Search results

  1. M

    Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirudia Tanzania

    Wenye akili hawawezi kufikiria kumpigia chapuo January makamba, He is inept leader ever, corrupt and a bandwagon of irresponsibility
  2. M

    Shaka : Baada ya kifo cha Hayati Dkt Magufuli,wale wote Waliombeza Rais Samia Ujenzi wa miradi ya kimkakati leo wanaumbuka, Wami ilikuwa 47% leo 89.2%

    Tanzania hakuna mradi wa kimkati tusidanganyanye, Strategic projects we dont have yet.
  3. M

    Tabasamu la mauti

    Ndugu zangu wanajamvi imeninibidi niwajulishe haya ninayoyaona huku kijijini kwangu mwagiligili wilaya ya kwimba, wananchi wanatabasamu lakini wakitokwa machozi mioyoni. Kilio kinasikika TOZO TOZO, aliyeitwa mama mponya machungu ghafla amegeuka kuwa mama wa kambo anayenyanyasa watoto yatima...
  4. M

    Yuko wapi Humphrey Polepole?

    Nipo hapa wasemaje?
  5. M

    Baadhi ya watu wanajiuliza kwanini ''bwana yule'' hapati tena siri za Ikulu?

    Kwa sababu State criminal syndicate imekamilisha mission yake. Kwanini kanisa katoliki halitoi ten takwimu za vifo vya masisita n mapadre wanaokufa kwa korona? Kwann Lutheran hawatoni tena takwkmu za wachungaji kufa kwa korona? The mission is Over, Covid-19 was just only the scapegoat to kill...
  6. M

    Kuiondoa CCM madarakani ni rahisi kuliko wakati wowote ule, tuanze kujipanga

    Tukipata tume huru tu inatosha kuwapa maumivu ccm
  7. M

    Hayati Rais Magufuli alijua kuwa maisha yake yapo hatarini?

    Nimetafakari kwa umakini sana kauli za Hayati Rais Magufuli kuhusu maisha yake, mara nyingi alisikika akisema kuwa 1. Niombeeni Watanzania. 2. Ni ni Rais wa wanyonge nimesacrifice maisha yangu kwa ajili yenu wanyonge na mtanikumbuka siku moja., Je, alifahamu kuwa kuna watu walikuwa ni hatari...
  8. M

    Iko wapi Ripoti Maalum ya CAG iliyoagizwa na Rais Samia Suluhu Hassan siku akiapisha mawaziri?

    It was just execultive propaganda to win popularity. Nonsense
  9. M

    Msimamo wangu: Sirudishi biashara zangu Tanzania

    Hujaathiriwa na mfumo huu
  10. M

    Msimamo wangu: Sirudishi biashara zangu Tanzania

    Mkuu kuna baadhi ya mambo nayaogopa sana vinginevyo ningeweka documents na claims zote za TRA kuhusu ulipaji wa kodi na hata baadhi ya mawasiliano yangu na TRA kwa emails na simu.
  11. M

    Msimamo wangu: Sirudishi biashara zangu Tanzania

    Kilichosaidia ni kwamba kuna milioni 900 nilikuwa nimeweka katika benk kuu ya Ethipia ndiyo hawakuweza kuichukua. Sasa hivi nipo najiiimarisha nchini Ethiopia.
  12. M

    Msimamo wangu: Sirudishi biashara zangu Tanzania

    Ndugu zangu mimi ni miongoni mwa watanzania wengi tulioumizwa katika awamu ya tano. Biashara zangu ziliminywa mwanza, arusha, na Dar es salaam. Maofisa wa TRA na TAKUKURU walinyanganya leseni ya biashara yangu na vile vile serikali wakarevoke account yangu kabla ya kuchukua pesa takribani...
  13. M

    Hivi kuna ndege imeshatua Chato tangu baada ya mazishi?

    Tulitahadharisha mapema project ya Chato kuwa ni justification of corruption and embezzlement. It was a matter of time, a time has come truth of out. Parliament was muzzled, no one was able even to open his or her lips to question about Chato. We lost lot money in this hooliganic project...
  14. M

    Dkt. Kigwangalla: Mashine ya nyungu iliyo Muhimbili ivunjwe, viongozi wavae barakoa

    Upuuzi mbona hukulisema hilo kipindi cha bwana yule
  15. M

    Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

    Nipo bussy but nitawaletea kilichopo nyuma ya pazia, usitamani yakukute yajayo.
  16. M

    Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

    VP will take the white house within 1 year from right now. Deep state is working day and night
Back
Top Bottom