unaonaje na huyo mwenzio mliyekuwa mnajadiliana naye mkikomaa kuimarisha chama chenu na mkaiacha cdm ijifie kama usemavyo?siamini chama kilichokosa shabaha kinakufanya unashinda kwenye keyboard kila siku
tatizo inaonekana ni wajumbe kutoka vyama vya chadema,cuf,nccr na wale wengine wa upinzani na makundi ya kiraia hawakubaliani na mabadiliko ya kanuni yaliyofanywa na mwenyekiti yanayomtaka jaji warioba kusoma rasmu ya pili ya katiba kabla ya rais kuhutubia bunge hilo.Kwa wao wanataka kwanza rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.