Search results

  1. Kamanda Asiyechoka

    Kama Kiongozi anayewajibika nilitarajia Dotto Biteko Naibu Waziri Mkuu kuomba radhi watanzania au kujiuzulu

    Taifa limekosa umeme kwa zaidi ya masaa 15. Dotto Biteko yupo kimya tu anakula bata kwa kupanda Mashingingi. Eti itilafu ya umeme? Itilafu gani ya kurekebishwa kwa masaa 24? Mbona hapo awali January Makamba akiwa waziri wa Nishati alituaminisha kuwa Mgao wa umeme ulikuwa sababu ya miundombinu...
  2. Kamanda Asiyechoka

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Mimi ni Kamanda na kada mtiifu wa Chadema. Leo nimewaasili mapema ili nishiriki maadhimisho ya shujaa wa Afrika. Hayati JPM . Kwa sasa nipo Chato. Sipendi ufisadi na utapeli wa kisiasa kama wa Mbowe.. Ndio maana nilimkubali hayati JPM. Huu upotoshaji eti Chato iligeuka Gabdolite ni upuuzi na...
  3. Kamanda Asiyechoka

    Wanachadema wengi tunapiga mahesabu ya kupata ubunge 2025. Tukimwagwa na wananchi tusingizie kuibiwa kama 2020

    Tatizo kubwa makamanda wenzangu huwa wanawaza pesa tu. Mahesabu sasa ni kurudi mjengoni. Kisa tu ukiwa mbunge kuna pesa lukuki za bure. Badala ya kuwekeza kwa kuanza kujenga imani kwa wanannchi ili angalau tukubalike. Tumewekeza kwenye maandamano njaa. Tukimwagwa. Mayowe kibao kama 2020.
  4. Kamanda Asiyechoka

    Kwani akishinda 2025 ndio uthibitisho kuwa anakubalika? Mmesahau Jakaya alivyopigika 2010 akabaki kusingizia udini

    Kushinda uchaguzi sio kigezo kuwa unakubalika. Kiongozi madhubuti hukubalika kwa kulinda rasilimali za taifa lake, kutetea raia wasionewe hovyo na kudhibiti dhulma.Pia Kudhibiti ufisadi. Kura huwa zinaibiwa na kuchakachuliwa kila kukicha. Je, uchaguzi wa 2010? Mmesahau aliyeshinda alikiri...
Back
Top Bottom