Search results

  1. C

    Hivi polisi wa Tz ni akili hawana, au wanafanya makusudi?

    Embu tuache kulalama kama vile hatujui kazi za TRAFIKI POLISI,hivi ni kweli tulikuwa hatujui kuwa kuna ukaguzi wa leseni za uendeshaji wa magari za daraja fulani (haswa ya ABIRIA daraja C)wawe wamebadilisha LESENI zao hadi kufikia 31-DESEMBA-2011??Watanzania wenzangu TUBADILIKE KIFIKRA kwanza...
  2. C

    Natishiwa kuuawa

    Polisi wapo kwa ajili ya Ulinzi na Usalama wa Raia na Mali zao,nafikiri kwenda kutoa taarifa ni USHAURI wa MUHIMU kuliko yote!Unajua hapa utapata ushauri kutoka kwa jamii tofauti "uchuje" lkn wakati utakapo pata MATATIZO utakuwa peke yako na hakuna sehemu utakayo kimbilia zaidi ya KITUO CHA...
  3. C

    Migomo mipya vyuoni.

    Malalamiko kama haya yamesha ripotiwa saaana lkn mwisho wake ni MAUMIVU!! Kwanini tusifate nyayo za Mchungaji Mtikila!!?? Ingawaje wengi huwa hawamwelewi huyu jamaa lkn ukimchunguza kwa makini ANAJUA nini anacho kifanya,kwa kukimbilia MAHAKAMANI!!Tukumbuke kesi ya Ugombea Binafsi wa Raisi nk,cha...
  4. C

    Natishiwa kuuawa

    Polisi wapo kwa ajili ya Ulinzi na Usalama wa Raia na Mali zao,nafikiri kwenda kutoa taarifa ni USHAURI wa MUHIMU kuliko yote!Unajua hapa utapata ushauri kutoka kwa jamii tofauti "uchuje" lkn wakati utakapo pata MATATIZO utakuwa peke yako na hakuna sehemu utakayo kimbilia zaidi ya KITUO CHA...
  5. C

    Ujumbe wa wazi kwa 'RAIS JK KIKWETE'

    Pongezi kwa GAZETI P.I ,umetoa dukuduku lako la moyono bila kumshurutisha mtu au kuchochea hisia KALI! Kwa mtazamo wangu nia na madhumuni ya mtandao/mitandao ya kijamii kama huu ni kuchangia mawazo na kuelimishana masuala mbali mbali ya kijamii kwa kutumia lugha safi yenye staha ambayo hata...
  6. C

    Cyber crimes and our laws

    Yeeah,very interesting topic! I think its good sometime to discuss about other things for our daily lives, rather than politics.Despite that politics it has power which governed our country but most of it end up in worse! I agreed with you on the issue of cyber crimes,on my view I think the...
  7. C

    NBC Mastercard na vitu online

    Naunga hoja ya Sharobalo,zaidi tujue na tukubali kuwa mfumo huu niwa kigeni hapa kwetu.Hivyo kama kuna ucheleweshaji/kuwahi vema tukaliweka akilini wakati unaingia ktk ulimwengu huu,tukumbuke miundo mbinu yetu siyo mizuri ktk kukabiliana na changamoto za mitandao kama hii.....tuvumilie,ipo siku!!
Back
Top Bottom