Search results

  1. K

    Interview Research assistant II at TPDC

    Unajua JD ziliainishwa vyema kwenye tangazo la kazi nikaona zinatosha kama nitazifanyia kazi kabla ya interview. Ninachotamani kukijua hapa ni mambo kama ya mshahara n.k kwani nataka kubadilisha kazi so nisije kupoteza gharama kusafiri kwenda kwenye interview halafu nikakuta napata kiasi kidogo...
  2. K

    Interview Research assistant II at TPDC

    Wana JF habari zenu, Naomba kujuzwa kuhusu hii post Research assistant II nimeitwa interview lakini sina details za kutosha. 1. Naomba kujuzwa ngazi zao za mshahara katika hii post, nakumbuka waliandika ngazi ya TPDC-RS 2 ila sijajua ni shs ngapi 2. Marupurupu yake yakoje??? Ahsanteni sana
  3. K

    Natafuta mchumba wa kuoa

    Dah sikushtukia kama nimekosea kihivyo...but naona kama hili tatizo la kukosea ni kubwa sana kwani nikitembelea post za watu nyingi zimekosewa.. Hapo elimu hai-apply sana mkuu ni makosa ya kibinadamu tu
  4. K

    Natafuta mchumba wa kuoa

    Ndugu mi naoa mmoja tu...na ndo wakwanza huyo na wa mwisho kama mungu akipenda...Sema tu nilijisahau nikakomalia masomo nikasau upande wa pili..
  5. K

    Natafuta mchumba wa kuoa

    futa mchumba (binti)..awe muislam...mwembamba na mrefu. Awe na maadili ya kiislam, akiwa na elimu kidogo ni vyema zaidi. Mimi nina masters na nafanya kazi wa tahasisi ya serikali Kama interested ni PM nitakutafuta
Back
Top Bottom