda ubunge Yule babu alafu unamletea majungu jamaa!# next election uchukue jimbo lile kwa babu
  14. Kisiya Jr.

    SBC TANZANI LIMITED/peps

    walitoa kweny media gan tangazo hilo nami nijaribu
  15. Kisiya Jr.

    Jerry Muro apokewa kwa shangwe na BAVICHA

    Mi sioni tatizo na umri wao,lkn je wanachojadili kuna manufaa kwa vijana?
  16. Kisiya Jr.

    kwa aliye-SINGLE TU.

    Sio ajabu ukakuta ni goli la mlevi au rushwa ya ngono
  17. Kisiya Jr.

    kwa aliye-SINGLE TU.

    Bao la guest utalijua tu!
  18. Kisiya Jr.

    kwa aliye-SINGLE TU.

    Nisitiri tafadhali,ngoja twende kando.
Back
Top Bottom