Hii ni ishara ya mambo makubwa yapo njiani yanakuja. Yajayo yataifanya regime hii inyooshe mikono juu kwasababu hali ya kiuchumi Itakuwa mbaya kupita kiasi na kwasasa hakuna uwezo wa kutegemea tu makusanyo ya kodi ya ndani kuendesha nchi. Serikali imeishiwa, mfano, ndio sababu siku chache nyuma...
Baadhi ya wanaume wapo humble, hasa wenye hofu ya Mungu na wanaojua maisha yakoje. Tatizo kubwa lipo kwa upande wa wanawake, aisee wengi ni wajuaji, wanafiki, kupenda kujisikia n.k. swala la uhuni wahaya naona pia wanalo tena kwa jinsia zote.
Huu mpango utashusha sana mapato ya utalii na kuharibu mazingira, Hamisi Kigwangala aliukazania sana lakini kuna ofisa mmoja wa TANAPA aliupinga hata January Makamba akiwa waziri wa mazingira alionyesha kuupinga kwasababu alisema itabidi kwanza NEMC wafanye tathmini. Kigwangala huwa anajiona...
Wanawake wengi wa kiislamu wanapinga uke wenza lakini huyu sister mwanzo alionyesha kumuunga mkono mumewe kuongeza mke, pengine labda alisema vile ndo haya maisha ya kuigiza ya kwenye social media au kuna sababu nyingine iliyosababisha ndoa kuyumba.
Nimemkumbuka huyu jamaa kitambo sana, awamu ya tatu ya serikali mwishoni mwishoni ndio alikuwa kwenye peak na kampuni yake ya TIOT, wakati huo pia wana timu ya soka ya Moro United, Maulidi Kitenge akimuhoji kwenye kipindi cha michezo radio one anamtambulisha kama "Merey Balhabou Abramovich"...
Miaka kama 7 au 8 iliyopita ilikuwa ikisemwa nchi yetu ina watu watatu tu wenye PhD ya nuclear physics, watu hao ni makamu wa rais mstaafu Dr Bilal, mwingine yuko nje ya nchi kama sikosei alitajwa yuko Canada, na mwingine yupo hapa nchini.
Umetoa elimu kubwa sana mkuu. Ili ufanikiwe katika mradi wako ni lazima uwe mtu mwenye principle zako, usiweke urafiki kwenye kazi. watanzania wengi kwenye utendaji hatujitambui na tuna ubabaishaji, unakuta mtu anauza au anataoa huduma fulani alafu anamdharau mteja wakati pesa anayopata kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.