Search results

  1. N

    CHADEMA hawajakaguliwa! #FACT

    Kama sijakuelewa vema kwenye bandiko lako... Unamanisha kuwa CAG ndio mwenye mamlaka ya kukagua mahesabu ya hela yote ya umma... Natamani kujua zaidi,ni nani kati ya vyama na CAG anatakiwa kuwajibika kwenye sakata hili? Kwanini awajibike? Majibu hayo yatanipa mwanga wa nani anasema ukweli kati...
  2. N

    Mbowe atolewa nje ya bunge

    Hongera kwa Mh. Ndugai kutuletea sura halisi ya BUNGE LA JMT...Ni raha ile mbaya fule mafiga matatu, kangamoko, kuduku,.....
  3. N

    CCM na ndoto za Mchana

    Hao waliobaki wamejadili nini cha maana tofauti na kutoa pongezi kwa kamati/rais/waziri na kuwasema waliotoka?
  4. N

    CCM na ndoto za Mchana

    Akili ndogo kuongoza akili kubwa.....Hawana cha kujadili zaidi ya hicho cha kuwajadili Wabunge walio mlengo tofauti na wao....Ulitegemea usikie nini kutoka kwa MP Nkamia?
  5. N

    Juma Nkamia ni mnafiki

    Kama wanavyotoa majibu wao kwa wenzao...ATAKUWA NA WIVU WA KIKE...awaache wenzake nao wasomeshe watoto wao...Ila akumbuke pia kuwa wenzake hawafanyi propaganda ila ni ukweli mtupu kwani tumeona kile kinaendelea BUNGENI .Asiwatishe ni mtupu kuliko galasa...hakuna ameongea cha maana zaidi ya...
  6. N

    Rwanda, Uganda zajitoa Bandari ya Dar

    Kazi tunayo hasa sie walalahoi...Hivi mwajua kuwa ikiwa serikali haitakusanya mapato wa kuumia ni mimi na wewe...Kifupi ni kwamba tutajziwa hadi kodi za haja kubwa na ndogo kama ilivyo sasa...Mafisadi wakosa fungu la kufisadi walazimisha kupata kutoka chanzo kingine nacho ni mwananchi...
  7. N

    Picha: Nawashukuru sana wanairamba kwa rekodi hii ya jana, Pole sana Dr. Slaa...

    Mungu tusamehe...Kama ndio wasomi wetu hawa bora kutokwenda shule kabisa...Hivi kweli Mh. Mwigulu huo ndio uwezo wako wa mwisho wa kufikiri? Zamani sikuamini kama ni mtupu kiasi hicho, leo nimeamini kwamba kweli wewe ni mtupu kuliko viumbe vyote duniani..... Hivi kweli kama ni kweli humpendi Dr...
  8. N

    Aibu kubwa CCM - wakimbia mdahalo wa ITV leo kuhusu vikosi ndani ya vyama vya siasa!

    Makala Jr, CCM hawajakimbia, walikuepo wamemtuma MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA...Jamaa kasimama kwa niaba ya CCM na Ofisi ya MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA....
  9. N

    CHADEMA ilifoji sahihi ya msajili wa vyama vya siasa?

    Sio Mkenya mimi tafadhali, ni Lugha tu kuwa ngumu mangikule,Kama hawakugushi ama kumfanya awe kipofu basi aachie madaraka haraka kwani si mtu sahihi hata kidogo. Anaweza hata sajili kikundi cha Kigaidi ambacho kitaleta matatizo na shida kwa Watanzania... Asimame mbele awaambie watanzania kama ni...
  10. N

    CHADEMA ilifoji sahihi ya msajili wa vyama vya siasa?

    Mmmmmmh, nadhani una jambo la msingi..... Hiyo nadhani ni moja ya sababu kuu ya kuifanya katiba ya CDM, ya pili ambayo nadhni pia ni kuhongwa kwa TENDWA na CDM akapitisha kitu ambacho kimekuwa kitanzi kwake.... CDM walitoa RUSHWA tena kumhonga bwana TENDWA hivyo TENDWA na CDM wanatakiwa...
  11. N

    CHADEMA "achaneni" na Dr.Slaa (Ushauri)

    Tuko pamoja, hasa kwenye kujenga...Napenda ambiwa ukweli hata kama unauma kwani hunifanya nionekane na mim ni mtu katika watu... Ni ukweli usiopingika na hulka ya kila binadamu nikiwemo mimi kutopenda kaumbiwa ukweli. Nadhani watu tunakosea kusoma maandishi badala ya kusoma dhamira ya mtu...
  12. N

    CHADEMA "achaneni" na Dr.Slaa (Ushauri)

    Mtoa mada nadhani nimemuelewa, hata kama alidhani atakuwa ataoa kwa kudhani anaiharibu CHADEMA lakini ukweli ikiwa plan B yaani kuelimisha umma kwa njia ya nyumba kwa nyumba itakuwa ni zaidi ya kufanya mikutano ya hadhara, maana wananchi hawatakubali kutishwa kwa lolote kwan watakuwa wameelea...
  13. N

    Maisha Binafsi ya rais wa Irani: Wanasiasa wa Tanzania tujifunze

    Kwanza, nimeshanga....had mda huu nahangaika na kubofya keybord yangu si wajua tena mambo ya wenzetu haya......Ni ukweli usiopingika Mh.Rais wa Iran anastahili si tu sifa bali kuombewa dua maalum ya kumwongezea maisha mema na marefu ili wenye kupenda kujifunza tujifunze kupitia yeye.... Hilo la...
  14. N

    CHADEMA si kimbilio la wasomi!

    Zawadi ndugu..., umesema CDM haikubaliki na wasomi, hapohapo unasema uongozi si lazima uwe na madegree.....? We u nani hasi, kuwa mmoja tukutambue basi ama usimamie msimamo wako wa shule ni uongozi ama uje huku uraiani uamini uongozi ni karama.... Kifupi CDM hakuna pumba tupu, daima kila kitu...
  15. N

    CHADEMA si kimbilio la wasomi!

    Mmmmh, hongera kwa mawazo chanya...swali dogo tu?..Nini walifanyia taifa na ma-profeserial yao?......La nyongeza ikiwa hujui maana, nadhani ni busara kuuliza.....kwani education si ruhusa kupata pHD?
  16. N

    Picha: Mkutano wa CHADEMA Mji Mwema

    Kipuri ungesomeka vizuri sana kama ungeleta picha mbadala, kuliko kulalamika kuwa ni uongo....Vile nafahamu uongo hudhibitishwa kwa ukweli/vielelezo vya ukweli.....Yawezekana unasema ukweli lakini unatuaminisha vipi? Kama ulikuwepo picha ziko wapi kututhibitishia, mwenzako kaweka picha ambazo...
  17. N

    LEMA mikononi mwa LISSU...

    Ni moja ya tabia za Watanzania aina yako...husoma vichwa vya habari bila kuyatafuta maudhui ya habari yenyewe kwa undani wa habari yake...Itafute ile ripoti uone ilivyokuwa imeandaliwa...tena kwa kutaja na majina na si mifano ambayo mda fulani huwa ni ya kusadikika...Kawataja kwa majina na...
  18. N

    Kauli ya Chagulani dhidi Manyerere (Council Mwanza) ni sahihi kwa afya ya CHADEMA?

    Ni kweli lakini hata Halima Mdee ni rafiki wa Ester Bulaya...sio kigezo kwani nani kasema siasa ni vita? Huo ni mtazamo wa CCM tu lakini kutofautia kimtazamo ni sahihi kwani ndio chachu ya maendeleo kokote kule....Vijana tunahitaji uvumilivu katika mambo mengi mno, daima busara ni hazina tosha
  19. N

    Magesa Mulongo: Amani kwanza haki baadae

    Hahahha,ningekuwa ni wewe ningeficha welevu wangu.....kwani una macho huoni,una masikio husikii, kuna msemo mmoja wa kikwetu unasena...kwigwa kwa mbulu mpaga mininga mmatu....
  20. N

    Samwel Sitta: Wa kuogopwa urais 2015 ni Dr. Slaa tu

    Jamani, CHADEMA sio hao unaowasema, hao ni kama front desk ya CDM, kuna backup ya kutosha ambayo inafanya kazi za back office...transactions zote unazoziona mbele zinadurufiwa na backoffice, wapo wengi tena wenye weledi na mitazamo chanya,Mkumbo, Safari, Baregu, Mlyambiti...ni kati ta chembe ya...
Back
Top Bottom