Ubaya wa huyu waziri wa fedha, nichukulia mambo simple sana.
Kodi tunazo kusaya zinafika Asilimia ngapi ?? Lapato la nchi .
Then waje watuambie kwanba wanakwama wapi kama Taifaup tufanye nini?
Ni kweli leo kapata hiyo dhamana ya kuwa waziri but kesho hayupo so hizo mikopo tutazilipaje? ...
Kwa ufupi mama hanaitumia vilivyo nadharia pana ya Diplomasia .
Hacha tukope make hela ni za IMF ni mali zetu tunazirudisha tuu nyumbani.
Siyo vibaya kukopa. ila tuzitumie kwenye miradi elekezi na si vinginevyo.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Swala la Machinga ni swala gumu sana kulizungumzia kwa matakwa ya kidola, inaitaji Busara kubwa sana kuli-solve .
Serikali ikitaka kupambana na tatizo hili wafanye yafuatayo.
1.Ajira kwa vijana, watengeneze viwanda vidogovdogo vingi ili vijana wakafanye kazi.
2.Serikali itoe exposure...
Ofcourse yes, but Remember that the problems is not a graduate, but problems is about our institutions.
Simple example look at Indian most of graduates are so intelligent, their are marking online Tutorial.
In africa this issues is vast problems . We need good Reformation of strong institutions.
Mkuu January makamba ni mtu wa kawaida sana.
Amelifanyia Taifa nini??? Labda cha hajabu zaidi ya kuweka masilai yake mbele.
Ok now ni Mp umeona hana impact gani hata kwenye izi tozo na kodi tunazolipishwa.
Kwa vijana wenye upeo mpana, na fikra chanya hizi cheo zisizo na challenge. hazina maana kabisa.
Mfano msogo kuna kinana alikuaga hana uwezo mkubwa wa kujenga hoja .
Ila alipo pewa hukuu wa wilaya sasa hana challenge kwenye taifa tena .
Itawezekana ikiwa first degree yake 3.2 GpA ikawa relevant na second, first degree yenye GPA3.9
Kama Master degree itaendana na last first degree yenye GPA3.9
Ni raisi kupata popote assistance Lectures
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Kwa ufupi, iko ivi ili nchi iendelee mbele kinachoitajika ni mfumo wa uhendeshaji.
Na mfumo huo ndio tunaliita misinfi wa kiutawala ambacho ni KATIBA MAMA.
kwa maana hiyo katiba ndio mwarubaini wa matatizo yote na ndio chanzo ya matatzo tuliyonayo kwa sasa.
Jukumu la kutoa somo la katiba Mpya , wajubu wa serikali na asasi zake zote .
Iwapo serikali iliopo madarakani itashindwa kutoa somo kwa Raia wake basi
Hasasi za kijamii zitachukuwa nafasi iyo.
Na hizo Asasi ni pamoja na
1. Vyama vya kisiasa
2.Taasisi binafsi, NGOS kwa aina zake.
Sent from...
Hizo Tozo za madilu zinaenda wapi??
Kama kila mwizi msaada na mikopo.
Hunaweza kuta hata mishahara ya wafanya kazi tunakopa.
Hii ni Anguko kubwa kwa taifa.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Wakuu swala la chanjo ni ishu ya uhiari. Na siyo lazima, chadema haiwezi kuwalazimisha wanachama wake. Kwa ulazima kwenda kuchanjwa,
Ili hali swala ilo ni la kila mmoja watu. Unless otherwise ingekuwa ni agenda la Taifa kwa ujumla au swala la kichama.
Ivyo basi itoshe kusema ya kwamba viongozi...
Unachokisema hakina uhalisia yoyote, wenda kama una hila binafsi.
Chukulia nyumbani kwenyu mzee wako hana 70+ utamchukulia poa kwamba ni mzee asiongee hapana.
Issue kubwa hekima kama bado ipo its okay
Mfano mdogo ni
Nelson mandela halipewa nchi akiwa na umri gani. Lakini hakufanya makubwa,
Joe...
Askofu Rashidi alicheza na psychology ya samia.
Na hata sasa hanao uwezo wa kucheza na psychology ya washiriki wake kwenye ibada ya leo
Anyway tungoje yajayo itakuaje.
Of course that's big problems that face Africa continent.
But come to Tanzania is too worse, and Solutions of this issues is poor institutions tulizo nazo .
Na nature of leaders wanao tuongoza wanataka wazidi kutawala wao kwa wao mpaka mwisho na kurhithisha vizazi vyao at end.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.